Achana na huyo taahiraMkuu unanitukana kwa lipi? Stress za ugumu wa maisha unazileta kwangu? Je wewe unaakili sana kuliko mods waliouacha huu Uzi ueleee,by the way unamtukana mtu usie mjua? @Moderator
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado hutaki kujua tatizo???Uchawi umejaa mashuleni na mavyuoni
Mmmh hao watu nawaogopa kabisa, Nilipokuwa kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita.
week mbili kabda ya necta niliumwa sana. Kiasi kwamba nilikuwa maututi. Ikumbukwe nilikuwa mwanafunz ninayefanya vzr zaid darasani
Siku ya necta ilikuwa ngumu kwangu siku ya mtihani wa kwanza niliumwa mno ila nikiingia kwny mtihani tu .
Nikitoka napona
Siku ya pili nikiingia naumwa nikitoka napona mpaka namaliza mitihani shughuri ilikuwa hivyohvyo.
lla nilifaulu vzr na kwenda kidato cha tano. Ingawa si vzr sana. Coz nilikuwa nategemewa kuleta mapinduzi kwny ile shule.
Ila hali ilijirudia Nilipokuwa nafanya necta ya form 6.
Mpaka Leo sijuagi behind the seen ya kuumwa kule
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh ,Hapa wachawi tunasoma kimya kimya,na kwenda kuongeza ujuzi zaidi.
[emoji2] [emoji2] [emoji3]Kuna yoyote ambaye anakumbuka kipindi cha USWAZI cha Musa akiwa na Manyau Nyau? Manyau Nyau aliingia nyumba moja hivi Musa akawahoji tatizo ni nini hapa?
Wapangaji wakamwambia kuna ambaye anaishi kwenye hiyo nyumba ila hawamuoni.
Muda mwengine wakijisaidia haja kubwa wake kwa waume wanashangaa ghafla wanachambishwa halafu hawaoni mtu wala huo mkono uliyowachambisha!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kubwaaUzi una wakongwe huu..
Kuna vijana wawili walipiga paka wa ostadhi mmoja hivi..mwenye paka akapata taarifa akawaambia waombe msamaha..kijana mmoja alikubali mmoja akagoma..yule aliyegoma alianza kutokwa na majipu mwilini wazazi wake wakamsihi akaombe msamaha lakini bado aligoma..kilichomkuta ni kupoteza maisha...yule mzee ni mchawi akikutaka uwe mpenzi wake ni dk 0 tu..
Tukio lingine Kuna kijana alijisaidia kubwa nyuma ya nyumba ya huyo mzee ostadhi alivyofika kwake akakuta ile kubwa ipo kitandani kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ipoMiaka 6 iliyopita Kuna rafiki alikwenda kijijini kwa Bibi yake kusalimia..alivyofika kijijini akatembea na Mume wa mtu...mke wa mwenye Mume akamlogezea ukimwi.
Rafiki alianza kuumwa ilibidi aletwe dar kwa vipimo zaidi ..kila akipimwa hakuna kitu na hali inazidi kuwa mbaya..na uumwaji wake ni ule ule wa wagonjwa wa ukimwi..hali ikazidi kuwa mbaya hadi kufikia kuwa mtu wa kitandani tu..Mama yake mdogo akajiongeza akamleta mtaalam akaweka kambi nyumbani kwao week mbili..week ya tatu rafiki mzima hakuwa na hata dalili Kama alitoka kuumwa ule ugonjwa...uchawi upo jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ubarikiwekaratasi unaweza iweka mbele yako au ukawa umeishika na unaweza kupiga magoti (hii inanguvu sana nimeshuhudia) pia inategemea unasali siku ngapi ukimaliza hizo siku za kusali utaichana tu.... mfano mimi nilipanga kuomba siku 7 mfululizo kuanzia saa 5 ila siku ya 3 nikapata baraka zangu nilimalizia siku 7 then nikaiweka tu sehemu ila kama unataka unaichana baada ya maombi kama siku 1 sawa ichane
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza kuamini kuwa shetani akizeeka anakuwa malaika na huu Uzi mwisho wake naona ndo umefika, naona wale wamakanisa ya baba baba nimeona ufalme wako baba ndo wameshika uskan na Yale mastori yetu ndo hakuna Tena
