Kama umeukaribisha mwaka mpya wa 2025 Kwa kunyonya Uume au Uke inapaswa utambue umeshajipalia Mikosi ya mwaka mzima!

Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae!

Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima !

Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume!

Your finished my friend,huu mwaka tegemea kilio zaidi!
Unaweza kukuta mimi ndiyo nimemuachia mkosi.
 
Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae!

Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima !

Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume!

Your finished my friend,huu mwaka tegemea kilio zaidi!
Matatizo ya watanzania yanatokana na uvivu wa kutafuta maarifa
 
Mafukara ndio hufanya hayo...na zaid watu hawajui katika ulimwengu wa kiroho mambo mengi hutokea usiku kuamkia mwaka mpya ..
Katika ulimwengu wa kiroho hakuna kitu kinaitwa mwaka mpya.
Kalenda tunayotumia ya kusema leo ni 01-01-2025 ni Gregorian, ila duniani kuna kalenda kama 40 sasa ulimwengu wa kiroho utumie ipi?

Kalenda imetengenezwa kinajimu, watu wamesoma astronomy, astrology, mathematics na kuipata wewe unailetea uganga wa kienyeji.
 
Kwa hiyo hata umri wako unaukana?
 
Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae!

Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima !

Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume!

Your finished my friend,huu mwaka tegemea kilio zaidi!
K safi na sio ya kahaba kuinyonya kuna raha yake mkuu, ache tufe tu we ubakie uishi
milele, kuna vingi vichafu tunavila itakuwa iyo issue ndogo
 
Huo ndiyo ukweli ukubali ama uukatae!

Janamke au Janaume ambalo hulijui umekutana nalo tu huko kwenye Viwanja vya starehe,tambua limekuachia Mikosi ambayo itakuandama mwaka mzima !

Kibaya zaidi ili uonekane unayaweza mambo ukaona umlambe na kumnyonya Uke au Uume!

Your finished my friend,huu mwaka tegemea kilio zaidi!
kwa vipi?
 
Hekaya za abunuasi hizi sijui laana sijui mikosi. Miaka yote sijawahi kesha na mademu na sijawahi ona impact yoyote, jana nimekesha nae.

Kwamba wewe uliyekesha ukimchangia hela Mwamposa akajenge hoteli nyingine tukalipie tulale humo na wanawake ndio utafanikiwa kisa ulilala unapiga yowe? Tutakuona.

MUDA UTAONGEA
 
Mie mpaka leo nawauliza na hamnipi jibu kamili. Mbona hii mikosi ni kwa sie waafrika tuu?
Mbona wazungu wanafa ya ushezi kulikosie lakini wao ndio wanamafanikio na husiki suala la mikosi kwa upande wao
Imani za kijinga hizi,...utasikia watu wakisema habari za pepo, laana , mikosi ,nuksi, uchawi...ujinga tupu🚮
 
Back
Top Bottom