Kama umepanga na huna ‘subwoofer’chumba ni chako atmosphere ni ya jirani

Mkuu; Hebu twende taratibu: Hiyo nyumba mnayoishi ni jengo moja au ni nyumba mbili tofauti ila zipo karibu mno? Je, mmiliki wa nyumba yako/hizo(land lord) ni watu wawili tofauti?
Kama ni nyumba moja ya kupanga ; Je, Hakuna Mkataba wa Pango?
 
Ni L,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…