Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

SUMBAWANGA

Nimekumbuka kuna ndugu yangu mmoja alipata ujasiri wa kwenda kuhubiri Sumbawanga kafika mchana kazunguka anatangaza mkutano balaa wenye magonjwa,wachawi,sijui vilema mchana kutwa katangaza .

Usiku wakalala kanisani ili kesho yake waanze huduma cha ajabu asubuhi walijikuta wanaamka wapo Uwanja wa Mpira Wamelala walifungasha vyombo wakarudi zao home
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pyepyepye, Nimekusoma vizuri sana hapo kwenye mbunga aka soka. Achana kabisa na hizo mambo. Wazee wa mirambo watakuwa wanelewa hizo mambo.

Nakumbuka moja nikiwa golini jamaa walinibebesha mizizi,mingine nikatafuna aisee
Ile game ilikuwa balaa,timu yetu ilikuwa mbovu lakini tulichomoka kwa ushindi wa mbinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana hilo tukio halikuwapa hofu hata ndugu zako? Inaonekana walichukulia poa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumbani kwetu kuna m'baazi mkubwa. Bi mkubwa ananiambiaga mbaazi ni dawa ya vitu vingi sana kuna watu wanakujaga usiku mwingi wanachuma wengine majani wengine mizizi
yeye anasema fimbo ya mbaazi pia inaepusha na qatu wabaya (Mti wa muhogo niliuonaga kwa beki tatu mmoja nilimleta akapewa na mama ake mti wa muhogo ili wanga wa kijijini kwao wasimfate fate) Dunia hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja nikiwa kanisani, nikishuhudia mchungaji akikemea pepo kwa mama mmoja na wakati akikemea yule mama alikuwa anahirusha rusha kweli baadaye alianza kutoa halufu fulani kama ya nyama kuchomwa baada ya maombi kuisha halufu ile ikakata ghafla...ndipo niliamini uwepo wa Mungu na shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhogo Moira ndo nn mkuu mzizi mkavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa loca
Toa location ya eneo la mganga wenye matatizo ni wengi kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…