Njoo dar mwanaSijui kwanini,sijawahi kuwa na ndoto za kuishi Dar hata kidogo.
Mkuu bado unaukumbuka ule uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Nimesoma hapa nikakumbuka zile story zenu za macasino nimecheka sana
Usi generalize kiasi hichoAcha uoga wewe sehemu za kula bata ndiyo kuna mishe kubwa kubwa Ukimiliki demu mkali anakufanya kufikiri kwa kasi maana ukilegea unaporwa hivyo itakufanya kumiliki pesa muda wote.
Kama huendi club unatafuta pesa ya mini.
Acha ujinga basi. Hunywi pombe, huendi club, huna Demu, hupendi Mpira,marafiki zako wapo Kama were, huli pilipili, hata bhangi huvuti kufanikiwa sahau maana michongo inapatikanahuko
Kuna binti alikuwa anatembeza sambusa bar yupo ndani ya rav 4, wanaume tukawaza kumbe hata deal hizi hizi za hela ndogo ndogo zinaweza kukutoa. Now yupo ndani ana hukumu ya 15yrs na mme wake dhidi ya meno ya tembo.Usidanganyike kwamba fursa zinapatikana bar
usiige maisha ya mtu
Hii sio kwa watu wa Dar tu*Usiongee hovyo hovyoo ndoto zako, mipango yako, maisha yako, kuwa msiri wa mambo yako muhimuuuu, yasio ya muhimuuu yaongeee sanaa (yatumiee kuuza chai) ili uufahamu mjiii na walimwengu wakeee.