Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Mimi najut hadi leo kosa moja tu: nilikosea kumwibia bebi mama wangu. Yaani hoteli kalipa yeye, bia kalipa yeye, nauli kanitumia, then nimemla usiku kucha...asubuhi kulipokucha ile yuko bafuni mimi nikasepa na iPhone 7 yake. Zilikuwa ni pombe wadau naomba mnisamehe.....
Aisee...mkuu upo dasilamu?
 
Yawezekana hii ni chai[emoji23]
 
Back
Top Bottom