Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Ndo maana Mimi binafsi sionagi vizuri sana eti kujaribu kuwaweka sawa may be rafiki yangu na mpenz wake maana kwenye haya mahusiano kuna matendo ya kihuni yanafanyika huko na kwa kias kikubwa wanawake wanatuvumiliaga tu na kutunza siri
Yan uyo baba ana heshima hapo mtaani ila kumbe ndani mke anapigwa na kulazimisha kutoa tigo.Mke ameshindwa kuvumilia ameondoka na watoto,ila kabla hajaondoka aliwasimulia baadhi ya watu na habari zimeenea mtaani
 
Back
Top Bottom