Kama umepita sekondari halafu hujui hii basi we kilaza

Hii ya electrochemical series

Kimbia-K
na-Na
kamata-Ca
mganga-Mg
ala!-Al
Zima-Zn
fegi-Fe
pumbavu-Pb
kulaleki-Cu
huna-Hg
ankara-Ag
au-Au
 

Duh, umenikumbusha yale mambo ya PERIODIC TABLE!
 
Hema kanya ovyo(bioloji)
Hema:herbivoras anakulua majani
Kanya:Canivoras anakula nyama
Ovyo😱mnivoras anakula vyote(nyama na majani)

Dah.... meipenda sana hii!!!!

Mkuu kumbuka kupiga kura yako sasa!!!

Kura kwa charminglady.........
 
Last edited by a moderator:
Nyingine ya sayari inasema my very educated mother just show us nine planet..

Hapo kila neno linasemama na sayari mojawapo...
 
sawa, lakini ilikuwa inafanya watu wawe wabunifu....
 
mi nakumbuka za kukariria vitenzi tu katika unyumbufu wa sentensi
 
Electrochemical series:
Popular Scientist Can Make A Zoo In Low Humid Country More Satisfactory Good.
P-Potassium
S-sodium
C-Calcium
M-Magnesium
A-Aluminium
Z-Zinc
I-Iron
L-Lead
H-(Hydrogen)
C-Copper
M-Mercury
S-Silver
G-Gold.
Shida ya njia hii ni lazima uwe unajua chemical formulae za elements hapo juu.
 
Hivi magazijuto ilikuwa kukremisha au rasmi kwamba nayo ilitakiwa itafutiwe wimbo wa kuikremisha
 
Dah, Umenikumbusha mbali sanaa
Helena= HeliumLile = Lithium
Beberu = Beryllium
Bora = Boron
Chinja = Carbon
Na = Nitrogen
Ondoa = Oxygen
Figo = Fluorine
Nene = Neon
........................

Very interesting!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…