Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Huyu Kiranga namshangaa sana,kina visa vingi vya watu kufa na baadae kuonekana tena na wakienda kufukua pale wapozikwa hawakuti chochote,hili nalo unalizungumziaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Africa sehemu nyingi sana watu wanazikwa wazima.

Kwa sababu hatuna vifaa vya kupima watu vizuri kuhakiki kwamba wamekufa.

Kifo chenyewe unajua kwamba kibaiolojia kina maana nyingi? Kuna kufa ubongo, na kufa moyo, sasa wewe unapoongelea mtu kafa, umempima vipi mpaka kujua hyu kafa?

Visa vingi ni vingapi? Una jina la mtu unaweza kunipa tuchunguze zaidi habari zake?
 
Nikiwa na miaka Tisa ya ndoa yangu sikuwahi dhani wala kujua wife ni mchawi maana alikuwa msomi wa juu sana na mtu wa kanisa sana.siku moja nikiwa nimelala ulivuma upepo mkali mno gafla nikiwa macho nikajikuta nanyanyuliwa juu aisee nilisali sala zote gafla nikarudishwa chini.Kuangalia pembeni yangu alipolala mwenzangu naona mbwa aisee ulikuja kama usingizi hivi sekunde wife akarudi ktk hali yake ya ubinaadamu.Kesho yake nikahama home na ndoa ikafa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikulazimishi uamini , hayo mawazo yako kama ni fix au la! Ni maoni yako. Kuhusu shule siyo Muhimu sana kama ujumbe niliotoa.
Sijui kwann watanzania sisi tunapenda kukosoa kila kitu. Nahisi tuna unafki wa asili
...eti ikumbukwe nilikua mwanafunzi anaefanya vzr zaidi darasani, sasa ikumbukwe na nani wakat kila kitu umeficha hata jina la shule? haaaaaah haaaaaah acha fix,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P ndugu yangu Seba wachawi sio watu wazuri. Mwaka 2000 alianza masomo ya secondary huko karagwe. Akiwa form one bado aliamka asubuhi akiwa kanyolewa nywele sehem ya mbele ya kichwa. Na wiki hiyo hiyo akachanganyikiwa kabisa. Ndugu wakahangaika mwaka mzima kwa waganga mpaka akapona. Baada ya kupona akaja Dodoma kusoma Jamhuri. Hapo akapata tatizo la macho akawa anatumia miwani mpaka alipomaliza Form 4.

Hapo tulihamia mpwapwa, tatizo lake la macho likawa kubwa zaidi akawa haoni kabisa hata kwa miwani. Hospitali walisema hawezi kupona tena. Mama akaenda kwa kanisa moja la walokole ili Seba aombewe. Seba alikua mkatoliki Safi sijapata ona. Anafunga na kusali kila siku. Muda wa jioni alikua anakusanya watoto wa mtaani pale na kuwafundisha neno la Mungu. Alikataa katakata kwenda kuombewa kwa walokole huku akirefer sehem ya kanuni ya imani Nasadiki kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume hivyo siwezi kwenda kwingine. Baadaye akajakukubali na akaombewa akaanza kuona tena bila miwani. Hii ni Mara yangu ya kwanza kuona muujiza maana nilikua naamin stori za mtaani kwamba wale wanaombewa hua washapangwa hakna lolote.

Baada ya kupona akahamia ulokole huko Sasa ndo akazidisha imani anafunga masaa 72, kanisani kwao anahubiri, mtaani anaombea wenye mapepo na magonjwa. Baadaye akarudi kwao karagwe akaanzisha tution center huko ikamlipa mpaka akajenga madarasa ili afungue secondary. Huyu jamaa toka nimjue ni fighter sana wa maisha af Kama alikua na bahati flani kwa kila analofanya. Akiwa amefikia kupaua madarasa na gari iloleta mabati imefika hapo shuleni akazidiwa ghafla akakimbizwa hospital ya wilaya akalazwa. Cha ajabu kesho yake hawakumkuta hospitali akaja kuokotwa Kama km 30 hv kutoka hospitali yupo porini na hali yake ni mbaya sana. Kabla ya kufika hospitali akawa kashafariki. Hivyo ndivyo wachawi walivyomsakama ndugu yangu mpaka kumuua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kitumbua kishaingia Mchanga
Wewe Kiranga umekuja kuharibu uzi

Sasa kama unataka kujua uchawi upo tumia hiyo hela hapo $1000 tafuta Mganga yoyote yule mkali Hata mkoani nenda, Mpe hela mwambie naomba nioneshe uchawi
Kivyovyote Utaoneshwa Hata ukitaka akufanyie Wewe anakufanyie
As long as umpe hela na ufate masharti yake
Kweli sio ubishani tu
 
Nikiwa na miaka Tisa ya ndoa yangu sikuwahi dhani wala kujua wife ni mchawi maana alikuwa msomi wa juu sana na mtu wa kanisa sana.siku moja nikiwa nimelala ulivuma upepo mkali mno gafla nikiwa macho nikajikuta nanyanyuliwa juu aisee nilisali sala zote gafla nikarudishwa chini.Kuangalia pembeni yangu alipolala mwenzangu naona mbwa aisee ulikuja kama usingizi hivi sekunde wife akarudi ktk hali yake ya ubinaadamu.Kesho yake nikahama home na ndoa ikafa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha fixi yani ulisubili paka kesho yake? [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, pole sana mkuu.. ulikua na mtihani mzito sana
Nikiwa na miaka Tisa ya ndoa yangu sikuwahi dhani wala kujua wife ni mchawi maana alikuwa msomi wa juu sana na mtu wa kanisa sana.siku moja nikiwa nimelala ulivuma upepo mkali mno gafla nikiwa macho nikajikuta nanyanyuliwa juu aisee nilisali sala zote gafla nikarudishwa chini.Kuangalia pembeni yangu alipolala mwenzangu naona mbwa aisee ulikuja kama usingizi hivi sekunde wife akarudi ktk hali yake ya ubinaadamu.Kesho yake nikahama home na ndoa ikafa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii,nishawahi kusikia watu wanaazima meno yako na kwenda kutafunia nyama huko na baadaye unarejeshewa, sometimes naskia unaweza rudishiwa yakiwa hayajasafishwa vizuri,ukiamka asubuhi meno yana damu damu + nyama nyama ,wakati usiku huo ulikula maharage[emoji3][emoji3] sayansi zipo hizi jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Meno yako nayapenda siku moja nitakuja kuyaazima nikalie mishkaki.😀😀
 
Ni ndefu kidogo hapa ila scenario nzima ni katk harakati za kumtafuta na kumrudisha aliyekua amechukuchuliwa kimazingara litunga(Msukule)

Sent using Jamii Forums mobile app
apo kwenye kurudisha msukule....nna shida napo...kuna mganga anaiweza iyo kazi..? maana kuna mtu.nampenda kweli na walimchukua msukule..na hata kila siku namuota ila haongei...nahisi washamkata ulimi....nahitaji sana kama kuna mtu anaiweza iyo kazi
 
Back
Top Bottom