Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Yna4 najua thaman ya choz lako na sitak nilipoteze thaman lake.....


Wakat tunaanza mahusiano nilijiapiza kuwa ikitokea ukamwaga machoz bass yawe ya furaha nderemo na vifijo
Mimi sitaki maneno hayo ulishayaongeaga kipindi kile na haukuyatimiza

Leta faini usamehewe..lasivyo utaishia kusema"nimefanana na huyo mtoto"
 
Ndo maana Mimi binafsi sionagi vizuri sana eti kujaribu kuwaweka sawa may be rafiki yangu na mpenz wake maana kwenye haya mahusiano kuna matendo ya kihuni yanafanyika huko na kwa kias kikubwa wanawake wanatuvumiliaga tu na kutunza siri
Yan uyo baba ana heshima hapo mtaani ila kumbe ndani mke anapigwa na kulazimisha kutoa tigo.Mke ameshindwa kuvumilia ameondoka na watoto,ila kabla hajaondoka aliwasimulia baadhi ya watu na habari zimeenea mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…