Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Kabisaa yani kama kuna mbaba nimesikia story zake aliokuwa anamfanyia mkew hayafanani na heshima aliojijengea mtaan
Ndo maana Mimi binafsi sionagi vizuri sana eti kujaribu kuwaweka sawa may be rafiki yangu na mpenz wake maana kwenye haya mahusiano kuna matendo ya kihuni yanafanyika huko na kwa kias kikubwa wanawake wanatuvumiliaga tu na kutunza siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…