Kama umeumizwa na JF kuwa attacked pita hapa

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
896
Reaction score
1,435
Kama na wewe ni miongoni mwa waliokuwa bored sana sana na sana, naomba utie neno hapa pengine unaweza kuwa ni miongoni mwa wale ambao siku yao imeharibika kabisa juu ya hichi kitendo cha jf kuwa attacked na majibwa wachache kisa hizo siasa zao, wanatumia nguvu nyingi kuondoa furaha yetu.

Tafadhari tafadhari weka neno moja hapa juu ya hichi kitendo

Izingatiwe;next time waanzishe forum yao wananchi wakutane uko uko kutoa dukuduku zao pasipo ukosoaji "serikali forum"
 
Ila mimi nina wasiwasi na hili suala...JF wana tabia ya kukimbia kimbia wakati wa matukio muhimu nchini...

Walibinywa tu wasiwashe JF...wakaja na sababu za cyber attack on their system...

What the hell is sooo special with JF for someone to attack it remotely wakati mwenye nchi yake akimpigia CEO wa JF simu afunge kwa siku mbili ni LAZIMA angefunga with no question whatsoever!

Eti cyber attack,who will fall for that lie?
 
Dah kweli kabisa mkuu, me nilishangaa sana juu ya hii li kitu... Wamedanganya umma bullshit
 
Ila mimi nina wasiwasi na hili suala...JF wana tabia ya kukimbia kimbia wakati wa matukio muhimu nchini...

Walibinywa tu wasiwashe JF...wakaja na sababu za cyber attack on their system...

What the hell is sooo special with JF for someone to attack it remotely wakati mwenye nchi yake akimpigia CEO wa JF simu afunge kwa siku mbili ni LAZIMA angefunga with no question whatsoever!

Eti cyber attack,who will fall for that lie?

Great Thinker
 
Back
Top Bottom