Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Kama umewahi kukosea leta ushuhuda

Vipigo vipo vya aina nyingo Yna4

Kuna baadhi ya vipigo vinakufanya umwage choz la thaman choz ambalo unaweza ukajihisi dunia mpo wawili tuuu

Choz ambalo ukilitoa aliye sababisha ukalitoa akichepuka tuuu bass Kwake ni laana
Nataka kipigo kile kipigo cha kua punch bag
 
Mwambie jirani yako aje agomboe mtoto wake uku
Naweza kuja ila utanitambulishaje kwa mtoto Ilihali nilikutekeleza ukiwa una mimba ya mienzi 5

Mbaya zaid unish na mtu mwingine ambaye mwanangu ## African beauty anamtambua kama ndio baba ake

Naandika haya nikitokwa na chonzi la uchungu chonzi ambalo linauchungu kama la Mwanamke ambaye yupo leba anajifungua
 
Acha uoga..mtoto ataelewa tu maana kako smart kama baba ake..ingawa itachukua muda kukuzoea na kukukubali kama baba ake..ila usiogope wewe njoo

Usisahau n'gombe wawili wa kumgomboa [HASHTAG]#African[/HASHTAG] beauty
 
Naweza kuja ila utanitambulishaje kwa mtoto Ilihali nilikutekeleza ukiwa una mimba ya mienzi 5

Mbaya zaid unish na mtu mwingine ambaye mwanangu ## African beauty anamtambua kama ndio baba ake

Naandika haya nikitokwa na chonzi la uchungu chonzi ambalo linauchungu kama la Mwanamke ambaye yupo leba anajifungua
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom