Sababu zenye mashiko anazijua mchawi mwenyewe au mganga, wew unaekutana na hiyo hali Kama ajali tu utakuwa na sabab gani zenye mashiko kuelezea mtu akakuelewa mzee!?digba sowey,
Ndio maana siamini ktk uchawi sababu;
1. Sijawahi shuhudia
2. "Walioshuhudia" hawana sababu zenye mashiko..
Pole sana— Niliendaga kikazi tabora bahati nzuri nikakutana na manzi moja mrembo sana niliomba mechi nikanyimwa, nikawa nimerudi Dar lakini hatukuwa tunawasiliana, ila mwezi huu wa kwanza kanipigia Simu ananambia ati ameniota ati nimepata ajali nimefariki! Dah sikutilia maanani ila ninavyo soma hizi thread inanibadilisha kimawazo [emoji24][emoji24][emoji24] sijawai kuotewa ndoto mbaya hivi bora ata nisinge mjua uyo manzi [emoji3]. Japo kwa upelelezi wa haraka haraka huyo manzi ni kama anaamini sana ushirikina
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilirudi na kuungana na familia huku tumeshaanza kutawaliwa na hali ya hofu lakini haikuwa hofu kubwa sana sababu naweza kukiri kwenda kwa mganga ile ndo ilikuwa mara yetu ya kwanza toka nizaliwe hivyo tulikwenda lakini hatukua tunaamini sana kwenye uwepo wa uchawi japo kwa sasa kidogo tulikuwa tumeanza kuingiwa na imani kuwa mambo tuliyoyasikia kwa yaliyowapata wenzetu wakiotufanyia ule ushenzi sasa na sisi tutayapata soon kivitendo.Kilitokeapo kisa kimoja cha wahuni wa Kigogo walipokwenda kwa Babu kutafuta utajiri, wahuni hawa walipofika kwa mganga na kuwaelezea kusudio lao ni kuwa matajiri, Basi Babu akawapa mayai mawili akiwaambia mkifika makwenu kila mmoja atavunja yai Hilo wakati akitamka kitu anachokitaka.
Basi wahuni wale wakafunga safari kurejea makwao, walipokua njiani mmoja wa wahuni wale akateleza na yai likiwa linaelekea kuanguka chini akatamka KU*A, Basi unaambiwa K zikamjaa mwili mzima hadi usoni (tena zenye nywele zake) muhuni wa pili kuona mwenzie kaadhirika ikabidi avunje yai lake huku akitamka mateno haya KU*A futika kwa msela wangu basi zile K zikafutika na ndoto za utajiri nazo zikafutika pia.
Usiku morooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sisi wakuria huwa tunaenda kimya kununua sime jipya,au shoka kisha unaandika kimemo au kiujumbe maskani "mimi ni mwanaume,siwezi kuishi kwa hofu kama panya,teknolojia yao imenishinda natumia yetu".Kesho Magazetini Mwl Mwita Waitara Nyaronyo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kumtenganisha kichwa na kiwiliwili jirani yake😃😂.NA HATUTAACHA SIME/SHOKA TECHNOLOGY KAMA MAMBO YENYEWE NDIO HAYO😠
Duuh mkuu usitusubirishe hadi asubuhiNilirudi na kuungana na familia huku tumeshaanza kutawaliwa na hali ya hofu lakini haikuwa hofu kubwa sana sababu naweza kukiri kwenda kwa mganga ile ndo ilikuwa mara yetu ya kwanza toka nizaliwe hivyo tulikwenda lakini hatukua tunaamini sana kwenye uwepo wa uchawi japo kwa sasa kidogo tulikuwa tumeanza kuingiwa na imani kuwa mambo tuliyoyasikia kwa yaliyowapata wenzetu wakiotufanyia ule ushenzi sasa na sisi tutayapata soon kivitendo.
Tulikaa macho mpaka usiku wa saa 5 tukiwa tunasoma sana dua mpka tunalia kabisa, then kila mmoja akaingia kwake kulala,naweza kusema kuwa lile dude ni kama lilikuwa linatusikiliza tumalize kuomba dua then tukiingia ndani lianze kazi yake, ile tumejifunika tu shuka tukasikia kishindo kikubwa mno juu ya bati.
