Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hii ya kutokuwa msiri imenigharimu mara kadhaa.*Usiongee hovyo hovyoo ndoto zako, mipango yako, maisha yako, kuwa msiri wa mambo yako muhimuuuu, yasio ya muhimuuu yaongeee sanaa (yatumiee kuuza chai) ili uufahamu mjiii na walimwengu wakeee
Nyeto for realStarehe yako iwe nyeto tu.
Hii kali sana hiiUsidanganyike kwamba fursa zinapatikana bar
usiige maisha ya mtu
Mie starehe yangu ni kusoma Bible..😔😔Starehe nayo ni refreshment eboo[emoji1745]
mamaeee mpka aote suguStarehe yako iwe nyeto tu.
Mkuu acha ubishi ila ukweli ndo huo hata kama ni mchungu lazima tuuseme ukikaa kwa ndug huwa unajisahau na kuridhika wala hutapambana sana na kufanya kazi kwa bidii ni tofaut na mtu anaehitegemea mwenyewe mda mwingi utakuwa unashinda na remot ya tv ana radio na kuwa kama mzawa wakat ww niwakuja na unatakiwa utafute vyako watu wanao kaa kwa ndug ni wachache walio fanikiwa.. We endelea kukaa kwa ndugu tu ila faham hayo hatukatazi wala kuzuia watu kukaa kwa ndug zao bali tunawashauri usikae kwa mda mrefu kaa kwa mda fulani kila kajitegemeeKwani ukikaa kwa ndugu, halafu hiyo hela ya kulipia pango ukafanya saving haiwezekani wandugu?
Nakubaliana na mengine ya jitihada za kukomaa kutafuta.
Acha uoga wewe sehemu za kula bata ndiyo kuna mishe kubwa kubwa Ukimiliki demu mkali anakufanya kufikiri kwa kasi maana ukilegea unaporwa hivyo itakufanya kumiliki pesa muda wote.From my experience nitaweka vitu viwili vitatu vidogo ila ni muhimu sana kwa watafutaji tuliotoka mkoani kuja Dar kutafuta maisha.
Maisha popote pale yapo na yanaweza kukunyookea. Ila vijana wengi tumekuja Dar kwasababu mbalimbali. Dar es Salaam ni rahisi kupata fedha kuliko mkoa wowote Tanzania.
Mambo ya kuzingatia unapofika Dar kutafuta maisha ni haya;
- Chagua marafiki wachache sahihi, usiwe na marafiki wengi.
- Usikae kwa ndugu au rafiki kama una uwezo wa kupanga na kujilipia kodi(Usipende kitonga).
- Weka pembeni tabia ya ulevi na uzinzi au uesharati. Achana na starehe zisizo na ulazima kama disco na visherehe vya watoto wa mjini vi birthday party, sijui kuvalishana pete beach n.k.
- Aibu weka pembeni kwenye utafutaji.
***** Kuwa mwaminifu******
- Kumbuka Dar ina kanuni ya Natural selection, tambua kuna kipindi kigumu kitakujia (sio lazima) ambapo hata buku mfukoni itakupotea. Hapo ukianza kuomba nauli urudi kwenu umekwisha na utakuwa ulikuja Dar kutalii tu, utaichukia Dar mpaka uzeeni.
Nimesoma hapa nikakumbuka zile story zenu za macasino nimecheka sanaStarehe nayo ni refreshment eboo[emoji1745]
inawezekana pia.kikubwa ni mazingr ya hapo home.na savings zako ynazipangia kufanya niniKwani ukikaa kwa ndugu, halafu hiyo hela ya kulipia pango ukafanya saving haiwezekani wandugu?
Nakubaliana na mengine ya jitihada za kukomaa kutafuta.