Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

hahahahhhh..

Mzee wa "hujajibu swali" ushafika tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajajibu. Kama mwanasiasa aliyebanwa na muandishi wa habari mahiri.

Halafu analeta logical non sequitur.

Issue ni ku prove uchawi kwa facts. Yeye ananiambia hayajanikuta.

Namuuliza, hayajanikuta yapi? Na yakinikuta, tutajuaje ni kwa sababu ya uchawi tu, na si kingine chochote?

Sijaona jibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi maana ya mysterious ni nini?

Samahani kwa kwenda nje ya mada!

Maana naona Google location wanapaita Gambosh kuwa ni mysterious area!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi maana ya mysterious ni nini?

Samahani kwa kwenda nje ya mada!

Maana naona Google location wanapaita Gambosh kuwa ni mysterious area!



Sent using Jamii Forums mobile app
Mysterious ni suala la kuhusiana na maajabu, lisilojulikana vizuri.

We unatafuta Gambosh Google wakati huko ni kijiji cha jirani kwao Nyani Ngabu na yeye ana habari zote za huko.

Na anasema hakuna uchawi kama inavyodaiwa na watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataalam nina swali hapa kuhusu mambo haya tunayojadili

Kun mdau huko nyuma kaeleza kuhusu mwanafunzi mmoja kufanya mapenzi na wasichana karibu mabweni mawili usiku bila wao kujitambua. Je, huyo alikuwa mchawi au ni mtu tu wa kutumia madawa?

Halafu swali ambatatano;

Nasikia kuna watu wanatumia madawa kutongozea wanawake (yani anampata mwanamke yeyote anaemhitaji kupitia madawa)
Je, hii sayansi ipo ama ni fix?

Yani mwanamke yeyote kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani Ngabu mwenyewe kaenda US kwa msaada wa wataalam kutoka Gambosh.
Acha kubisha bisha kwenye mysterious things.
Uchawi hauchunguzwi kwa darubini wala telescope.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ongezea nyama zaidi kwenye maelezo.
Hapa mtongozaji anakuwa na kitu mfukoni mwake? Mdomoni au amechanjwa?

Tupe uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu tafuta hela uwe nazo. Si hivyo tu ila uonekane kwamba una hela. Kuwe na evidence kwamba una hela. Huhitaji hirizi wala chanjo. Hata mawaziri wa kike utawapata. Halafu hawa wadudu ukitaka uwapate kiurahisi usiwe unaongea sana. Paki gari lako zuri wasalimie kaa kimya. Maongezi wanaanza wenyewe. Yaani uwe cool na smart. Ukiona wamejichanganya 3 wanajuana. Ukimpata 1 mnunulie simu kali halafu achana nae hao wengine utawapata kwa samaki wa kuchoma pale Kawe.
 
Mkuu usawa huu bado kuna hela za kuchezea Kwa wanawake?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijijini kwetu kuna msitu mmoja una mauza uza sana. Unapoingia kijijini kwa gari au baisikeli lazima upite hapo. Sasa miongoni mwa mashart yake ni kuwa kama umetoka kulala na mwanamke usipite kwenye huo msitu, tafuta njia nyingine hata kama ni ya kuzunguka sana. Msela akatoka kwa demu wake kijijini kwetu anarudi kkwao usiku wa manane na baisikeli yake. Ile anaanza tu msitu akamkuta msichana mrembooo, akaanza kwenda naye sambamda. Jamaa akikimbiza baisikeli binti yupo, akienda polepole yupo pembeni tu... Alipofika home hakujua ilikuwaje ila alikuwa kajiko.lea na haja Kubwa.
Nyingine jamaa kapok zake kuutwika anarudi home anapiga kelele, aliisha katazwa lakini hakusikia. Akamuona mshikaji mrefuuuu, jamaa akatoka mbio kwenda kwake na pombe zikaisha. Ile anafika home akamkuta jamaa kasimama mlangoni kwake... Akazimia hapo hapo, na pombe akaacha.
 
Ipo hivi miaka kadhaa huko nyuma wakati nme ajiliwa mgodini nlizua msala kazini na kwa situation ilivyo kua nlikua sichomoi hio kesi evidence zote zilikua wazi ina nlikua nasubir tu hearing ya kesi nipigwe termination basi bwana nlikua na ka demu kangu nikakaambia hio issue kaka niambia kua kuna fundi mmoja huko ushirombo anaweza ku solve hio kitu mimi sikua mtu wa kuamini hayo mambo lkn maji yalikua shingoni ikabidi niende nikatoa shariti sitaki chale kwenye mwili wangu basi tukafika nika mueleza yule mzee akanipa mafuta ya kupaka na vimizizi flani akaniambia siku ya hearing nijipake hayo mafuta nikinuia maneno then nikifika kwenye kesi nitafune vile vimizizi kama karafuu hivi wakati naongea story ni ndefu kidogo acha niikate inshort kesi nlichimoa,
Sababu yule mzee aliniambia hio dawa naweza ingiza mtu box siku moja nlikua nme kwama nna shida na hela kuna jamaa mmoja nlikua najua ana hela ila jinsi ya kumuomba ni ngumu maana ni bahiri balaa nikatumia ile ile kitu ya babu nikamface jamaa yaan kiki moja tu tukaenda bank akanitoa hela.
Ya mwisho kuna demu mmoja tulikua tuna fanya nae kazi alikua ana cheo kunizidi inshort alikua kanizidi kila kitu nlisha omba sana anachomoa ikabidi nitumie ile kitu ya babu aah mapema sana nikang'oa chombo
Mkuu ongezea nyama zaidi kwenye maelezo.
Hapa mtongozaji anakuwa na kitu mfukoni mwake? Mdomoni au amechanjwa?

Tupe uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyingine Sumbawanga wakati wa Ujenzi wa shule za kata ile wananchi kuchangia nguvu kazi, mzee mmoja alikuwa haendi wala nini... Afisa Mtendaji wa kata akampa adhabu kuwa hadi kesho yake asubuhi wakute kasomba tanuru mbili za tofali na kusogeza site, vinginevyo atapelekwa polisi. Mzee akasema sawa nitafanya usiku.

Asubuhi wanaamka, tanuru halipo, ila Kijiji chote, wazee, watoto, watumishi kanisani hadi Mtendaji kata wapo hoi, wamechafuka umbi la tofali. Mzee hakuguswa tena na kazi za jamii...
 
Ni Mchawi,ameweza kufanya hivyo kwa kutumia Madawa

Ni kweli zipo hizo dawa,kila mwanamke unayekutana naye anakupenda,zipo nyingine ukitongoza tu hchomoki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…