Hakuna aliyeongea zaidi ya kila mtu kujifunika shuka yake zaidi palikuwa kimya,basi kishindo kilidumu zaidi ya masaa matatu mazima then ikafata sauti ya ngombe kupika kelele ndani ya dakika tano tu tukasikia kimya.mpka asubuhi ilivyofika asubuhi tukatoka nje,tukakuta uwani kote kumejaa nyama tupu za ngombe hakukuwa na ngombe hata mmoja mzima kati ya wale waliobakia,nyumba yetu ilikuwa ina fens hvyo ile kufungua tu geti,tukakuta majirani kibao wako getini wanauliza kulikoni.
Hapa nikiri mzee alijaribu kuficha akasema tu kuwa mtaani kuna mtu anamfanyia husuda na anamfanyia ushenzi ote huo mzee alilalamika sana,kisha majirani wakatusaidia kusafisha pale uani zile damu pamoja na zika zile nyama wakati huo pia polisi walikuja wakachukua vielelezo,na tukaenda polisi pia kutoa taarifa,wakasema watafatilia huyo mshenzi aliofanya huo ushenzi na ndani ya saa 48 watakuwa walishampata.
Mzee alirejea jioni kutoka polisi akalakiwa na majirani na pole kutoka kila sehemu,ulivyofika usiku hatukuwa hata na hamu ya kula ulinunuliwa tu mkate na chai lakini hata nusu haikufika,naweza kusema mungu tulimsahau maana hakuna aliyeomba dua tena ote tulilala barazani,
mzee alivyotoka polisi mda ule mkuu wa kituo alioanga team yake bila kumwambia mzee kuwa watafanya kitu gani,basi aliteua askari wake watano ilivyofika usiku wa saa tano wakaja mpka nyumbani na gari yao wakawa umbali kama wa mita 10 au 20 wanaiangalia nyumba yetu kwa mbali huku wengine wanaizunguka kwa mbali,sasa wakiwa wanaizunguka wakamuona mtu mweusi tiii,anakimbia juu ya bati kuanzia mwanzo wa bati mpka mwisho wa bati akiwa juu,
walivyomuona wale wa kwenye gari wakachukua silaha zao then kwa pamoja wakazunguka nyumba kumuwinda,baada ya muda wakawa wanaskia kuku kama vile wanachinjwa wao target yao kubwa ilikuwa wanasubiria atoke tu nje ya geti wamkamate mchezo uishie hapo,na kweli baada ya mda aliruka ukuta,ile anatua tu chini wakamuweka chini ya ulinzi lakini mdomoni alikuwa na damu nyingi sana ya kuku aliofyonza damu,lakini hakusimama akawa anakimbia wakapiga risasi moja juu lakini hakusimama kuna askari mwengine alisogea na yeye akampiga ya mgongo,baada ya kupigwa ya mgongo aligeuka na kuwarudia kwa uoga wakawa wanapiga risasi nyingine nyingi lakini linawafata tu,askari mmoja alipigwa kofi kali sana mpka akazimia,yule wa pili aliyekuwa anakuja akampiga risasi mgongoni akawa anakimbilia gari kule walipo wenzake,walivyomuona anakuja wakawasha gari na lenyewe likarukia ile gari na kuanza kuwachapa makofi walipiga sana risasi kulipiga na nyingine kwenda hovyo kwa hasira lilitoboa toboa mpka mataili ya magari kisha likapotelea kwenye shamba lililokuwa mbele yetu,
Wakati yote yanatokea sisi tulikuwa tuko barazani,tulivyosikia kelele za juu ya bati tulijua ni lile dubwana na hata tulivyokuwa tunasikia kelele za kuku tukawa tunaelewa nini kinaendelea lakini tuliingiwa na butwaa zaidi baada ya kusikia risasi maana ilikuwa ni kitu kigeni na kwa wakati huo ilikuwa ukisikia basi unajua ni majambazi ambao walikjwaga wengi ni majambazi kutoka burundi,
Ghafla tukawa tunasikia tunagongewa hodi na majirani ambao kwa sauti tuliwajua,ile tumetoka nje tukakuta geti limetobolewa tobolewa na risasi mbele tunaiona difenda ya polisi imegonga mti wa umeme,lakini tyre zikiwa zimechanwa chanwa,ndani walikuwepo polisi wawili hawana fahamu lakini wanatoka damu,na mbele kuna mwengine amelala chini lakini mguu umeparuliwa tukamsikia mwengine nyuma ya ukuta ndo anazinduka lakini kama amechanganyikiwa.
