Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Kama umewahi kuiba Guest house /Hotelini karibu utuambie uliiba nini na ulitumia mbinu gani?

Utakuwa unalalaga guest uchwara yani full kunguni ndio ukishalipa hawana habari tena na wewe.

But guest za maana full cctv camera utaanzaje kuiba?
Tena siwezi kujidhalilisha kwa shuka au pillow kwa kifupi wewe ni mwizi sema tu huitendei haki passion yako.


Kingine guest za kistaarabu haziruhusu watu wa jinsia moja kulala pamoja sasa utuambie vizuri huyo Apple ndio alikuwa mzee au ni sound tu na kama alikuwa dume hilo ni dume jike mwanaume wa shoka hawezi iba pillow au shuka bhana aa .
 
Back
Top Bottom