mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mkuu huyo mzee Bado yupo?Kuna kazi nahitaji kumpa imetusumbua miaka mingi Sana hatujapata mtabe wa kucheza nayo,nipe mawasiliano yake Kama hutojali.kuna kazi nafanya ndo maana nmeandika juu juu kuna picha pia kuappload znagoma but kwa watu wa kigoma huyo mzee wanamjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ndefu kidogo hapa ila scenario nzima ni katk harakati za kumtafuta na kumrudisha aliyekua amechukuchuliwa kimazingara litunga(Msukule)Embu elezea kdg apo kwnye kulogwa na kutupiwa jini? Jini likoje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu nimegundua hilo.
1. Stori zinaonyesha uchawi upo
2. Lakin hakuna mtu anayesema mimi ndo mchawi mwenyewe...duh
3. Au jf hamna wachawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enzi hizo nikiwa na age ya 6, nilitumwa kununua maziwa afu nje nilishuhudia nguvu ya giza nene balaa, nilirudi home nikiwa na jagi lenye ramani ya maziwa tuu mana ckumbuki yalimwagika muda gani.
meza wembeWatu wanaoandika kijiji sijuwi Wilaya X wananikera sana. Andikeni tuu nani anawajua humu?
Anyways.
Kila mtu ashinde mechi zake bwana.
Watu wanaoandika kijiji sijuwi Wilaya X wananikera sana. Andikeni tuu nani anawajua humu?
Anyways.
Kila mtu ashinde mechi zake bwana.
Na anaesema hakuna uchawi jua hayajamkuata