Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,758
Hahahah kwa iyo starehe zake, iwe kero kwa wengine?.Sabufa linakusaidia usisikie zile kelele za mifadhaiko pale yule jirani yako mwenye upara anapendelea kuvaa shati la ccm anapovusha Mchuchu wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah kwa iyo starehe zake, iwe kero kwa wengine?.Sabufa linakusaidia usisikie zile kelele za mifadhaiko pale yule jirani yako mwenye upara anapendelea kuvaa shati la ccm anapovusha Mchuchu wake
Anakuokoa kwa mengi sana kwanza huwezi sikia miguno ya mifadhaikoHahahah kwa iyo starehe zake, iwe kero kwa wengine?.
Halafu hii picha yako hii ya avatar Kunguru nipo kwenye mfungo ujueHahahah kwa iyo starehe zake, iwe kero kwa wengine?.
Teh teh teh teh. Mwezi mtukufu huu KunguruHalafu hii picha yako hii ya avatar Kunguru nipo kwenye mfungo ujue
Mwezi wa ibada na toba huuTeh teh teh teh. Mwezi mtukufu huu Kunguru
Kabisa, ingawa ibada na toba tunasisitiziwa na viongozi wa dini, iwe ni Kila Siku na Kila wakati maana hatujui Saa Wala Siku ya kifo chako.Mwezi wa ibada na toba huu
Mkuu; Hebu twende taratibu: Hiyo nyumba mnayoishi ni jengo moja au ni nyumba mbili tofauti ila zipo karibu mno? Je, mmiliki wa nyumba yako/hizo(land lord) ni watu wawili tofauti?Nyumbani ni sehemu ambayo katika jamii zetu ndio sehemu za kutukiliza akili,kufikria na kupanga mambo muhimu kuhusu maisha .
Kwa akili ya kawaida huwezi kujenga sehemu zote na nyumba hazihamishiki nyingi labda uamue uishi kwenye kontena.
Alafu nyumba iendane na idadi ya watu mimi tu nikodi nyumba yote kweli kuishi kwa utulivu?? nooo'
Mm hapa nnapoishi nina jirani ni mpumbavu huitaji ku'zoom ,kodi nalipa mimi lakini atmosphere ya chumba changu sio yangu tena .Kulala kwangu ni kama anaamua yeye sasa, nyumbani si sehemu
naweza kutulia nikakaa vzr bila makelele .
Muziki unaopigwa hapa sio wa kistaarabu kabisa hivi saa kumi na moja asubuhi mtu una sikiliza ni sasa na sauti ya juu tena ,saa nane usiku hivi watu wasilale !!, sometimes anaweza kutuacha tulale saa 9 usiku ,lkn bado saa 1 asubh tena muziki ,kazi kweli ukimuona usoni mpole kama mpole vle.
Kuna siku nilishindwa kulala nikatoka nje nikakaa kwenye ngazi kama nusu saa hivi muziki muziki ,akatoka nje jirani umeamkaje!! rohoni nilijisemea pumbavu wewe maana nasikia jirani wenziwe washamwambia sana muziki sauti punguza lkn siku 4 ,5 analiwasha as if analipiza alikuwa mapumuzikoni .
Nikaona yanini acha ni save my energy lkn sasa ni shida kubwa sana muziki unaweza pigwa 3 to 5 hrs hivi kwl hapo ni kusikiliza tu ,sio fujo hizi??
Ni binti mzuri tu mrembo hajaolewa sometimes i think she is doing this for becouz of loneliness lkn mbona wenzie hawana family pia au umaskini tu lbd,ujue masikini furaha yake ni kujionesha , mbona ana hela tu vzr?? au kabila!! cjui kabila lake .
Au hasira zake anatolea kwenye vtu anavyomiliki?
Hadi sasa sielewi nihame kisa mtu 1 kweli !!, huko nitapoenda si waswahili wenzangu ni wale wale huko usikute nitakuta ni wanne na hizi kelele nazihimilije sasa ?? na mtu mwenyewe ndio huyooo .
Nyie mnaishije na watu design hii ??
Ni L,Mkuu; Hebu twende taratibu: Hiyo nyumba mnayoishi ni jengo moja au ni nyumba mbili tofauti ila zipo karibu mno? Je, mmiliki wa nyumba yako/hizo(land lord) ni watu wawili tofauti?
Kama ni nyumba moja ya kupanga ; Je, Hakuna Mkataba wa Pango?
Samahani mku; Sijakuelewa unaposema Ni L,Ni L,