Mwaka 2014 mererani tukiwa tunapanda pori niko na nobel wa camp nimempakiza kwenye XR mida ya moja na nusu jioni..kama unajua njia ya majabalini kwenda opec..tulikutana na nyoka mkubwa sana na mida hiyo tangu tunatoka kijij hatukutana na mtu njiani. Bac jamaa akaniminya bega baada ya kusimama taa ya pikipiki ikimmulika alikuwa anavuka njia..nyoka alikuwa mkubwa kama nguzo ya umeme zile kubwa za transformer..vinyoleo vya mwili vilisimama kila kona mara pikipiki ikajizima(ilkuwa inatatizo kwenye kapreta) nikatoa tochi ya ki-miner nikamulika mbele mdude ukawa hautembei na lenywe limesimama,tatizo ni haujui kichwa ni wapi na mkiani ni wapi,nikiwa na waza jinsi tutakavyomezwa kama ile movie ya Anaconda, mara tochi ikajizima kafla(hapo miujiza iltendeka) hiyo tochi ilkuwa mpya na ilkuwa ni ya kuchajiwa na umeme. Ikanibidi niwashe bike,mshikaji kaganda hawezi hata kuongea kazi ni kuniminya bega[emoji23][emoji23][emoji23]Miaka ya nyuma tunatoka mererani usiku wa manane tuko na pikipiki almaarufu baja tullikutakana na moto mkubwa ukiwa umetanda barabarani kama vile unavuka ,tulikuwa sita tukajishauri sana lakini kwasababu tulikuwa wengi tulipata ujasiri wa kupita ila cha kushangaza tulivuka na hatukuungua wala kuhisi chochote kuangalia nyuma baada ya kuvuka moto uko vile vile
ila inategemea unatabiri kwa jina la nani na unatumia nini?? Kama mtu anatabiri kwa jina la Yesu hakuna shida kabisa.....maana hakuna uhusiano direct WA nguvu za nuru na giza
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu wachawi wengi huwa wanajificha kwenye dini ili waonekane watu wema....
Mara ya kwanza niliposali kwa kunena kwa lugha sikuamini Boss wangu ambaye ni Mama wa makamo na anayeonekanaga kashika sana dini kumbe behind anajua waliingia viapo na shetani (narudia waliingia viapo na shetani) ili watoto wawe hawafanikiwi katika eneo hilo eneo la kazi....na siku ya kwanza kuhudhuria ibada hiyo ijumaa(boss hakuwepo) tuluabudu na kusali tu na watoto... nikajikuta naanza kunena kwa lugha maana wakati watoto wanaabudu mimi nilijikita kusema asante Yesu mpaka leo naamini Mungu alinichagua mimi nibebe lile eneo kwa maombi,
Hilo eneo lilikuwa limejitenga kidogo na eneo la kazi, Nilivyorudi oficin nliendelea kunena kwa lugha zaidi ya saa zima, ilikuwa experience ngumu sana maishani mwangu nilioneshwa rohoni jinsi Boss na washirika walivyotoa kafara Vichanga kama miezi 7 au 8..... Happy ninavyonena kwa lugha roho inaniambia boss ndio mbaya
Boss alipigiwa simu na mtoto ikiwa saa 1 akacheka kwa dharau akasema mimi muongo..... but all in all Mungu yupo na anafanya kazi maana baada ya yale maombi viapo na shetani walivyoingia vilikuwa vinawalinda na kuwapa nguvu kiasi kilchofnya boss acheke kuwa mm mdogo kwake na nilipata kesi kubwa sana it was me going to jail for about 40 to 50 years ulimwengu wa shetani mbaya sana ila thanks God nilipona na sikufungwa japo kazi ilipepea maana dhumuni la shetani lilikuwa ni kuniondoa tu pale kazini waendelee kufanya hayo makafara......
Ila Mungu alivyo wa ajabu baada ya miezi michache tu nilipata connection ambayo niliomba Mungu apatikane mtu atakaenishika mkono kama alivyowapa wana wa Israel Musa... It happened nilikutana na black America mmoja around ninakokaa akanifanya mpango nikapata job yenye 100% salary rise....
