Kama umepata mkopo inakuaje hapo ?

Kama umepata mkopo inakuaje hapo ?

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Nilisoma thread moja ya successful loan applcants na nataka kuuliza kuhusu hizo hela za mkopo ni tunazipata chuo pale pale ? kila mmoja ? au inakuaje wana JF
 
Ukiripoti tu chuo, utapaswa kutoa akaunti namba ya benki yako, km huna utakuta huduma hizo za kufungua akaunti zipo kwa kila tawi mfano CRDB, NMB, NBC, AMANa, AKIBA, EXIM, BARCLAYS,

Nakushauri ufungue CRDB utainjoyi boom halichelewi ng'oo km matawi mengine, then utawekewa pesa yako ya meals and accomodation ya miezi miwili kwanza ambayo ni 450,000/ alafu stationary ni 200.000/ tuition fees inaingia akounti ya chuo direct wewe utapewa sheet tu ya kusaini kwamba tayari umepokea, pia km utaratibu wa kufungua akaunti utachelewa basi week ya pili baada ya kujisajili mnaeza kupewa dirushani kwa bursor wa chuo,

Hongera mkatanue na boom kwa kununua simu, subwoofer, laptop, na mengineyo mana hizp ndo anasa za wanavyuo, kweli kununua vitabu, au phitocopy sio kawaida yao kabisa.
 
So lazima niwe na account yangu mwenyewe ? Ya benki siwezi nikatumia ya mzazi ?
 
Tumia ya mzazi wako ukihitaji pesa unampigia tu akurtushie kwa mpesa,tigo pesa, airtelmoney
 
Back
Top Bottom