nyundo j
Member
- Jul 31, 2015
- 56
- 56
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umevaa kombati hapo😀😀
Hiyo mchoraji picha nae alitaka tu kufanya maisha ya wengine kuwa magumu..hii nimeikuta mahali nimeona ni share View attachment 1305891View attachment 1305892View attachment 1305893
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilitokea Tanga wilaya M. Kuna mganga fulani alikua mganga akaona akatoe huduma za kiganga wilaya M akitokea wilaya K. Basi alifikia nyumba ya jamaa mmoja na kumueleza kwamba amekuja hapo kutoa huduma kama kuna mwenye tatizo lolote aje. Basi mganga akapewa chakula akala na kupewa mahali pa kulala. Muda kufika akaenda kulala na mikoba yake. Kulipokucha adibuhi mganga alijikuta yuko nyumbani kwake wilaya K na mke wake na mikoba yake
Inamaana hilo tukio halikuwapa hofu hata ndugu zako? Inaonekana walichukulia poa tu.Mwaka 1999 nilipita kwenye ukuta live bila chenga, ilikua hivi nimetoka kuoga nakatiza dinning room, nika teleza bahati mbaya nilidondokea meza ya msosi mama aka nipa kipigo cha haja na kunifungia chumbani, kwakua nilikua na hasira za kupigwa kwa kuonewa na kufungiwa chumbani, nili ukuazia macho ukuta uku na ufata, niliona ukuta ukijigawa kati kati nikapita nikatokea sitting room nyuma ya kiti cha mzee, Wote wali pigwa butwaa na kwakua nilikua nime kasirika amna alie nisemesha. Hadi leo kila Niki jaribu kupita tena sijawahi fanikiwa. ILA NAHISI NILIIKUA KWENYE MAJARIBU YA KUWA MCHAWI.
Wewe ni muongo.
Umesema mwaka 92 ulikuwa umeshaanza kazi ya kufundisha halafu unasema tena mwaka 2009 ulikuwa unasomea ualimu, aisee hii chai yako imezidi tangawizi.
Nyumbani kwetu kuna m'baazi mkubwa. Bi mkubwa ananiambiaga mbaazi ni dawa ya vitu vingi sana kuna watu wanakujaga usiku mwingi wanachuma wengine majani wengine miziziWewe kama huamini kuwa uchawi upo nenda katika Mti wa Mbaazi saa7 usiku ukishafika wakati huo simama chini ya huo mti wa mbaazi kisha vua nguo zako uwe uchi kabisa subiri kama saa 1 ipite basi utawaona wachawi wote wapo uchi kama wewe usije kukimbia unaweza kufa. ukiweza jaribu kisha uje hapa utupe majibu ila Mkononi mwako shika Fimbo ya Mti wa muhogo mchawi hatoweza kukudhuru atakaye jaribu kukusogelea mchape nayo hiyo fimbo ya mti wa muhogo atakwenda kwao kufa.
Ayaaah...! / Ishraf huyo kesha fanya yake!.Me kuna kipindi naweza kulala nimevaa boxer nikiamka asubuhi niko uchi.
Mpaka sasa bado cjaelewa kitu, je ni nini hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhogo Moira ndo nn mkuu mzizi mkavuUKITAKA KUWAONA WACHAWI (Hii Dawa ni hatari kama hauna kinga ya kutosha mwilini tafadhali usijaribu kabisa)
jua kabisa jambo hili ni hiyari yako lakin ni zuri sana kama utalifanya kwa hakii basi fanya yafuatayo,chukua Muhogo wa aina ya Kisamvu Mpira (Muhogo Mpira) majani yake pamoja na Majani ya mbaazi Hayo Majani ya aina 2 twanga kwa pamoja kisha kamua maji yake unawe usoni wakati wa usiku mwingi hakika utaona ajabuu sana utawaona wachawi wote wanao kusumbuwa usiku.
Mweh mweh. Unalala peke yako mu chumba au ni bwenini?Me kuna kipindi naweza kulala nimevaa boxer nikiamka asubuhi niko uchi.
