Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Hahahha

Nakumbuka nikiwa na rafiki yangu tukitokea Dar kwenda Karagwe Buƙoɓa tuliamua kufikia guest moja katika mji wa Kahama tukakuta ndani kuna mashuka mapya mazuri na asubuhi tulikuwa tunaondoka saa 12.

Rafiki yangu (Apple) akanishawishi tukapita nayo sjui huko nyuma ilikuwaje tukagawana moja moja na foronya moja moja(Mungu atusamehe sitarudia tena)

Siku nyingine tumeenda hotel moja maarufu Dar tumebeba na pochi zetu kubwa tukapita na glass za wine lol Apple kwann lakini mpaka stiki jaman tukapita nazo.

Bila ƙusahau mapazia na tv ya flat screen tumeshapitia na Apple rafiki yangu sijui huko uliko Marekani usipoacha hiyo tabia, Mungu atakuzooom.

Najua walioiba stik za cafe na bar wapo wengiiiiii
 
Hahahha[emoji16][emoji16][emoji16]

Nakumbuka nikiwa na rafiki yangu tuƙitokea ɗar kwenda ƙaragwe ɓuƙoɓa tuliamua kufikia guest moja ktk mji wa kahama tukakuta ndani kuna mashuka mapya mazur na asubuh tulikuwa tunaondoka saa 12 asubuh .

Rafk yangu (Apple) aƙanishawishi tukapita nayo sjui huko nyuma ilikuwaje tukagawana moja moja na foronya moja moja(mungu atusamehe sitarudia tena)

Siku nyingine tumeenda hotel moja maarufu dar tumebeba na pochi zetu kubwa tukapita na glass za wine lol Apple ƙwann lakin [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mpaƙa stiki jaman tukapita nazo

Ɓila ƙusahau mapazia na tv ya flat screen tumeshapitia na Apple rafk yangu sjui huko uliƙo marekan usipoacha hiyo taɓia mungu ataƙuzooom.

Najua walioiba stik za cafe na bar wapo wengiiiiii
Kwa wizi huo wa mashuka na vitambaa siku ukija kufanikiwa maishani basi jua litakuwa linachomozea west na kuzamia east..

Chenge anaiba bil 1 wewe unaiba mashuka mawili..
Tibaijuka anatumia mil 10 za wizi kununulia mboga wewe unaiba sabuni gest...

Kama umeamua kuwa mwizi iba vitu vya maana kama magari , vamia benki (lkn usiue)

Kama huwezi bora usiwe mwizi uwe raia mwema tu kama watu wengine na sio kujidharirisha hivyo
 
me mwenyew nimeiba sana ndio maan nakuambia muongo wwe atuibagi flat tv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliɓeɓa mgongon kama mtt nikajifunika shuka la kimasai
 
Back
Top Bottom