Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
B.A fine and perfoming arts b.a political science,B.a kiswahili, b.a archaeology, b.a culture & heritage management b.a history, B.A confilict mangament, bsc textile engenearing, b.a korea language daa hapa ajira hamna kabisa kama umesoma moja kati ya hizo degree ujue umepoteza muda na hela yako bure labda kama ulikuja chuo kukua na kufahamiana na watu au kama unampango wa kujiajiri ila kwa ajira sahau