mzee alitoka haraka akawasha gari akawapakia tukaingia mimi broo na wale askari gari ikawashwa wakati huo tunawakimbiza hospitali kuna askari mmoja hakuonekana kati ya wale watano,hivyo wale majeruhi wakaomba wananchi wamtafute mwenzao na pia wakatoe taarifa kituoni kule ujiji sisi hao tukawasha gari tukaondoka
Tumetembea na gari mpka sehemu moja inaitwa buzeba zeba kwa mbele kuna sehemu moja inaitwa bimala kuna bohari kubwa ya dawa ya msd sijui kama ipo mpka leo kwa mbele kuna mwembe mkubwa kwa mbele tukamuona nyoka mrefu sana anavuka bara bara ikabidi mzee asimamishe gari apite cha ajabu yule nyoka alivyotuona alisimama kichwa kikiwa kwenye kichaka,yule askari ambaye ndo alikuwa mzima aliyekuwa amezimia akawa anabishana na mzee,mzee anataka kumsubiri mpka apite yeye anataka mzee amkanyage
mwisho wa ubishi mzee akamwachia sterlimg aendeshe yeye basi akawasha tena gari akairudisha nyuma then akatoka spidi kali mno akamkanyaga yule nyoka,tuliona nyuma baada ya kumkanyaga kama aliruka juu kisha kwa mbali tukaona kama kwenye lami kwa pembeni kwenye majani kama kuna kitu kinatukimbiza kwa kasi mno lakini kwa spidi tuliyokuwa nayo hatukujali sana ila tuliskia tu gari kama imegonga kama tuseme jiwe then ikawa sawa,
baada kama ya dakika tano tukawa tumefika hospitali ya maweni wagonjwa wakashushwa,wakaenda kutibiwa,baada ya mda mkuu wa kituo akawa alishafika pale na baadhi ya askari sasa yule askari ambae alikuwa anaendesha gari yetu akaomba funguo ili achukue radio call yake mzee akampa funguo,alivyofika ile anafungua tu mlango tukasikia ukelel mkali mno mamaaa nyokaaaa,kufika pale tunakuta ndo nyoka analallizia mkia porini, tukamfunga kitambaa lile eneo tukamuwahisha haraka hospitali.
kuona hivyo mkuu wa kituo akapaniki akawa anamfata mzee amwelezee kulikoni wakati huo mzee alikuwa kama amedata fulani,basi gari zikawashwa mpka nyumbani tulivyofika pale tulikuta askari wengine ambao walifika mda mrefu,mkuu wa kituo alivyofika pale akawa anaendelea kuulizia askari wake mmoja kama alishapatikana ninachokumbuka alipatikana na wala hakuwa mbali na pale bali alikuwa ameingia kwenye shimo la taka akiwa amejifunika na gunia la mkaa juu akiwa na silaha yake mkononi,na aliyegundua yumo mle ni mzee jirani yetu ndo alienda kumwaga maji ya kahawa sasa kwenye kumwaga akaona kiatu kukivuta hivi akashangaa kuna mtu ndo akampliz na kumtoa presha akaja nae mpka pale nyumbani ambapi mtaa mzima ulihamia hapo.
Baada ya kupatikana ndo akaingizwa ndani na baadhi ya wazee pamoja na askari wengine akaelezea mwanzo mpka mwisho walichokutana nacho,hapo mzee nae akaelezea mwanzo mwsho wakafikia muafaka baba na sisi ote pamoja na baadhi ya wazee twende kwa mzee juma njemba japo alikuwa hayupo lakini walikuwa wanataka kuongea na mkewe
Tukafika tukamkuta yule mama anatwanga unga wa muhogo kwenye kinu,hapa nikiri wazi yule mama na familia yake walikuwa wanaishi maisha duni mno lakini walikuwa wanaheshimiwa mno nasema mno nimiwa namaanisha hata askari walivyoingia mle ndani walikuwa wanamsalimia yani mpka ile adabu unaona hii sasa huyu anaweza kupiga hata magoti,tulikaribishwa vizuri.
