Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Ngoja nichukue popcorn niendelee kufatilia matukioNaith hii dhambi ya kutelekeza my family niliyo ifanya ni kubwa ila kwakuwa nimeomba msamaha na kujua makosa yangu better ukanisamee mamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nichukue popcorn niendelee kufatilia matukioNaith hii dhambi ya kutelekeza my family niliyo ifanya ni kubwa ila kwakuwa nimeomba msamaha na kujua makosa yangu better ukanisamee mamaa
Kaja hapa tumepigia keleleMoyo umeshtuka kusikia mwenye nyumba
Na picha ikiwezekanaNaomba mfano sam
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji6] [emoji6] [emoji6]
Braza kaka alivaa pensi fran na shat la mikono mifup
Ila weee ndio balaa tuishie hapa tuu
[emoji23] [emoji23]wachoma donati wezi sana, sa hapo ngano ya katikati wameipeleka wapi? mh akimalizana na prof awaangalie na hawa!
Wale wa kitu kidogo tu wananuna..umekosea kidogo hataki kukubali msamaha..yani wananunanuna kwa vitu visivyo na msingi.Wapoje hao jaman tell Yna4
Ila umewai kukutana na icho kisanga cha kupigwa?Na hawakawii kugeuza kibao..kakukosea anakudunda na masamaha unaomba
Utundu gani jirani?Iv huu utundu wee na demiss nan kawafundisha jaman
Barbara ya km 218. IringaLeo hakuna kitu tunazindua wajameni ?
NakaziaNa hawakawii kugeuza kibao..kakukosea anakudunda na masamaha unaomba
Ndo maana Mimi binafsi sionagi vizuri sana eti kujaribu kuwaweka sawa may be rafiki yangu na mpenz wake maana kwenye haya mahusiano kuna matendo ya kihuni yanafanyika huko na kwa kias kikubwa wanawake wanatuvumiliaga tu na kutunza siriKabisaa yani kama kuna mbaba nimesikia story zake aliokuwa anamfanyia mkew hayafanani na heshima aliojijengea mtaan
Ndio maana tunaambiwa ya huko yaishie huko huko ila nawashangaa kina nandy wanaweka hadharani tuHizi nyumba zinaficha mengi jaman,yan unaweza kupishana na demu/mchiz njiani ukamheshimu kumbe anapakua au kupakuliwa tope
Yna4 najua thaman ya choz lako na sitak nilipoteze thaman lake.....Una faini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri jibu lake
Sijawahi kwakweli..ila siku hzi mwili wangu unatamani kipigokipigoIla umewai kukutana na icho kisanga cha kupigwa?
Muulize demis ndo kasemaMambo ya Savannah hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikae kimyaaHebu pata picha dem kama Sanchi world anakutunuku, unamuweka mbuzi kagoma kwenda. Hujikoseshi kweli.
Hahah,,,,sipati picha Yale tunayofanya faragha yangekuwa yanajulikana huku maofisin kwetu au kwenye jamii yetu tungekuajeNdio maana tunaambiwa ya huko yaishie huko huko ila nawashangaa kina nandy wanaweka hadharani tu
Inaonekana hukupata mpare wwNgoja ninyamaze kuhusu hawa wapare maana nnaweza kupigwa mawe[emoji40]