Sio hivyo tu niliomba Mungu anifunge kwa mda nisijihusishe na Sex aiseh, kuna siku nimetoka kununua kinga kabisa nikawa nasema Mungu kama unanipenda naomba Nioneshe kitu chochote nisifanikiwe kwenye hili tukio..... akati narudi kutoka kununua kinga nilichokutana nacho kikanifanya niamini Mungu yupo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee kumbe mirerani kuna hizo mambo, nimekaa sana kule for some years... Huyo. Nyoka alikuwa wa kimiujiza ndio maana mkasikia vicheko... All in all Mungu hulinda waja wakeMwaka 2014 mererani tukiwa tunapanda pori niko na nobel wa camp nimempakiza kwenye XR mida ya moja na nusu jioni..kama unajua njia ya majabalini kwenda opec..tulikutana na nyoka mkubwa sana na mida hiyo tangu tunatoka kijij hatukutana na mtu njiani. Bac jamaa akaniminya bega baada ya kusimama taa ya pikipiki ikimmulika alikuwa anavuka njia..nyoka alikuwa mkubwa kama nguzo ya umeme zile kubwa za transformer..vinyoleo vya mwili vilisimama kila kona mara pikipiki ikajizima(ilkuwa inatatizo kwenye kapreta) nikatoa tochi ya ki-miner nikamulika mbele mdude ukawa hautembei na lenywe limesimama,tatizo ni haujui kichwa ni wapi na mkiani ni wapi,nikiwa na waza jinsi tutakavyomezwa kama ile movie ya Anaconda, mara tochi ikajizima kafla(hapo miujiza iltendeka) hiyo tochi ilkuwa mpya na ilkuwa ni ya kuchajiwa na umeme. Ikanibidi niwashe bike,mshikaji kaganda hawezi hata kuongea kazi ni kuniminya bega[emoji23][emoji23][emoji23]
Tukawa tupo kwenye giza nene sana kama la manta, kupiga kiki ya kwanza ya pili ikakubali taa zikawaka kucheki mbele hamna kitu, nikatia gia nikawa naondoka pole pole nikasikia sauti inacheka, kwa sauti ya XR dume ila niliisikia vizuri ilkuwa inatokea kwenye vichaka..ila namshukuru mungu tulifika camp salama na tochi inawaka kwenye bakubaku[emoji30][emoji30][emoji30]
Nimekumbuka kwenye hadithi za sani linda,seba na....,.Mwaka 2014 mererani tukiwa tunapanda pori niko na nobel wa camp nimempakiza kwenye XR mida ya moja na nusu jioni..kama unajua njia ya majabalini kwenda opec..tulikutana na nyoka mkubwa sana na mida hiyo tangu tunatoka kijij hatukutana na mtu njiani. Bac jamaa akaniminya bega baada ya kusimama taa ya pikipiki ikimmulika alikuwa anavuka njia..nyoka alikuwa mkubwa kama nguzo ya umeme zile kubwa za transformer..vinyoleo vya mwili vilisimama kila kona mara pikipiki ikajizima(ilkuwa inatatizo kwenye kapreta) nikatoa tochi ya ki-miner nikamulika mbele mdude ukawa hautembei na lenywe limesimama,tatizo ni haujui kichwa ni wapi na mkiani ni wapi,nikiwa na waza jinsi tutakavyomezwa kama ile movie ya Anaconda, mara tochi ikajizima kafla(hapo miujiza iltendeka) hiyo tochi ilkuwa mpya na ilkuwa ni ya kuchajiwa na umeme. Ikanibidi niwashe bike,mshikaji kaganda hawezi hata kuongea kazi ni kuniminya bega[emoji23][emoji23][emoji23]
Tukawa tupo kwenye giza nene sana kama la manta, kupiga kiki ya kwanza ya pili ikakubali taa zikawaka kucheki mbele hamna kitu, nikatia gia nikawa naondoka pole pole nikasikia sauti inacheka, kwa sauti ya XR dume ila niliisikia vizuri ilkuwa inatokea kwenye vichaka..ila namshukuru mungu tulifika camp salama na tochi inawaka kwenye bakubaku[emoji30][emoji30][emoji30]
Hahaaa... Et nani RonaldoNitamuuliza kuna mzee yeye ndio anajua nani mkali kama Messi na Ronaldo.
Huko Madanga,Kwa Chaga,Kwa Mkomba,Sakura na Mkwaja kuna mafundi haswa.
Hotel hiyo ndio Swiss farm cottage au? Maana ndio hotel iliyopo close na mkapa....tofauti na hiyo ni mulas hotel....Dah ndio na Mimi nagundua sasa hivi, sijui kwanini muda sana nashindwa kutofautisha Mkuzi na Lukozi! Mzuka alishafariki miaka mingi akamuacha yule Mama, alikua na Mabinti wawili sijui wako wapi siku hizi. Walifungua hotel yao jirani na Makazi ya Mzee Mkapa! Nasikia Mzee ....... Usiku mwema