Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Mkuu

hawa misukule huwa wanaumwa?

Naje wakifa wanazikwa?

Pia mwenyewe akifa inakuwaje?

Je kuna wachawi ambao hawaoa misukule wao au kuolewa na misukule?

kuna misukule wazungu au foreigners?

Watoto wadogo misukule hua wanakua wakubwa?

Duuh

kwaiyo misukule ikiumwa inatibiwa au

na je wanaweza kuumia kazini kama kujiakat or so?

ma misukule wenyewe na wenyewe wanafahamiana na kuwasiliana. je hua wanaongea wenyewe kwa wenyewe au?
 
Kipindi nikiwa mdogo sana nilisimuliwa kuwa mama yetu kipindi akiwa mjamzito alikuwa anaota jirani yetu anamtaka yule mtoto wa tumboni.....

Sasa sikuhiyo mama na mamdogo wameenda fuata maji kisimani sio mbali sana wamavyopita nyumba ya huyo Mmama mchawi aliekuwa anataka mtoto ndotoni kina mama wakamkuta huyo mmama nje kwake na dirishani mume wake anaomba mama aende kymfungulia mlango maana huyo mke aliekaa pembeni amemfungia kwa nje ....

Bi mkubwa alikuwa mtu wa kusali roho ikamwambia tu usifungue......baadaye ndo akaja ambiwa na mtumishi kuwa yule baba ni sawa na ile mimba na ule mlango uliofungwa ndio kizuizi za ujauzito kutoka kilichokuwa kinamshinda yule mmama kumchoropoa bi mkubwa ujauzito na endapo angefungua tu mlango basi sikuhiyo angeumwa na ujauzito ungechoropoka.....

So hivyo tu huyo mmama kuna siku wakati tunacheza nje kwake (kulikuwa kuna uwanja wa mpira) kuna rafiki yetu alikojoa huku yule mmama anamuona basi jioni yule mmama akazoa ule mchamga wenye mkojo akajaingia nao ndani.... Usiku saa 1 hivi yule rafiki etu alianza kuumwa sana mwili umemchemka dudu umevimba sana....cha kushukuru Mungu ilikuwa kila ikifika saa 1 tunaenda watoto wengi kwa huyo rafiki yetu kuangalia mikanda ya ngumi.....

Tulivyoulizwa tukasema alikojoa kwa mama flani, baba wa huyo rafiki yetu alitoka na panga mpaka kwenye hiyo nyumba ya huyo mama akamwambia kufumba na kufumbua anataka mwanae apone lasivyo watagawana majengo ya serikali.... Basi huyo mama akaomba samahani kiutu uzima mzee kurudi kwake jamaa amepona na dudu imerudi kawaida.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tomino's Hell ni Shairi Ambalo Unaambiwa Hutakiwi Kusoma Kwa Sauti!, Soma Kimya Kimya na inaelezwa Ukisoma Kwa Sauti Shairi hili Kuna Mawili, Either Utakufa au Utapambana na Mauzauza Katika Maisha Yako!. .
.
Shairi Hili Liliandikwa Mwaka 1919 na Mwandishi 'Saijou Yaso' Raia wa Japan na Wakati Anaandika Shairi hili Alikua na Umri wa Miaka 26 tuu, Inaelezwa pia Mtu Huyu Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
'Saijou Yaso' Alikua Mwandishi Maarufu sana wa Mashairi Kutoka Nchini JAPAN, Alizaliwa January 15, 1892 Huko Tokyo Japan na Kufariki August 12, 1970. .
.
Shairi Hili Linamhusu Mtu Mmoja Anaeitwa 'Tomino', Tomino Alikua Anasafiri Kwenye KUZIMU!. Mwaka 1974 Muongozaji wa Movie wa Kijapan 'Terayama Shuji' Alitaka Kutengenezea Movie Shairi hili, Ajabu ni Kwamba Miaka Michache Baada ya Movie Kutoka ALIKUFA!. Movie Inaitwa 'To Die in the Countryside'. .
.
Je Kwanini Shairi Hili Linatisha? Kwanini Lazima Usome Kimya Kimya? na Je Huyu TOMINO ni Nani? .
.
Kuna Story Nyingi sana Kuhusu Mtu Huyu 'Tomino' Aliyeandikwa Katika Shairi Hili, Kuna Siri Kubwa isiyojulikana Kirahisi Kumhusu Mwandishi huyu ambaye Inaelezwa kuwa Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
Hiki ni Kipande tuu cha Shairi la Tomino, Kuna Lugha Tatu Tofauti Hapa, Liko Tlanslated.

姉は血を吐く、妹(いもと)は火吐く、
ane wa chi wo haku, imoto wa hibaku,
His older sister vomited blood, his younger sister vomited fire,

可愛いトミノは 宝玉(たま)を吐く。
kawaii tomino wa tama wo haku.
And the cute Tomino vomited glass beads.

ひとり地獄に落ちゆくトミノ、
hitori jigoku ni ochiyuku tomino.
Tomino fell into Hell alone,

地獄くらやみ花も無き。
jigoku kurayami hana mo naki.
Hell is wrapped in darkness and even the flowers don't bloom.