mama yule aliwaeleza kosa tulilolifanya na mtihani wa mzee kwenda DRC,kumtibu kuna mteja wake,lakini kuna kauli ambayo aliitoa kuwa kama dubwana hilo halijarudishwa/kudhibitiwa basi litatuua sisi sote na likitumaliza sisi litahama kwa yoyote maana chakula chake ni damu
basi baada ya kile kikao ikaamuliwa kuwa siku hiyo hiyo familia nzima twende huko huko congo nakumbuka kulikuwa kunaitwa kalemi wenyeji mtanisahihisha na kwenda ilikuwa ni kwa njia ya boti na mwenyeji ambae ilibidi atupeleke alikuwa ni mjukuu wa mganga maana ndo alikuwa anakujua kipindi hicho nakumbuka simu zilimuwa siyo sana na barua pia zilikuwa zinatumika,na safari tuliianza ote nakumbuka tulipewa askari wawili wenye silaha na hatukuwa na pasport wala chochote zaidi tu ya barua kutoka polisi
naomba niweke nukta hapa then ntamalizia baadae hasa kwenye kunusurika kutekwa na majambazi ya burundi na kuponene a chupu chupu kuliwa nyama na jinsi tulivyolimaliza lile dubwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchane mother huyo, hofu yaki inakuponza mwambie umesha notify ndugu zako makatili, halafu kanunue sime noa huku anaona,washa fegi na beer weekend huku unajisemea hadi wasikie kuwa hii hali ikijirudia mchana kweupe nachinja ng'ombe na ndama.😃😃.Mkwara wa kutoka moyoni kabisaUsemacho ckupingi Mimi mwenyewe hapa kuna uchawi nimefanyiwa sijui nimetupiwa jini sielewi
Nakumbuka kuna Banda niliwahi kupanga uswahilini, basi katka Ile nyumba nilikua naishi na mama wa kiha ambaye alikua na watoto watatu
Asa cjui kitu gani nilichomkosea Yule mama nakuanza kunitesa nakumbuka kuna siku mjuu wake aliingia ndani kwangu na sikua na mazoa na Yule mtoto basi alipokua mle ndani akaanza kuchezea vitu mara anachukua sabuni anamwaga, bodysray anairusha juu , mafuta anayamwaga nukimkataza anakua mkali kweli mwishiwe nikamuita mama yake akaja kumchukua
Cku nyingine aliingia ndani na kupanda kitandani kwangu then akawa anatambaa kama nyoka pale kitandani kwangu na akawa amekakamaa sana
Basi siku zilivyenda nikawa nikilala pale kitandani naota mambo ya ajabu sana haitoshi kuna kitu nakihisi kinatambaa nikikiangalia sikioni
Ikafika kipindi nikilala pale kitandani mchana naongea peke yangu yaani yanajirudia matukio kibao ambayo niliyasahau na nakua na hasira sana yakutaka kwenda kulipiza kisasi
Inshort mpaka muda huu hilo tatizo linanisumbua mkuu nashindwa nilitatue VP cjui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama movie hiviNilirudi na kuungana na familia huku tumeshaanza kutawaliwa na hali ya hofu lakini haikuwa hofu kubwa sana sababu naweza kukiri kwenda kwa mganga ile ndo ilikuwa mara yetu ya kwanza toka nizaliwe hivyo tulikwenda lakini hatukua tunaamini sana kwenye uwepo wa uchawi japo kwa sasa kidogo tulikuwa tumeanza kuingiwa na imani kuwa mambo tuliyoyasikia kwa yaliyowapata wenzetu wakiotufanyia ule ushenzi sasa na sisi tutayapata soon kivitendo.
Tulikaa macho mpaka usiku wa saa 5 tukiwa tunasoma sana dua mpka tunalia kabisa, then kila mmoja akaingia kwake kulala,naweza kusema kuwa lile dude ni kama lilikuwa linatusikiliza tumalize kuomba dua then tukiingia ndani lianze kazi yake, ile tumejifunika tu shuka tukasikia kishindo kikubwa mno juu ya bati.