Mpaka sasa bado cjaelewa kitu, je ni nini hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa location ya eneo la mganga wenye matatizo ni wengi kijana.Nimepitiaaa storiii na vitimbiii vya watuu kwanzia mwanzo mpaka mwishoo na mm nisipotoaa changuu nahisi nitakua cjautendeaaa hakiii huu uzii
Anyway ngja nianze kutiririka,
Mwaka 2016 wakatii npo kidato cha nne kuna jioniii moja iviii ya mwezi wa 9 nilikua zangu prep (kama ujuavyo shule nyingi za boarding hii ki2 ni must) sina hili wa lile npo zangu nakula 'muscle' kama ujuavyoo hii miezi inakuwaga karibia na necta hivyo basi shamla shamla za maandalizi zinakuaga nyingiii
Basi bhana wakt Naendelea kula 'muscle' kat kat ya prep kichwa kikaanza kuniuma kwakua haikua kawaidaa nikapuuzia asa muda ulivokuwa unazidiiii kwenda ndo jinsii maumivuu nilivyokua nazidiii kuya experience bac bhana kwakua ilikua uckuu sana nikajisemea mwenyewe "ngja nkalale may be kitapoa 2"
Basi bhana asubuhii palipambazuka ila cha ajabu safariii hiii kichwa kilizidiii sana kuniumaa. nakumbuka kuna rafiki anguu mmoja ikabidiii aende kuniombea permission ya kwenda hospital kwa 2nd master maana yeye ndo alikuwa anagawa ruhusa zote za kwenda hospital maana shulenii kulikua na kakidaspensary ambacho kalikuwa hakajitoshelezii kihuduma
Basi bhana mm na mshakajii wanguu 2kafkaa hadi hospital baada ya vipimo kadhaa nikagundulika kua sina tatizo lolote ila niliaambulia panado 2 na kuambiwa huenda no mchoko 2 ndo maana kichwa kinauma vile
Baada ya kutoka hospitalini hali ya kichwa kuuma ilizidiii mara 10 ya jana.safarii hii nikasema isiwe shidaa kwakua nlikua namilikii 'goroka' pale shulenii ikabidi nimpgie mama nimuelezee hali halisii, basi bhana ilinichukua dakika chache kufanya vile asa wakatii namwambia mama jinsi hali ilivonitokea akanambiaa inaonekana kuna ki2 hakiko sawa maana kuna ndoto jana aliiota ambayo haipo sawa na kuniahidiii Kua kesho ake atakuja kunichukuaa (maana shule ilipo na home palikua hakuna umbaliii sana )
Basi bhana kesho yake mapema mama aliacha mishe zake akaja hadi shule kuniombea ruhusaa,at a same time nlikua nina hali tete maana kichwa kiligonga balaa.kwenye saa 6 ivi mchana 2kafika home nikamkuta mzee nikamuelezea situation iliyonitokeaa pale shule na pia 2kapiga stori mbili tatu full utaniii nk.
Ilipofika jionii mama angu akapandisha majini (ana majini mpaka now) asa wakati anapandisha yale majiniii akataja Jina la mke wa kaka ake( aunt angu) na yale maneno ake aliyokua akiyaongea yalikua yana relate na ugonjwa wangu wa kichwa kuuma.dakika kama 20 iviii akarudii katika normal condition alikuwa anamuuliza mzee na watu wengine kua kuna nini kimetokea mbna amechafuka saana(siunajua tena m2 akiwa na majini anavyojigalagaza) baasi baadae ikabidi mzee amwambie maneno aliyokua anatamka mara nae b mkubwa akipigwa na butwaa..basi 2kaa pale mzee na mama na wakashauriiiana kwamba inabidiii keshoo asubuhiii twende kwa mtaalamuu,Aisee cku iyooo ucku ckulalaaa kichwaaa kiliumaaaa balaa
Keshoo mapema tyu 2kafika kwenye kilinge cha 'mtaalamuu' ila cha kunishangaza ile 2nafika tu mtaalamu akatuambia nishajua shida yenuu(hapa nilichanganyikiwa saana maana ckuwahi kuona ki2 kama hichoo 'live' maana Nlizoea kuona mwenye movie tyu) basi bhana wakatiii mganga anaendeleaa na mambo yakee ilipiga mvuaa ya nguvuu kama kwa robo saa 2 afu zen ikakataa wakatii alipokuwa unaendelea na mambo yake alikuwa anatuhimiza 2siogope kwaniii ni vi2 vya kawaida 2.bac bhana aliendelea na kazi ake kama kwa lisaa iviii afu akanivisha kitambaa fulaniiii iviii chekunduuu uku akiongeaa maneno 2cyoyajua baada ya kunitoa kile kitambaa cha kushangaza 2likiona kile kitambaa kimeambatana na irizii kubwa nyekundu lakn pia hapo hapo maumivuu ndo yakakata.
Nakumbuka kuna maji fulaniii ivii alinawa kwanza ndo akawa anaanza kuichana ile irizi na kiwembe ili ajue kilichomo ndani, baada irizi kufunguliwa ndani kulikua na kucha za mtoto mchanga ndani na picha iliyochorwa kaburiiii,
Akatuambia Kua ile picha iliyochorwa kaburiii maana ake ni kua nilikua natakiwa nife na akasema pia nina bahatiiii saana maana wangenichelewesha kama cku mbili ivii basi familia ingenikosaaa,pia akamtaja muhusika wa lile jambo ambaye alikuwa ni aunt angu,na huweziii aminiiiii adi leo ananichangamkiaaa kama hakuna ubaya aliofanya vile na tangu cku hiyooo mpaka Leo kwake cjawahiii kwenda hata!![emoji2955]
Aisee uchawiii upo wakuu kama unaona ni mambo ya kusadikika ngja yakukute
Wassalam
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishraf ni aina ua Jinn.huingia ndani ya nyumba na kukutoa ufahamu na kukupa usingizi mzito,Hana madhara yoyote bali huchosha mwili tu.