Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Daaah so sad.Ilikuwa kipindi Niko shule,ndoto za kifo zikawa zinanijia Ila Mara napotezea...
Sometimes nikikaa mawazo yananijia kwamba Stella uliota ndoto hii..nikawa sitilii maanani ukizingatia kipindi hicho bado umri mdogo na nilikuwa sijakomaa Sana kiimani.
Nikawa Tena napata mawazo ya nguo, yaani Kama ndoto inanijia dadangu ameshona nguo yake halafu ikapotea(Dada yangu alikuwa fundi cherehani)
Nimerudi likizo mwezi June nikaambiwa dada kihoma kinamsumbua.
Nikafunga safari kwenda kwake kumsalimia...hakuwa serious Sana yaani ilikuwa homa ya kawaida tu alienda hospital wakampima wakakuta ana typhoid,wakampa dozi ya typhoid.
Bado aliendelea kuugua ,akaenda hospital nyingine akapimwa akaambiwa vidonda vya tumbo.
Huo Ni mwezi June.
Hali ikazidi kuendelea..
Yale mawazo yakawa yananijia Tena lakini masikini sijui Ni kutokutambua au utoto,nikawa siyatilii maanani.
Mwezi huo huo akapelekwa Tena hsp akakutwa na tatizo la figo,japo alikuwa fiti tu,hajawahi kuugua ugonjwa wa Figo nyuma,familia hazina historia za magonjwa hayo,kwamba ana HIV hakuna..ilikuja tu from no where.
Tukawa tumeanza maombi,
Binafsi nikaanza maombi kwa ajili yake.
Shida ikawa upande wa mume,wakampeleka kwa waganga wa kienyeji..wakawa wanaambiwa maneno mengi,mwingine anasema Mara fulani alikuroga ,mwingine fulani (dereva)amekuroga,,Huyo dereva alikuwa dereva wa gari la familia la biashara,baada ya kuona anaingiza loss sana akapokonywa gari na likaenda kupakiwa pale nyumbani kwa dada maana Yeye ndiye alikuwa msimamizi wa hayo mapato.
Alipogundulika na Hilo tatizo alianzishiwa tiba ya hosp.
July Mimi nikarudi shule nikimuacha Dada yangu anaendelea vizuri,shida ikawa hiyo michanganyo..Mara waganga,Mara maombi na hosp.
Kuna mtumishi aliongea naye akamuombea akafunuliwa hayo ya nguo.
Kipande Cha nguo kilichukuliwa kikaenda kufanyiwa Mambo huko na kikazikwa.
Nilijitahidi weekend moja kuomba ruhusa na kurudi kumuona dada ..ilikuwa October..nikakuta Hali yake SI nzuri.
Baadaye naye alichoka Yale madawa ya kienyeji ..nilirudi hiyo siku nilikuta wametoka hsp kufanyiwa dialysis.. Hali yake ikazidi kuwa mbaya..
Alinambia mdogo wangu nashindwa kula,nashindwa kuongea vizuri,nashindwa kutembelea,niombee
Niliomba Sana,nilirudi shule ratiba yangu ilijikita Kwenye kumuombea dada...
Walikuja watumishi wanaojiita manabii akaomba kupelekwa.
Kweli nabii alimpitia akamwambia una shida ya Figo, akamwambia ndiyo..akamtazama baadaye akaondoka.
Mara wakawa wanasema kuonana naye Hadi utoe hela laki 3 ..hizo taarifa nilizipata baada ya kuwapigia simu kuongea nao.
Tuliendelea kuomba,,nilipata Tena muda nikarudi nyumbani,aliniomba nimuombee..nikamuombea.
Wiki hiyo alizidiwa akarudishwa hsp,akawa analumulia machine,siku tatu mfululizo..ya nne akapata nafuu,wanaenda kumuona yaani Hadi anaongea vizuri.
Hiyo wiki nipo Kwenye mfungo..
Asubuhi nimeamka Mara bega likawa linanicheza Sana.
Nikakaa nikatulia Sana mawazo yakawa yananijia kwamba nyumbani Hali SI nzuri Kama Kuna tatizo.
Mchana matron alipigiwa simu na shemeji kumpa taarifa za kifo Cha dada yangu(shemeji yangu mume wa dada yangu mwingine(Sio Huyo mgonjwa ) alikuwa mwalimu pale shule ninayosoma.
