Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
Mkuu
hawa misukule huwa wanaumwa?
Naje wakifa wanazikwa?
Pia mwenyewe akifa inakuwaje?
Je kuna wachawi ambao hawaoa misukule wao au kuolewa na misukule?
kuna misukule wazungu au foreigners?
Watoto wadogo misukule hua wanakua wakubwa?
[emoji3][emoji3] nimeenda Google nikakutana hichi kitu ila ngoja nilisome mkuu nione itakuajeTomino's Hell ni Shairi Ambalo Unaambiwa Hutakiwi Kusoma Kwa Sauti!, Soma Kimya Kimya na inaelezwa Ukisoma Kwa Sauti Shairi hili Kuna Mawili, Either Utakufa au Utapambana na Mauzauza Katika Maisha Yako!. .
.
Shairi Hili Liliandikwa Mwaka 1919 na Mwandishi 'Saijou Yaso' Raia wa Japan na Wakati Anaandika Shairi hili Alikua na Umri wa Miaka 26 tuu, Inaelezwa pia Mtu Huyu Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
'Saijou Yaso' Alikua Mwandishi Maarufu sana wa Mashairi Kutoka Nchini JAPAN, Alizaliwa January 15, 1892 Huko Tokyo Japan na Kufariki August 12, 1970. .
.
Shairi Hili Linamhusu Mtu Mmoja Anaeitwa 'Tomino', Tomino Alikua Anasafiri Kwenye KUZIMU!. Mwaka 1974 Muongozaji wa Movie wa Kijapan 'Terayama Shuji' Alitaka Kutengenezea Movie Shairi hili, Ajabu ni Kwamba Miaka Michache Baada ya Movie Kutoka ALIKUFA!. Movie Inaitwa 'To Die in the Countryside'. .
.
Je Kwanini Shairi Hili Linatisha? Kwanini Lazima Usome Kimya Kimya? na Je Huyu TOMINO ni Nani? .
.
Kuna Story Nyingi sana Kuhusu Mtu Huyu 'Tomino' Aliyeandikwa Katika Shairi Hili, Kuna Siri Kubwa isiyojulikana Kirahisi Kumhusu Mwandishi huyu ambaye Inaelezwa kuwa Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
Hiki ni Kipande tuu cha Shairi la Tomino, Kuna Lugha Tatu Tofauti Hapa, Liko Tlanslated.
姉は血を吐く、妹(いもと)は火吐く、
ane wa chi wo haku, imoto wa hibaku,
His older sister vomited blood, his younger sister vomited fire,
可愛いトミノは 宝玉(たま)を吐く。
kawaii tomino wa tama wo haku.
And the cute Tomino vomited glass beads.
ひとり地獄に落ちゆくトミノ、
hitori jigoku ni ochiyuku tomino.
Tomino fell into Hell alone,
地獄くらやみ花も無き。
jigoku kurayami hana mo naki.
Hell is wrapped in darkness and even the flowers don't bloom.
鞭で叩くはトミノの姉か、
muchi de tataku wa tomino no ane ka,
Is the person with the whip Tomino's older sister,
鞭の朱総(しゅぶさ)が 気にかかる。
muchi no shubusa ga ki ni kakaru.
I wonder whose blood is on it?
叩けや叩きやれ叩かずとても、
tatakeya tatakiyare tatakazu totemo,
Hit, hit, without hitting,
無間地獄はひとつみち。
mugen jigoku wa hitotsu michi.
Infinite Hell's one road.
暗い地獄へ案内(あない)をたのむ、
kurai jigoku e anai wo tanomu,
Would you lead him to the dark Hell, .
.
KIRANGA KAMA UNAJITIA UBISHI WA KISHABIKI EMBU FANYA HIKI KITU ARAFU ULETE HAPA MREJESHO..[emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.. kuna watu mmejaliwa maneno vinywa vyenye kuumba maneno.Mimi kuna mtoto wa ndugu yangu.kuna siku alinikwaza kweli kweli.
Yaani alinikwaza kweli yaani...mpaka machozi yalinitoka siku hiyo.
Na kuna jambo ambalo alikuwa anasubiria majibu.
Kwa hasira nilivyokwazika siku ile nilinena maneno mabaya juu yake na nilisema akose hilo jambo analolisubiria...
asee baada ya siku kupita na hasira tu zilivyoisha nikasahau yoteee mimi huwa nimtu wa kuchukia hapo hapo tu ila ni mwepesi kusahau..
Huwezi anini lile jambo nililonena kwake akose alikosa kweli....
Niliumia sana japo hakuna mtu yoyote ambae nilimwambia kwamba nilimnenea vile zidi ya leo naandika hapo...
Niliumia sana pasipo kujua jinsi gani ya kufanya yale maneno yasiendelee kuleta madhara kwake.