Hakuna aliyeongea zaidi ya kila mtu kujifunika shuka yake zaidi palikuwa kimya,basi kishindo kilidumu zaidi ya masaa matatu mazima then ikafata sauti ya ngombe kupika kelele ndani ya dakika tano tu tukasikia kimya.mpka asubuhi ilivyofika asubuhi tukatoka nje,tukakuta uwani kote kumejaa nyama tupu za ngombe hakukuwa na ngombe hata mmoja mzima kati ya wale waliobakia,nyumba yetu ilikuwa ina fens hvyo ile kufungua tu geti,tukakuta majirani kibao wako getini wanauliza kulikoni.
Hapa nikiri mzee alijaribu kuficha akasema tu kuwa mtaani kuna mtu anamfanyia husuda na anamfanyia ushenzi ote huo mzee alilalamika sana,kisha majirani wakatusaidia kusafisha pale uani zile damu pamoja na zika zile nyama wakati huo pia polisi walikuja wakachukua vielelezo,na tukaenda polisi pia kutoa taarifa,wakasema watafatilia huyo mshenzi aliofanya huo ushenzi na ndani ya saa 48 watakuwa walishampata.
Mzee alirejea jioni kutoka polisi akalakiwa na majirani na pole kutoka kila sehemu,ulivyofika usiku hatukuwa hata na hamu ya kula ulinunuliwa tu mkate na chai lakini hata nusu haikufika,naweza kusema mungu tulimsahau maana hakuna aliyeomba dua tena ote tulilala barazani,
mzee alivyotoka polisi mda ule mkuu wa kituo alioanga team yake bila kumwambia mzee kuwa watafanya kitu gani,basi aliteua askari wake watano ilivyofika usiku wa saa tano wakaja mpka nyumbani na gari yao wakawa umbali kama wa mita 10 au 20 wanaiangalia nyumba yetu kwa mbali huku wengine wanaizunguka kwa mbali,sasa wakiwa wanaizunguka wakamuona mtu mweusi tiii,anakimbia juu ya bati kuanzia mwanzo wa bati mpka mwisho wa bati akiwa juu,
walivyomuona wale wa kwenye gari wakachukua silaha zao then kwa pamoja wakazunguka nyumba kumuwinda,baada ya muda wakawa wanaskia kuku kama vile wanachinjwa wao target yao kubwa ilikuwa wanasubiria atoke tu nje ya geti wamkamate mchezo uishie hapo,na kweli baada ya mda aliruka ukuta,ile anatua tu chini wakamuweka chini ya ulinzi lakini mdomoni alikuwa na damu nyingi sana ya kuku aliofyonza damu,lakini hakusimama akawa anakimbia wakapiga risasi moja juu lakini hakusimama kuna askari mwengine alisogea na yeye akampiga ya mgongo,baada ya kupigwa ya mgongo aligeuka na kuwarudia kwa uoga wakawa wanapiga risasi nyingine nyingi lakini linawafata tu,askari mmoja alipigwa kofi kali sana mpka akazimia,yule wa pili aliyekuwa anakuja akampiga risasi mgongoni akawa anakimbilia gari kule walipo wenzake,walivyomuona anakuja wakawasha gari na lenyewe likarukia ile gari na kuanza kuwachapa makofi walipiga sana risasi kulipiga na nyingine kwenda hovyo kwa hasira lilitoboa toboa mpka mataili ya magari kisha likapotelea kwenye shamba lililokuwa mbele yetu,
Wakati yote yanatokea sisi tulikuwa tuko barazani,tulivyosikia kelele za juu ya bati tulijua ni lile dubwana na hata tulivyokuwa tunasikia kelele za kuku tukawa tunaelewa nini kinaendelea lakini tuliingiwa na butwaa zaidi baada ya kusikia risasi maana ilikuwa ni kitu kigeni na kwa wakati huo ilikuwa ukisikia basi unajua ni majambazi ambao walikjwaga wengi ni majambazi kutoka burundi,
Ghafla tukawa tunasikia tunagongewa hodi na majirani ambao kwa sauti tuliwajua,ile tumetoka nje tukakuta geti limetobolewa tobolewa na risasi mbele tunaiona difenda ya polisi imegonga mti wa umeme,lakini tyre zikiwa zimechanwa chanwa,ndani walikuwepo polisi wawili hawana fahamu lakini wanatoka damu,na mbele kuna mwengine amelala chini lakini mguu umeparuliwa tukamsikia mwengine nyuma ya ukuta ndo anazinduka lakini kama amechanganyikiwa.