Matron akamtafuta rafiki yangu, akamwambia anirudishe nyumbani bila Mimi kujua chochote, wakapanga mpango hapo..rafiki akaja akasema matron ameniruhusu nikamuomba tutoke wote..kweli? Namuuliza ananijibu ndiyo..kwenda kumuuliza matron akakubali,sikustuka kwa sababu matron alikuwa ananiruhusu Mara nyingi kwenda home.
Yule rafiki akasema twende kwanza kwenu tukawasalimie halafu tupike na chakula Cha kurudi nacho shule.
Tumefika mitaa ya home nashangaa jirani ananiambia msiende hivyo,njoo mchukue vitenge mvae..nikajua hapa tayari.
Nikawa najiuliza,nimalizie mfungo au nikate tu muda huo ,ninayemuombea amekufa asubuhi
USHAURI WANGU
Ukiamua kusimama upande wa Mungu,Basi simamia huko.
Changamoto huja pale wengine wanaamini Hiki,wengine kile,
Hamuwezi kufikia mafanikio.
Usipuuze mawazo yanayokujia.
Mara nyingi Mungu anasema na sisi kwa njia ya mawazo na ndoto lakini tumekuwa tukipuuzia.
Ile sauti unayoisikia akilini jifunze kuisikiliza.
Jifunze kuombea ndoto.
Ndoto nyingine huwa zinatokea kweli.
Mimi niliota na nikaipuuza licha ya kukumbushwa Mara nyingi.
mahondaw
Yna aika
Heaven Sent
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ya kuhisi mtu yuko nyuma yako inakuwaje?
Halafu excel anakusalimia sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa kipindi Niko shule,ndoto za kifo zikawa zinanijia Ila Mara napotezea...

Nakazia hapa kwa huu mstari.Ilikuwa kipindi Niko shule,ndoto za kifo zikawa zinanijia Ila Mara napotezea...

Kiranga cha ngeda..Chezea Kiranga wewe
MM naomba unifafanulie kuhusu ndele.
Inatengenezwaje? Inatumikaje baada ya hapo? Je kuna manuizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana dear,Ilikuwa kipindi Niko shule,ndoto za kifo zikawa zinanijia Ila Mara napotezea...

pamoja Mkuu.Ahsante sana mkuu kwa kusoma machapisho yangu. Ngoja mkuu nianze kufikiria kama nitaweza kupata cha kuandika hicho ulichoniambia....
Niliwahi lakini kuandika kuhusu Nature's Caches against Soul's Caches. Zinavyo effect maisha ya mwanadamu. Hope umeusoma..Ila nitafanyia kazi mawazo yako.
Ahsante sana mkuu
hiyo namba moja umeigonga vile vile, mtu lazima upataje utapokuwa, sasa kimjini mjini tuna tabia ya kuficha tulipo tusipigwe mizinga ndio tatizo linapoanzia!Dizain ya kuua ( hii nilisoma sehemu sijui kuna ukweli gani )
1.Kwa kusaini hati ya kifo inakua hivi. .
From nowhere mtu anaweza kukupigia cm au hata kukuuliza tu bila simu kuwa kesho utakuepo?? Wewe Bila kujua unaeza jibu hapana sitakuepo ( labda kama hio kesho una ratiba fulani? Unknowingly Utajibu sitakuepo ..pale unapojibu sitakuepo tu tayari unakua umeshasaini hati ya kifo wewe mwenyewe. .mtu akikuuliza hivo unachotakiwa kujibu ni kuwa : ndio kesho nitakua sehemu fulani ( unaitaja hio sehemu mfano kesho saa fulani nitakua kanisani au nitakua sokoni au kwa fulani ) automatic unakua umevunja na kuharibu huo mpango/kapo cha kifo wakukuua kwani watu wakiokufa ndio hawapo na wenye uhai wapo sehemu mbalimbali
2. Kutumia nyoka ( waliotumwa kichawi lakini )
Wachawi pia hutumia sana nyoka katika kutaka kuua. Inakua hivi. Wanamtuma huyo nyoka ( wakiwa wameshafanya madawa yao ) kwenda kwenye nyumba ambayo muhusika wa kuuawa yupo .