Kwani nilimsamehe na kumuomba MUNGU ayatengue...
Na nikaapa sitarudia tena kumnenea mtu mabaya.... @Da'Vinci
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee.nimekoma.namuonea dogo huruma.ila kila siku namwombea MEMA kila siku naiman next time atafanikiwaPole sana.. kuna watu mmejaliwa maneno vinywa vyenye kuumba maneno.
Jaribu ku practice huo uwezo wako uutumia kuwanenea watu mema..Japo mema hukawia kutokea..
Ushajingundua usirudie kuruhusu hisia zako zikateka ufikiri
Kaombe misa ya kuvunja maagano mkuu..Asee.nimekoma.namuonea dogo huruma.ila kila siku namwombea MEMA kila siku naiman next time atafanikiwa
Kama kwwli hivyi vidono vinafanya kazi mbona hatuna mabondia wakubwa si wangetumia huko?Siku zote uchawi una hasara hauna faida
Na wakichanjiwa navyo wanakuwa na nguvu balaa mwanaume mmoja ana nguvu za wanaume kama kumi wa mikoani kwa hyo hawa watu sio wa kugombana nao watakupoteza mtu gani anapigwa hatoi damu ,hachaniki
Mfano kama kuna kundi mmekaa kuna watu wana vidono wamechanjiwa ikitokea mmoja ametibuka au vimpenda kichwani wakaribu yake kama wanavyo nao wanatibuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani hivi huwa mnasali vp linapotokea jambo au ndoto mbaya?Nilishawahi kuota pia mama yangu yangu amepata tatizo.
Nimeamka sikujua Ni tatizo gani ila yale mawazo yakawa yananijia Tena na Tena,
Nikawa napata kengele kichwani kwamba Kuna kitu lakini nikapuuzia sikufanya lolote..nadhani ujinga wangu pia ulichangia
Ule mwaka mama yangu alipata matatizo,yaani siji kusahau.
Ni Mungu tu alitenda.
Mwaka Jana december pia nimelala nikawa naota nyumbani, naona km Kuna kitu kibaya kitatokea na kitamuathiri mama.
Asubuhi nilivyoamka Yale mawazo yakawa yananijia Tena...nikasali.
Baadaye nikatulia kusikiliza mawazo yatakayonijia baada ya maombi.
Kuna mstari ukaja akilini nikashika Bible nikafunngua palepale ulipo ilikuwa habakuki nadhani.
Nikamtumia mama message nikamwambia asali, nikamwambia simama kwa miguu yako..usisubiri mtu akusalie.
Kweli haikupita wiki Kuna mtu mbaya alienda nyumbani..lakini lilipita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nmepita bila kusoma kabisaa, sitaki shari[emoji23]Tomino's Hell ni Shairi Ambalo Unaambiwa Hutakiwi Kusoma Kwa Sauti!, Soma Kimya Kimya na inaelezwa Ukisoma Kwa Sauti Shairi hili Kuna Mawili, Either Utakufa au Utapambana na Mauzauza Katika Maisha Yako!. .
.
Shairi Hili Liliandikwa Mwaka 1919 na Mwandishi 'Saijou Yaso' Raia wa Japan na Wakati Anaandika Shairi hili Alikua na Umri wa Miaka 26 tuu, Inaelezwa pia Mtu Huyu Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
'Saijou Yaso' Alikua Mwandishi Maarufu sana wa Mashairi Kutoka Nchini JAPAN, Alizaliwa January 15, 1892 Huko Tokyo Japan na Kufariki August 12, 1970. .
.
Shairi Hili Linamhusu Mtu Mmoja Anaeitwa 'Tomino', Tomino Alikua Anasafiri Kwenye KUZIMU!. Mwaka 1974 Muongozaji wa Movie wa Kijapan 'Terayama Shuji' Alitaka Kutengenezea Movie Shairi hili, Ajabu ni Kwamba Miaka Michache Baada ya Movie Kutoka ALIKUFA!. Movie Inaitwa 'To Die in the Countryside'. .
.
Je Kwanini Shairi Hili Linatisha? Kwanini Lazima Usome Kimya Kimya? na Je Huyu TOMINO ni Nani? .
.
Kuna Story Nyingi sana Kuhusu Mtu Huyu 'Tomino' Aliyeandikwa Katika Shairi Hili, Kuna Siri Kubwa isiyojulikana Kirahisi Kumhusu Mwandishi huyu ambaye Inaelezwa kuwa Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
Hiki ni Kipande tuu cha Shairi la Tomino, Kuna Lugha Tatu Tofauti Hapa, Liko Tlanslated.
姉は血を吐く、妹(いもと)は火吐く、
ane wa chi wo haku, imoto wa hibaku,
His older sister vomited blood, his younger sister vomited fire,
可愛いトミノは 宝玉(たま)を吐く。
kawaii tomino wa tama wo haku.
