Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hujajibu swali.Asieamini uchawi mpaka umpate ndio akili itamjia.
Uchawi ni nini?
Na unajuaje huu ni uchawi, na si physics, chemistry, biology au psychology tu?
Hujajibu swali.
Hujajibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali.Asieamini uchawi mpaka umpate ndio akili itamjia.
Hujui unachotaka kufahamu.Uchawi ni nini?
Yani unaniuliza kuhusu mimi kufanya utafiti wa kitu ambacho hata wewe mwenyewe huwezi kukielezea ni kitu gani?
Ulishawahi kufanya tafiti ya kuprove uchawi ?ikiwa upo au ni jambo la kusadikika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu Ni Mwema Wakati wote.Usininenee maneno ya kifo tafadhali. Nishayakataa na kuyapinga
Nitajuaje kama wewe huwezi kukielezea?
Mimi binafsi Naelewa,nimeuona,na nimethibitisha,uwepo wa uchawi hoja yako Ni ipi?Nitajuaje kama wewe huwezi kukielezea?
Uchawi ni nini?
Hujajibu swali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni type ya introvert,anaangukia kundi la fregmatic, characteristics zao zipo hivyo ,nishampuuza.Kiongozi unabishana na Huyo Hakika utachoka na majibu yake, kama humjui vizuri nenda jukwaa La intelligence
Aisee! Ni shiida! Haya mambo yapo na yanatesaalama nlobaki nayo mpka leo ya yule dubwana
inshort wengi humu wanasema sjui hakuna uchawi huwa nawaangalia tu but kwa yaliyonikuta nikikuhis hata unatembea na hiriz mfkoni hata kama ndgu yngu hutoniona tena maishan mwakoView attachment 1303100
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi ni nini?Mimi binafsi Naelewa,nimeuona,na nimethibitisha,uwepo wa uchawi hoja yako Ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Limbwata ni nini? Na unajuaje limbwata ipo kweli na si hadithi tu?Limbwata inakuwa upande upi mkuu.
Nimepata jibu tayari.Limbwata ni nini? Na unajuaje limbwata ipo kweli na si hadithi tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa angu alifumaniwa na mke wake,ugomvi ulikua mkubwa kiasi ya kwamba mwanamke alishaanza kufungasha mizigo yake aondoke,jamaa alichofanya alimpgia mtalaam wake simu aisee,baada ya masaa 5 mwanamke amesahau kila kitu,hali ikawa shwari
Sent from my iPhone using JamiiForums