Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajajibu. Kama mwanasiasa aliyebanwa na muandishi wa habari mahiri.
Ok.. muda ukifika nitafute tuone twafanyaje
Hajajibu. Kama mwanasiasa aliyebanwa na muandishi wa habari mahiri.
Halafu analeta logical non sequitur.
Issue ni ku prove uchawi kwa facts. Yeye ananiambia hayajanikuta.
Namuuliza, hayajanikuta yapi? Na yakinikuta, tutajuaje ni kwa sababu ya uchawi tu, na si kingine chochote?
Sijaona jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mysterious ni suala la kuhusiana na maajabu, lisilojulikana vizuri.Mkuu hivi maana ya mysterious ni nini?
Samahani kwa kwenda nje ya mada!
Maana naona Google location wanapaita Gambosh kuwa ni mysterious area!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo swali la pili ni kweli demu yoyote hachomoi unless awe na kinga either ya kichawi au mtu wa maombi akiwa empty handed analiwa kweupe kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mysterious ni suala la kuhusiana na maajabu, lisilojulikana vizuri.
We unatafuta Gambosh Google wakati huko ni kijiji cha jirani kwao Nyani Ngabu na yeye ana habari zote za huko.
Na anasema hakuna uchawi kama inavyodaiwa na watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu tafuta hela uwe nazo. Si hivyo tu ila uonekane kwamba una hela. Kuwe na evidence kwamba una hela. Huhitaji hirizi wala chanjo. Hata mawaziri wa kike utawapata. Halafu hawa wadudu ukitaka uwapate kiurahisi usiwe unaongea sana. Paki gari lako zuri wasalimie kaa kimya. Maongezi wanaanza wenyewe. Yaani uwe cool na smart. Ukiona wamejichanganya 3 wanajuana. Ukimpata 1 mnunulie simu kali halafu achana nae hao wengine utawapata kwa samaki wa kuchoma pale Kawe.Mkuu ongezea nyama zaidi kwenye maelezo.
Hapa mtongozaji anakuwa na kitu mfukoni mwake? Mdomoni au amechanjwa?
Tupe uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu tafuta hela uwe nazo. Si hivyo tu ila uonekane kwamba una hela. Kuwe na evidence kwamba una hela. Huhitaji hirizi wala chanjo. Hata mawaziri wa kike utawapata. Halafu hawa wadudu ukitaka uwapate kiurahisi usiwe unaongea sana. Paki gari lako zuri wasalimie kaa kimya. Maongezi wanaanza wenyewe. Yaani uwe cool na smart. Ukiona wamejichanganya 3 wanajuana. Ukimpata 1 mnunulie simu kali halafu achana nae hao wengine utawapata kwa samaki wa kuchoma pale Kawe.
Mkuu ongezea nyama zaidi kwenye maelezo.
Hapa mtongozaji anakuwa na kitu mfukoni mwake? Mdomoni au amechanjwa?
Tupe uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mchawi,ameweza kufanya hivyo kwa kutumia MadawaWataalam nina swali hapa kuhusu mambo haya tunayojadili
Kun mdau huko nyuma kaeleza kuhusu mwanafunzi mmoja kufanya mapenzi na wasichana karibu mabweni mawili usiku bila wao kujitambua. Je, huyo alikuwa mchawi au ni mtu tu wa kutumia madawa?
Halafu swali ambatatano;
Nasikia kuna watu wanatumia madawa kutongozea wanawake (yani anampata mwanamke yeyote anaemhitaji kupitia madawa)
Je, hii sayansi ipo ama ni fix?
Yani mwanamke yeyote kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app