sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Njooo hapa tusheee uzoefu wetu baada ya kushauliwa na Dr tumeze siku tatu. sisi tukpiga siku moja tu ili tuwai gambe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ugonjwa ambao unaruhusiwa kunywa azuma mbili au tatu kwa mpigo. 1 mpka 1.5 g.Njooo hapa tusheee uzoefu wetu baada ya kushauliwa na Dr tumeze siku tatu. sisi tukpiga siku moja tu ili tuwai gambe.
Sent using Jamii Forums mobile app
2014 usiku niko hoi afu asubuhi yake ilitakiwa tuwahi kwayani..kwaya yetu ndio ilikua imepangwa mbele kabisa kwenye sherehe ya kumpokea Mwasham Askofu joseph mlola jimboni kwetu.
Nikamuomba mama dawa akanipa Diclopar nikanywa zote bila paracetamol na usiku sikula ajiki sina hamu. Asubuhi naamka Mama ananiambia mbona paracetamol bado zipo nikasema sikuziona hapo nishavaa sare zangu nawahi kanisani. Mama aliogopa sana akasema mwanangu una damu imara Hukula na hukumeza paracetamol na umeamka vizuri! Ila nilikua nasikia kizungu zungu kiasi. Nilikula saa 8 siku hiyo ulimi umenitoka kwa njaa