mzee alitoka haraka akawasha gari akawapakia tukaingia mimi broo na wale askari gari ikawashwa wakati huo tunawakimbiza hospitali kuna askari mmoja hakuonekana kati ya wale watano,hivyo wale majeruhi wakaomba wananchi wamtafute mwenzao na pia wakatoe taarifa kituoni kule ujiji sisi hao tukawasha gari tukaondoka
Tumetembea na gari mpka sehemu moja inaitwa buzeba zeba kwa mbele kuna sehemu moja inaitwa bimala kuna bohari kubwa ya dawa ya msd sijui kama ipo mpka leo kwa mbele kuna mwembe mkubwa kwa mbele tukamuona nyoka mrefu sana anavuka bara bara ikabidi mzee asimamishe gari apite cha ajabu yule nyoka alivyotuona alisimama kichwa kikiwa kwenye kichaka,yule askari ambaye ndo alikuwa mzima aliyekuwa amezimia akawa anabishana na mzee,mzee anataka kumsubiri mpka apite yeye anataka mzee amkanyage
mwisho wa ubishi mzee akamwachia sterlimg aendeshe yeye basi akawasha tena gari akairudisha nyuma then akatoka spidi kali mno akamkanyaga yule nyoka,tuliona nyuma baada ya kumkanyaga kama aliruka juu kisha kwa mbali tukaona kama kwenye lami kwa pembeni kwenye majani kama kuna kitu kinatukimbiza kwa kasi mno lakini kwa spidi tuliyokuwa nayo hatukujali sana ila tuliskia tu gari kama imegonga kama tuseme jiwe then ikawa sawa,
baada kama ya dakika tano tukawa tumefika hospitali ya maweni wagonjwa wakashushwa,wakaenda kutibiwa,baada ya mda mkuu wa kituo akawa alishafika pale na baadhi ya askari sasa yule askari ambae alikuwa anaendesha gari yetu akaomba funguo ili achukue radio call yake mzee akampa funguo,alivyofika ile anafungua tu mlango tukasikia ukelel mkali mno mamaaa nyokaaaa,kufika pale tunakuta ndo nyoka analallizia mkia porini, tukamfunga kitambaa lile eneo tukamuwahisha haraka hospitali.
kuona hivyo mkuu wa kituo akapaniki akawa anamfata mzee amwelezee kulikoni wakati huo mzee alikuwa kama amedata fulani,basi gari zikawashwa mpka nyumbani tulivyofika pale tulikuta askari wengine ambao walifika mda mrefu,mkuu wa kituo alivyofika pale akawa anaendelea kuulizia askari wake mmoja kama alishapatikana ninachokumbuka alipatikana na wala hakuwa mbali na pale bali alikuwa ameingia kwenye shimo la taka akiwa amejifunika na gunia la mkaa juu akiwa na silaha yake mkononi,na aliyegundua yumo mle ni mzee jirani yetu ndo alienda kumwaga maji ya kahawa sasa kwenye kumwaga akaona kiatu kukivuta hivi akashangaa kuna mtu ndo akampliz na kumtoa presha akaja nae mpka pale nyumbani ambapi mtaa mzima ulihamia hapo.
Baada ya kupatikana ndo akaingizwa ndani na baadhi ya wazee pamoja na askari wengine akaelezea mwanzo mpka mwisho walichokutana nacho,hapo mzee nae akaelezea mwanzo mwsho wakafikia muafaka baba na sisi ote pamoja na baadhi ya wazee twende kwa mzee juma njemba japo alikuwa hayupo lakini walikuwa wanataka kuongea na mkewe
Tukafika tukamkuta yule mama anatwanga unga wa muhogo kwenye kinu,hapa nikiri wazi yule mama na familia yake walikuwa wanaishi maisha duni mno lakini walikuwa wanaheshimiwa mno nasema mno nimiwa namaanisha hata askari walivyoingia mle ndani walikuwa wanamsalimia yani mpka ile adabu unaona hii sasa huyu anaweza kupiga hata magoti,tulikaribishwa vizuri.