鞭で叩くはトミノの姉か、
muchi de tataku wa tomino no ane ka,
Is the person with the whip Tomino's older sister,

鞭の朱総(しゅぶさ)が 気にかかる。
muchi no shubusa ga ki ni kakaru.
I wonder whose blood is on it?

叩けや叩きやれ叩かずとても、
tatakeya tatakiyare tatakazu totemo,
Hit, hit, without hitting,

無間地獄はひとつみち。
mugen jigoku wa hitotsu michi.
Infinite Hell's one road.

暗い地獄へ案内(あない)をたのむ、
kurai jigoku e anai wo tanomu,
Would you lead him to the dark Hell, .
.

KIRANGA KAMA UNAJITIA UBISHI WA KISHABIKI EMBU FANYA HIKI KITU ARAFU ULETE HAPA MREJESHO..[emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] nimeenda Google nikakutana hichi kitu ila ngoja nilisome mkuu nione itakuaje
Screenshot_20200122-220658.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna mtoto wa ndugu yangu.kuna siku alinikwaza kweli kweli.
Yaani alinikwaza kweli yaani...mpaka machozi yalinitoka siku hiyo.
Na kuna jambo ambalo alikuwa anasubiria majibu.
Kwa hasira nilivyokwazika siku ile nilinena maneno mabaya juu yake na nilisema akose hilo jambo analolisubiria...
asee baada ya siku kupita na hasira tu zilivyoisha nikasahau yoteee mimi huwa nimtu wa kuchukia hapo hapo tu ila ni mwepesi kusahau..
Huwezi anini lile jambo nililonena kwake akose alikosa kweli....
Niliumia sana japo hakuna mtu yoyote ambae nilimwambia kwamba nilimnenea vile zidi ya leo naandika hapo...
Niliumia sana pasipo kujua jinsi gani ya kufanya yale maneno yasiendelee kuleta madhara kwake.
Kwani nilimsamehe na kumuomba MUNGU ayatengue...
Na nikaapa sitarudia tena kumnenea mtu mabaya.... @Da'Vinci

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana.. kuna watu mmejaliwa maneno vinywa vyenye kuumba maneno.
Jaribu ku practice huo uwezo wako uutumia kuwanenea watu mema..Japo mema hukawia kutokea..
Ushajingundua usirudie kuruhusu hisia zako zikateka ufikiri
 
Asee.nimekoma.namuonea dogo huruma.ila kila siku namwombea MEMA kila siku naiman next time atafanikiwa
 
Siku zote uchawi una hasara hauna faida

Na wakichanjiwa navyo wanakuwa na nguvu balaa mwanaume mmoja ana nguvu za wanaume kama kumi wa mikoani kwa hyo hawa watu sio wa kugombana nao watakupoteza mtu gani anapigwa hatoi damu ,hachaniki

Mfano kama kuna kundi mmekaa kuna watu wana vidono wamechanjiwa ikitokea mmoja ametibuka au vimpenda kichwani wakaribu yake kama wanavyo nao wanatibuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kwwli hivyi vidono vinafanya kazi mbona hatuna mabondia wakubwa si wangetumia huko?

tatizo lugha
 
Nilishawahi kuota pia mama yangu yangu amepata tatizo.
Nimeamka sikujua Ni tatizo gani ila yale mawazo yakawa yananijia Tena na Tena,
Nikawa napata kengele kichwani kwamba Kuna kitu lakini nikapuuzia sikufanya lolote..nadhani ujinga wangu pia ulichangia

Ule mwaka mama yangu alipata matatizo,yaani siji kusahau.
Ni Mungu tu alitenda.

Mwaka Jana december pia nimelala nikawa naota nyumbani, naona km Kuna kitu kibaya kitatokea na kitamuathiri mama.
Asubuhi nilivyoamka Yale mawazo yakawa yananijia Tena...nikasali.
Baadaye nikatulia kusikiliza mawazo yatakayonijia baada ya maombi.
Kuna mstari ukaja akilini nikashika Bible nikafunngua palepale ulipo ilikuwa habakuki nadhani.
Nikamtumia mama message nikamwambia asali, nikamwambia simama kwa miguu yako..usisubiri mtu akusalie.
Kweli haikupita wiki Kuna mtu mbaya alienda nyumbani..lakini lilipita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani hivi huwa mnasali vp linapotokea jambo au ndoto mbaya?

