Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Hapa Umeeleza vizuri lakini Kiranga atakuambia ulikuwa unaumwa ukaona maruwe ruwe
 
Hapa Umeeleza vizuri lakini Kiranga atakuambia ulikuwa unaumwa ukaona maruwe ruwe
madereva wote wanaopita hiyo njia mara kwa mara wote wana maruwe ruwe? maana si mimi tu, kuna brother wetu pia limemfika janga eneo hilo hilo na mpaka sasa tunapoongea si yule tena..gari yake iliinuliwa juu usawa wa ile miti kisha ikabamizwa chini mpaka container ile ilichanika kama karatasi alaf mtu aseme wenge?, humu kama wapo madereva wanaoitumia ile njia mara kwa mara watakuja kutoa ushuhuda wao.
 
Hichi kitu hata wakat nasoma kulikua na haya Mambo Mara harfu ya pilau,kukuta mbuzi Analia ,Mara vibwengo mwanafunzi kudondoka chooni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ulipoeleza sababu ya wewe kufikiri nayafanya maisha yangu kuwa magumu.

Nataka unieleze kwa nini unafikiri nayafanya maisha yangu kuwa magumu.

Ama sivyo, ukishindwa kunieleza hili, kubali hujui hata unachoandika mwenyewe ni nini.

Kuniambia nisome ulichiandika wakati nimesoma na sijaona ulipoelezea hiki si jibu.

Ni kukubali kwamba huna jibu.

Kwa msingi wako huu, kila mtu anapoulizwa swali ambalo hana jibu anaweza kujibu kirahisi tu, "soma nilivyoandika".

Umeandika nini?

Wewe mwenyewe unaweza kufafanua hayo uliyoandika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wote wamejichanganya kabisa

Jamaa alikuwa anamponda kiranga na hizi post zake za kusumbusumbua za kutuharibia Uzi na asipondwe kwani ye nani
Tatizo wanahisi jamaa anamponda mleta mada, but nilivomuelewa jamaa anamponda kiranga kutaka kuaminishwa uchawi JF,, sasa wengine bila kufikiria mara mbili wanaanza attacks kwa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATTENTION!
ukiona mtu anacomment kupinga uchawi haupo huyo ndo mchawi analinda community yake. Pia niwakumbushe tu kuomba Mungu maana ye ndo mlinzi achaneni na mahirizi sijui chale, mara uende mganga akwambie dawa ataiweka sehemu zako za siri kwa kutumia sehemu zake za siri, shida zote za nini, Omba Mungu Sali sana. UNAPOOMBA MUNGU ACHA YAFUATAYO KWANZA; UZINZI, KULALA NA WAKE AU WAUME ZA WATU, WIVU,TAMAA,MAJUNGU , UMBEA. maana kuna watu wanaomba hawafanikiwi kumbe wanachoomba na wanachofanya haviendani.
 
Wale ambao hawaombi,ni wazinzi na bado wanafanikiwa huwa ni nani anawafanikisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga mbona kama umechanganyikiwa ndugu?

Nilichokueleza kipo wazi na kinaeleweka kwa kila mtu na kama wewe haujaelewa basi una matatizo yako binafsi.

Unataka nirudie kukuelezea ili ubishani uwe mkubwa zaidi?
na unasema nisiporudia kukuelezea nitakuwa sijui, maana yako nisipobishana na wewe nitakuwa sijui,

Narudia kusema, soma Post yangu ya kwanza kwenye huu uzi, post uliyo ni quote na utaelewa nilichomaanisha, na pia siwezi kurudia kukuelezea sababu naona unataka tubishane zaidi na mimi, ila mimi sina huo mda wa kubishana.

Swali la kizushi kwako Kiranga:
Inawezekana wewe ni mmoja wa owner wa JF hivyo ubishani wako unafanya uwe na hoja zisizoisha kimkakati ili JF iendelee kuwa na viewer wengi?

Nimeongea hivyo sababu nimejaribu kusoma kila hoja zako kwenye nyuzi tulizowai kukutana ila nimeona mara nyingi hoja zako ni za kufikirika, au ni wewe una matatizo binafsi kwa kuzani humu JF hamna mtu mwenye uwezo zaidi yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungefanya mambo mengine tu huyu chizi atakuchosha bure
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Muongee ninyi wakuu MLEVi Mmoja proskaeur

Majibu yao niliyaona nikaona nivunge kuliko na Mimi nionekane PUNGUANI

Yani ni maneno Machache Sana lakini
Wameshindwa kuelewa Sababu ya ufinyu wa akili

digba sowey Wewe ni PUNGUANI....Yani Mimi niko upande wako unakuja kunitukana Hapa ? Hivi Nani kaonekana MPUUZI hapo mbele ya na wana JF ?

Bushmamy na Wewe Umejiona ulivyo onekana PUNGUANI Mara Mia, bila Shaka umedhihilisha JF Wewe ndio umekula kiporo cha ugali na akili yako ikaganda


Nimetukanwa matusi nisiyo stahili
"Kala kiporo cha ugali sasa akili imeganda kama ugali "
"shame on you son of idiots"

Mnitake Radhi Sana na huo ndio Uungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…