Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Ni simulizi nzuri ila imekosa mwandishi mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa mbishi sana. hadi ulogwe ndio utaamini uchawi upo.
Ndioo mpaka ni logwee. Mimi nimekaa na watu walikuwa wana amini uchawii yani kila wakitaka kufanya,kitu ni mpaka kwa wa gangaa na ukiniangalia na mimi nikiwa mdogo walini lamba chale. Ila tokea nafahamu hayo mambo sija wai ona maajabuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo tulifanikisha baada ya wachungaji kuja kuombea tena na kumwaga chumvi iliyoombewa kuzunguka nyumba na eneo lote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Cha chumvi iliyoombewa. Elewa tu chumvi Ni dawa ya kuua madawa yaliyochimbiwa ardhini na hata ukikuta dawa au kitu usichokielewa ndani kwako kwa kuhisi Kama Cha ushirikina hivi, Cha kufanya nyunyizia tu chumvi na ikibidi temea mate na ikibidi kojolea. Hapa biashara kwisha.
 
Dogo alijichanganya kushikana nao mkono.
 
miaka ya 1999 mpaka 2002 kuna dogo mmoja wa shule ya msingi ulali, narumu machame alizama mtoni, akapotea kama siku 3 ivi, wazee walienda kuchinja mbuzi pale alipozama dogo akaibuka kutoka kwenye maji akiwa mzima kabisa na afya njema, ili tukio sitakaa nisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…