Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako



Tusimulie kidogo basi Beco.
 
emu tupe iyo kwa urefu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaeleweka
 
Ndugu yangu mmoja alipata kaz kwa mmama wa kihindi kama msaidizi wa kazii za ndani, amefanyakaz takriban mwaka mmoja ivi lakini alijikuta anacha kazii kwa hichi alichonisimulia.

Boss alikuwa na uwezo wa kipesa akiwa mwenyewe na watoto wake wawili mdogo wa kiume mkubwa wa kike umri kadiria apo darasa laa tatu

Bosi buana sebuleni kunasehemu alipatenga kwa ajili ya kufanyia ibada zakee, sehem hiyo kuliwa na na kasanamu kadogo tu ivi mwenyewe kazungushia maua na vitu mbalimbali kila siku asubuh lazma akakipigie magoti kale kasanamu

Wakati ndugu akiwaza sikuu anaacha kazii akakiibe kale kasanamuu kutokana na uzuri wake hiki ndicho alichokishuhudia kabla.

Sikuu moja buana ndugu yupoo jikoni mtoto wa bosi yupo sebuleni yule dogo wa mwisho yupo chumba cha juuu kalala sijui dogo buana alifata ninii kwenye kale kasamu ghafla ndugu anasikia makelele ya dogo na kishindo kizito kutoka kwenda kuchungulia e bhana we kalikuta bongeee LA jituu jeusi limesimama linahasira ndugu kuangalia vizuri kumbe ni kale kasanamu kameumuka
Ndugu wacha aanze kupiga kelele kumbe wanavyooiga kelele ndivyo wanavyomoandisha mori lillee jitu lilikuwa linabeba makochi tupa kule TV tupa kulee fujoo fujooo ndugu na uoaga wake woteee ilibidi amchukue yule dogo fastaaa kimbialia chumbaa cha juuu kwenda kumchukua yuleee dogooo alieeelalaa kuanza kupigaaa makelele dirishani bahat nzur kulikuwa na mlinzi sasa mlinz anasikia vishindooo jumba linmtetemeko

Ikabidi aingiee ndaniii buana ajamalizia kufungua mlango machoo kwa machoo na lileee jituu unaambiwa mlinzi akuuuliza aligeuzaaaa peku pekuuu uyoooo kishadaaaaa mbiooo ataaaa msaaada hakutoaaa.. Sasa ndugu yangu ikabidi ajitutumue atafute njia ya kutokaaa baahat nzur alipata upenyo mlangoniii akakimbia kuelekeea njeeee akiliacha nyumaaa lilee jitu likifanyaaa vurugu ndaniiii..

Sasa ndugu ananambia kumbeee mlinziii alivyotoka njeeee ya getiii alikuwa anaulizwa na majirani ninii kinaendelea yeye kakazana kuondoka akidai natolewa sadaka ghafla majirani wanamuona ndugu huyooo rafurafu yeyeee madogo woteeee wanalia ndio kuanza kuwaambia ndiyo yule maza kupigiwa simuu, yuleee maza alichokijibu nikuwasisitiza wasingie ndaniii anakujaaa haraka sanaaaa kuanza kuwaulizia watotooo amesshatoka nao njeeee...

Bosii alivyoo rudiiii direct aingia ndaniii ndugu akiwa nyumaaa yaaaani bosiii angechelewa angemkuta njeeee kwa alichonisimulia huyu ndugu bahati nzuri alimkuta mlangoni anataka kutokeza njeeee. Cha kushangaza alivyomfikia akazungumzaa nae maneno kadhaaaa ghafla kutoka kkuwa lijitu li kubwaaa limerudi kuwa kisanamu akakibeba na kukirudisha mahala pakeeee.

Bila kuchelewa Kesho yakeeee ndugu akamuagaaa bosi kuwa maza anaumwa kumbe ndiyoo giaaa ya kuamsha ndugu ananambia at a helaaa hakudaiiii ananambia alikuwa anaomba pakucheee tuuu uyoo aondoke, tokea aondoke na lainnn akabadilisha.


Alivyorud nyumban baada ya sikuuu kazaaa iviii akampigia yule mfanyakaz mwenzake mlinz kumuuliza akasema ajawah ataaa kudai pesa yakeee hajawa ataaa kurudi kiufi kibarua kilishia happoo
 
Unazungukazunguka hueleweki unaelezea nini!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuambie uliyokutana nayo ili tujifunze mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baada ya kumuoa huyo binti mlozi mdomo alopona au la?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu kasha fariki inakua aje

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama amefariki lazima atakuwa na mtoto, mzazi, mke au mume... ukishindwa wapa chochote hao basi nenda hata kwenye kaburi lake kaweke shada la maua na vitu Kama hivo.... japo me naamini ukiimba msamaha yeye akakataa au akawa amefariki then ukiomba msamaha kwa Mungu wala hakuna shida na karma inakua imeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Aiseeeee nini hiki sasa au tumeamua kutishana haa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…