mama yule aliwaeleza kosa tulilolifanya na mtihani wa mzee kwenda DRC,kumtibu kuna mteja wake,lakini kuna kauli ambayo aliitoa kuwa kama dubwana hilo halijarudishwa/kudhibitiwa basi litatuua sisi sote na likitumaliza sisi litahama kwa yoyote maana chakula chake ni damu
basi baada ya kile kikao ikaamuliwa kuwa siku hiyo hiyo familia nzima twende huko huko congo nakumbuka kulikuwa kunaitwa kalemi wenyeji mtanisahihisha na kwenda ilikuwa ni kwa njia ya boti na mwenyeji ambae ilibidi atupeleke alikuwa ni mjukuu wa mganga maana ndo alikuwa anakujua kipindi hicho nakumbuka simu zilimuwa siyo sana na barua pia zilikuwa zinatumika,na safari tuliianza ote nakumbuka tulipewa askari wawili wenye silaha na hatukuwa na pasport wala chochote zaidi tu ya barua kutoka polisi
naomba niweke nukta hapa then ntamalizia baadae hasa kwenye kunusurika kutekwa na majambazi ya burundi na kuponene a chupu chupu kuliwa nyama na jinsi tulivyolimaliza lile dubwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama mchawi kwenda kuiba hela kichawi benki, hutakuja kusikia. Sijui kwaninHapa nashangaa kwa nini ushuani hizi mambo hazisikiki kabisa yaani
Au labda kuna protokol hatuifahamuNi kama mchawi kwenda kuiba hela kichawi benki, hutakuja kusikia. Sijui kwanin
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Loh! Mambo haya ni shidaa.Nilirudi na kuungana na familia huku tumeshaanza kutawaliwa na hali ya hofu lakini haikuwa hofu kubwa sana sababu naweza kukiri kwenda kwa mganga ile ndo ilikuwa mara yetu ya kwanza toka nizaliwe hivyo tulikwenda lakini hatukua tunaamini sana kwenye uwepo wa uchawi japo kwa sasa kidogo tulikuwa tumeanza kuingiwa na imani kuwa mambo tuliyoyasikia kwa yaliyowapata wenzetu wakiotufanyia ule ushenzi sasa na sisi tutayapata soon kivitendo.

Si kivuli cha maiti. Hakuna anayeweza kuondoa uhai wangu isipokuwa Mungu tu.Walikuwa wanakuvulisha kivuli Cha maiti ili ufe..... Mungu ni mkubwa Sana na muweza wa yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee! Pole sana!Nilirudi na kuungana na familia huku tumeshaanza kutawaliwa na hali ya hofu lakini haikuwa hofu kubwa sana sababu naweza kukiri kwenda kwa mganga ile ndo ilikuwa mara yetu ya kwanza toka nizaliwe hivyo tulikwenda lakini hatukua tunaamini sana kwenye uwepo wa uchawi japo kwa sasa kidogo tulikuwa tumeanza kuingiwa na imani kuwa mambo tuliyoyasikia kwa yaliyowapata wenzetu wakiotufanyia ule ushenzi sasa na sisi tutayapata soon kivitendo.

Kiko poa SANA nashauri akifungulie Uzi wengi wakipatejerrybanks fanya urudi umalizie kisa chako aisee..
Dadeki. Ahh apaaa mtuu unawaza bora mngewachia majambazi wale maisha tu coz madhara ni makubwa kuliko faida. Ilaaa ao maskari wameniacha hoi.Nilirudi na kuungana na familia huku tumeshaanza kutawaliwa na hali ya hofu lakini haikuwa hofu kubwa sana sababu naweza kukiri kwenda kwa mganga ile ndo ilikuwa mara yetu ya kwanza toka nizaliwe hivyo tulikwenda lakini hatukua tunaamini sana kwenye uwepo wa uchawi japo kwa sasa kidogo tulikuwa tumeanza kuingiwa na imani kuwa mambo tuliyoyasikia kwa yaliyowapata wenzetu wakiotufanyia ule ushenzi sasa na sisi tutayapata soon kivitendo.