tatizo lugha
 
Tomino's Hell ni Shairi Ambalo Unaambiwa Hutakiwi Kusoma Kwa Sauti!, Soma Kimya Kimya na inaelezwa Ukisoma Kwa Sauti Shairi hili Kuna Mawili, Either Utakufa au Utapambana na Mauzauza Katika Maisha Yako!. .
.
Shairi Hili Liliandikwa Mwaka 1919 na Mwandishi 'Saijou Yaso' Raia wa Japan na Wakati Anaandika Shairi hili Alikua na Umri wa Miaka 26 tuu, Inaelezwa pia Mtu Huyu Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
'Saijou Yaso' Alikua Mwandishi Maarufu sana wa Mashairi Kutoka Nchini JAPAN, Alizaliwa January 15, 1892 Huko Tokyo Japan na Kufariki August 12, 1970. .
.
Shairi Hili Linamhusu Mtu Mmoja Anaeitwa 'Tomino', Tomino Alikua Anasafiri Kwenye KUZIMU!. Mwaka 1974 Muongozaji wa Movie wa Kijapan 'Terayama Shuji' Alitaka Kutengenezea Movie Shairi hili, Ajabu ni Kwamba Miaka Michache Baada ya Movie Kutoka ALIKUFA!. Movie Inaitwa 'To Die in the Countryside'. .
.
Je Kwanini Shairi Hili Linatisha? Kwanini Lazima Usome Kimya Kimya? na Je Huyu TOMINO ni Nani? .
.
Kuna Story Nyingi sana Kuhusu Mtu Huyu 'Tomino' Aliyeandikwa Katika Shairi Hili, Kuna Siri Kubwa isiyojulikana Kirahisi Kumhusu Mwandishi huyu ambaye Inaelezwa kuwa Hakuwa Mtu wa Kawaida!. .
.
Hiki ni Kipande tuu cha Shairi la Tomino, Kuna Lugha Tatu Tofauti Hapa, Liko Tlanslated.

姉は血を吐く、妹(いもと)は火吐く、
ane wa chi wo haku, imoto wa hibaku,
His older sister vomited blood, his younger sister vomited fire,

可愛いトミノは 宝玉(たま)を吐く。
kawaii tomino wa tama wo haku.
And the cute Tomino vomited glass beads.

ひとり地獄に落ちゆくトミノ、
hitori jigoku ni ochiyuku tomino.
Tomino fell into Hell alone,

地獄くらやみ花も無き。
jigoku kurayami hana mo naki.
Hell is wrapped in darkness and even the flowers don't bloom.

鞭で叩くはトミノの姉か、
muchi de tataku wa tomino no ane ka,
Is the person with the whip Tomino's older sister,

鞭の朱総(しゅぶさ)が 気にかかる。
muchi no shubusa ga ki ni kakaru.
I wonder whose blood is on it?

叩けや叩きやれ叩かずとても、
tatakeya tatakiyare tatakazu totemo,
Hit, hit, without hitting,

無間地獄はひとつみち。
mugen jigoku wa hitotsu michi.
Infinite Hell's one road.

暗い地獄へ案内(あない)をたのむ、
kurai jigoku e anai wo tanomu,
Would you lead him to the dark Hell, .
.

KIRANGA KAMA UNAJITIA UBISHI WA KISHABIKI EMBU FANYA HIKI KITU ARAFU ULETE HAPA MREJESHO..[emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
Me nmepita bila kusoma kabisaa, sitaki shari[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me ktk maisha yangu nimeshuhudia mambo mengi sana ya kichawi ingawa mengine nikatka ndoto lakini yalikua na uhalisia

Ila tukio ambalo siwezi kusahau ni ktk hizi nyumaba za kupanga ambapo nilipanga na mmama mmoja hivi wa kiha, basi kuna rafiki yangu yeye alikua na mashetani ya uganga na nilikua nalala naye

Siku moja akaniambia ndg yangu huyu mama jirani yetu mchawi nilimuona kaingia humu na Lengo lake nikutuchezea nikachukulia kawaida

Basi yule jamaa alikuja akaondoka nikabaki Mimi na ndg yangu mmoja asa hapo Yule mama akawa anafanya utawala sasa full kututesa usiku kuna kipindi nikawa namuona kabisa anaingia kupitoa mlango mida ya usiku lakini nikawa nashikwa na bumbuwazi nashindwa kusema

Siku moja nilipoona mambo yamekua si mambo ikabidi niende Kwa dr mmoja hivi akaninipa dawa na kaniambia nenda kadeki ndani na utadeki Kwa muda wa siku 3 kweli Kesho yake asubuhi nikafanya hivyo kablacjaenda kwenye Mishe

Asa nilikuja kushanga ucku nilipo lala mishale ya saa 8 ucku niliskia sauti ya paka alilia mara3 nachakushangaza alitokea mlangoni na mlango nilikua nimefunga akaelekea uvunguni wa kitanda

Mpaka kuna kucha akawa yupo mle ndani na hali ya pale nyumani ikawa imezorota Fulani yaani mtoto wa Yule mama alikua mpole sana na hata mama yake akawa haonekani ovyo na hata nikikutana naye namuona yupo katka Hali ya unyonge na kisasi cha Hali ya juu

Ila nilifuata Yule Dr nakumueleza akaniambia Yule ni adui alivyoingia mle alikuta bahari hivyo akawa hana jinsi na akaniambia nenda kamalizie kudeki hiyo dawa

Ingawa kuna siku wakati nachanganya ile Dawa ili nideki alikuja Yule mtoto wa Yule mama akainyooshea kidodole ndoo ya dawa , ila hapa usiniulize nilimuona vp majibu nitakayokupa huenda hautaamini......

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilitokea nn mkuu

yess BiShoo haswaaAaa
 
Back
Top Bottom