Kama mnavojua nyoka akionekana automatic watu hutaka kumuua hapohapo. So mkimuua huyo nyoka tu mnakua mmemuua huyo mtu alielengwa kuuawa kichawi. Kiuhalisia huyo mtu Anaeza asife hapohapo lakini ipo siku atakufa tu mtake msitake. So wengine husema kuwa ili kuepuka hili kemeeni kwanza pia hutakiwi kumuua huyo nyoka kitu ambacho ni kigumu sana na Sidhani kama Inawezekana kumuona nyoka nyumbani msimuue sijui inakuaje hapo na ukiona unaota manyoka nyoka mara nyingi kunakua na roho ya kishetani /kichawi inakufatilia
3. Kutumia vitu hivo vitu wakishavichukua huenda kuvifanyia dawa huku wakinena na kufanya mambo yao ya kichawi
So sometimes hawa wadudu wadudu pia hutumiwa (hii nilishuhudia kwa dogo) japo nyoka hupendelea kutumia zaidi ndiomana wengine wakiona nyoka na kukemea/ kusali / kuomba gafla huyo nyoka hupotea Saint anne
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! Hakuna namna ya ku recharge kwani MM?
Maana haya mambo haya si mchezo unashangaa tu unampenda mtu hata hujui mmeanzaje kumbe ni power bank zinafanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi kuota pia mama yangu yangu amepata tatizo.pole sana dear,
kabisa ndoto ni taharifa kabla ya jambo kutokea,
nakumbuka mwaka jana kuna usiku mmoja mimi,dada yangu,na mdogo wangu wa kiume tuliota msiba mkubwa sana nyumbani na ulikua ni usiku mmoja na mida ile ile wote kwa pamoja tukaota ndoto io,
Tuliamka na kukemea sana roho ya mauti, asubuhi ya io siku mama aliamka anaumwa sana lakini maombi yetu yaliepusha ile roho ya umauti iliozengea,
ndoto ni taharifa ni ya kuchukulia kwa umakini na kutokuipuuzia.
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo namba moja umeigonga vile vile, mtu lazima upataje utapokuwa, sasa kimjini mjini tuna tabia ya kuficha tulipo tusipigwe mizinga ndio tatizo linapoanzia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuja kujua hili baadaye Sana.Pole sana.Nakazia hapa kwa huu mstari.
Ayubu 33:14-15
14 Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali.
15 Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Katika usingizi kitandani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiwa wanafanya kazi huko shambani wanaonekana? Kama hawaonekani majirani watasemaje pindi wanapoona shamba limelimwa asubuhi na jana mpaka jioni lilikuwa halijalimwa?Bei hutofautiana na matumizi,muda pamoja na afya ya (kijakazi) ndilo jina analoitwa kokote kule Mchawi ataitwa Mshirika na msukule anaitwa (Kijakazi)
Kuhusu Bei sijui nimeacha tangu 2018, Nachojua bei hutofautiana kulingana na hadhi au Nini alichonacho (Nyota)
Kuhusu kiwango cha pesa nilichokua nanunua hapa mkuu nitakukwepa kujibu .
Kwa shughuli za shamba Ni vigumu kujua wanalima wangapi na hawaruhusu ujue unalipa pesa mnapeana muda kazi yako Ni kukagua tu,mm nlinunua mmoja na siku kumaliza muda mrefu niliwafata wamchukue
Kuhusu shamba si kulima tu,baadhi ya shugul za shambani watafanya,mfano mzuri nenda siku ya gulio Matombo au kipindi Cha mavuno,angallia mabosi wanaokuja kuleta au kuchukua mzigo ,Kuna vibarua hua badhi yao huja nao ukiwachunguza kwa umakini utagundua Ni wale ambao tunasema wamekwisha kufa lakini bdo wanaishi.
Binafsi sijawahi kuwafuga Wala kuishi nao ila nachojua Mchawi kuwalaza hata mtaroni haoni kwake hasara ,hawana mahala sahihi kwa kuwekwa ila utakapoenda kununua wapo ktk vyumba wanafungiwemo humo
Si kila kitu ktk kilimo watafanya,shughuli nyingine zinahitaji Maarifa si nguvu,lengo la kutumia hawa vijakazi Ni urahisishaji wa kazi,na gharama nafuu
Ufanyaji wa kazi hutegemeana na Aina ya kazi,kilimo hakiwezi kufanywa mchana, muda mzuri Ni kuanzia saa sita usiku Hadi 11Alfajiri
Vijakazi Ni binadamu,Kama wengine huhisi,hutafakari,hung'amua isipokua uwezo wa kujinasua Ni mdogo kwao,wametekwa Ni watumwa it's hard to them to escape,if wakinyimwa chakula mazingira si rafiki,afya kuzorota huchangia vifo vyao.