And the cute Tomino vomited glass beads.
ひとり地獄に落ちゆくトミノ、
hitori jigoku ni ochiyuku tomino.
Tomino fell into Hell alone,
地獄くらやみ花も無き。
jigoku kurayami hana mo naki.
Hell is wrapped in darkness and even the flowers don't bloom.
鞭で叩くはトミノの姉か、
muchi de tataku wa tomino no ane ka,
Is the person with the whip Tomino's older sister,
鞭の朱総(しゅぶさ)が 気にかかる。
muchi no shubusa ga ki ni kakaru.
I wonder whose blood is on it?
叩けや叩きやれ叩かずとても、
tatakeya tatakiyare tatakazu totemo,
Hit, hit, without hitting,
無間地獄はひとつみち。
mugen jigoku wa hitotsu michi.
Infinite Hell's one road.
暗い地獄へ案内(あない)をたのむ、
kurai jigoku e anai wo tanomu,
Would you lead him to the dark Hell, .
.
KIRANGA KAMA UNAJITIA UBISHI WA KISHABIKI EMBU FANYA HIKI KITU ARAFU ULETE HAPA MREJESHO..[emoji102]
Sent using Jamii Forums mobile app
enzi hizo nikiwa na age ya 6, nilitumwa kununua maziwa afu nje nilishuhudia nguvu ya giza nene balaa, nilirudi home nikiwa na jagi lenye ramani ya maziwa tuu mana ckumbuki yalimwagika muda gani.
Munguwangu wa mbinguni naomba unisaidie jribu hili linipite.Samahani hivi huwa mnasali vp linapotokea jambo au ndoto mbaya?
tatizo lugha
Kilitokea nn mkuuMe ktk maisha yangu nimeshuhudia mambo mengi sana ya kichawi ingawa mengine nikatka ndoto lakini yalikua na uhalisia
Ila tukio ambalo siwezi kusahau ni ktk hizi nyumaba za kupanga ambapo nilipanga na mmama mmoja hivi wa kiha, basi kuna rafiki yangu yeye alikua na mashetani ya uganga na nilikua nalala naye
Siku moja akaniambia ndg yangu huyu mama jirani yetu mchawi nilimuona kaingia humu na Lengo lake nikutuchezea nikachukulia kawaida
Basi yule jamaa alikuja akaondoka nikabaki Mimi na ndg yangu mmoja asa hapo Yule mama akawa anafanya utawala sasa full kututesa usiku kuna kipindi nikawa namuona kabisa anaingia kupitoa mlango mida ya usiku lakini nikawa nashikwa na bumbuwazi nashindwa kusema
Siku moja nilipoona mambo yamekua si mambo ikabidi niende Kwa dr mmoja hivi akaninipa dawa na kaniambia nenda kadeki ndani na utadeki Kwa muda wa siku 3 kweli Kesho yake asubuhi nikafanya hivyo kablacjaenda kwenye Mishe
Asa nilikuja kushanga ucku nilipo lala mishale ya saa 8 ucku niliskia sauti ya paka alilia mara3 nachakushangaza alitokea mlangoni na mlango nilikua nimefunga akaelekea uvunguni wa kitanda
Mpaka kuna kucha akawa yupo mle ndani na hali ya pale nyumani ikawa imezorota Fulani yaani mtoto wa Yule mama alikua mpole sana na hata mama yake akawa haonekani ovyo na hata nikikutana naye namuona yupo katka Hali ya unyonge na kisasi cha Hali ya juu
Ila nilifuata Yule Dr nakumueleza akaniambia Yule ni adui alivyoingia mle alikuta bahari hivyo akawa hana jinsi na akaniambia nenda kamalizie kudeki hiyo dawa
Ingawa kuna siku wakati nachanganya ile Dawa ili nideki alikuja Yule mtoto wa Yule mama akainyooshea kidodole ndoo ya dawa , ila hapa usiniulize nilimuona vp majibu nitakayokupa huenda hautaamini......
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntafanya hivyoKaombe misa ya kuvunja maagano mkuu..
Binaamu yake baba aliwahi kuua mtu kwa maneno tu..Alichukizwa
Asante
Kuna nyumba hapa ilala maeneo ya x imeshindikana ni nyumba nzuri sana kila anaye pangisha lazima wakimbie tu nyumba ina mauzauza hatari .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya yule mama mwenye kiduka mkuu?
Sent using iphone
alama nlobaki nayo mpka leo ya yule dubwana
inshort wengi humu wanasema sjui hakuna uchawi huwa nawaangalia tu but kwa yaliyonikuta nikikuhis hata unatembea na hiriz mfkoni hata kama ndgu yngu hutoniona tena maishan mwakoView attachment 1303100
Sent using Jamii Forums mobile app