Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Preta
Huku Zenji twasemaa:-
-Kila mla kuku wa mwenzie miguu humwelekea (Fomula ya Fiziksi)
-Kibera kenda Kojani na mshipi wa makame - (Baioloji)
-Ukitaka nasaba nyingi jua msiba huo waja - (Kemia)
-Mwenda mbwani ngaliusu -(Hiyo Civics)
kofia huuzwa duka mwa daud senti mia moja.....
Preta
Huku Zenji twasemaa:-
-Kila mla kuku wa mwenzie miguu humwelekea (Fomula ya Fiziksi)
-Kibera kenda Kojani na mshipi wa makame - (Baioloji)
-Ukitaka nasaba nyingi jua msiba huo waja - (Kemia)
-Mwenda mbwani ngaliusu -(Hiyo Civics)
Hema kanya ovyo(bioloji)
Hema:herbivoras anakulua majani
Kanya:Canivoras anakula nyama
Ovyo😱mnivoras anakula vyote(nyama na majani)
Halo helena lile beberu
bora chinja na ondoa figo
nene na mgeni aliye
simama pale serengeti club
arudi kwao canada.
KAMA WEWE ULISOMA
SEKONDARI HALAFU
ULIKUWA HUJUI HIYO,BASI
WEWE EITHER ULIKUWA
KILAZA/ULIKIMBIA SAYANSI.
~kama unakumbuka formula yoyote ya kucremisha iliyokuwa inatumika na wengi sekondari tupia hapa tukumbushane..
haa haa hizo hata kilaza akizinywa hawez kusahau
Halo helena lile beberu
bora chinja na ondoa figo
nene na mgeni aliye
simama pale serengeti club
arudi kwao canada.
KAMA WEWE ULISOMA
SEKONDARI HALAFU
ULIKUWA HUJUI HIYO,BASI
WEWE EITHER ULIKUWA
KILAZA/ULIKIMBIA SAYANSI.
~kama unakumbuka formula yoyote ya kucremisha iliyokuwa inatumika na wengi sekondari tupia hapa tukumbushane..
kofia huuzwa duka mwa daud senti mia moja.....
Mkuu umenikubusha mbali! Nimekumbuka Mwl. wangu wa Kemia - Mwl. Nakembetwa. Yeye alitupatia hii (ktk Periodic table - chart of all chemical elements - He - LiBeBCNOFNe - NaMgAlSiPSClAR au He -Libebocnofune - Namgalisipsiclari.
Helena= HeliumLile = Lithium
Beberu = Beryllium
Bora = Boron
Chinja = Carbon
Na = Nitrogen
Ondoa = Oxygen
Figo = Fluorine
Nene = Neon
........................
Very interesting!!
rumbwerumawapagata - formula ya mito mikubwa tanzania
ru- rufiji
mbwe-mbwemkuru cjui km nimeandika vyema
ru- ruaha
ma-malagarasi
wa-wami
pa-pangani
ga- hapa kwa kwel nimesahau
ta-pia nîmesahau nikikumbuka ntaedit
Pombe sokoni kariakoo manumbu arudie zile fedha leo cona melini sio good