Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Acha uongo GAMBOSHI ipo Bariadi..Gamboshi Kama gamboshi ipo sengerema yenyewe yenyewe ,lakini pia gamboshi ndogo zipo nikipata muda nitaandika zlipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo GAMBOSHI ipo Bariadi..Gamboshi Kama gamboshi ipo sengerema yenyewe yenyewe ,lakini pia gamboshi ndogo zipo nikipata muda nitaandika zlipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gamboshi ipi?je ni ile ya kuonekana au isiyoonekana?Acha uongo GAMBOSHI ipo Bariadi..
Mwaka 2016 kwenye upadrisho parokia ya buhangija shinyanga mjini..Tumeimba kwaya ya shirikisho. Kwaya moja ilikua inatoka Gamboshi.. Wanapakuza tu hukoGamboshi ipo kweli usukuman huko ila hizo story zake za kichawi zimetiwa chumvi. Nimesoma na jamaa mmoja mpwapw secondary form four 2004, Emmanuel Holehole alikua katokea Gamboshi. Alinambia Gamboshi kwa kawaida tu hakuna lolote Kama wanavyosema.
Sent using Jamii Forums mobile app
usiwe mkali wajanja wanakimbia ndio ukweli, tafuta news utazipata, usimtee mtu, itetee nafsi na moyo wako ndugu!.
Kweli mkùu anachanganyaUtakuwa unachanganya kati ya Gamboshi ya jicho la nyama na Gamboshi city ile ya kichawi
Hit direct to the Ntonku
nipe news hizousiwe mkali wajanja wanakimbia ndio ukweli, tafuta news utazipata, usimtee mtu, itetee nafsi na moyo wako ndugu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale waliosoma boarding mnamkumbuka miss corridor sjui nyie mlimwiitaje in short huyu ni jini huwa anatembea ukumbuni kwenye mabweni mashuleni au makambini au maholi tulitunga hilo jina sababu akitembea unaskia "ko, ko, ko " ile sauti kama ya viatu vya kike vyenye visigini virefu ukienda angalia huoni mtu ukibahatika unamuona mwanamke ana nywele ndefu kakupa mgongo anamalizia kukata kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikawaje halafuNikiwa na miaka Tisa ya ndoa yangu sikuwahi dhani wala kujua wife ni mchawi maana alikuwa msomi wa juu sana na mtu wa kanisa sana.siku moja nikiwa nimelala ulivuma upepo mkali mno gafla nikiwa macho nikajikuta nanyanyuliwa juu aisee nilisali sala zote gafla nikarudishwa chini.Kuangalia pembeni yangu alipolala mwenzangu naona mbwa aisee ulikuja kama usingizi hivi sekunde wife akarudi ktk hali yake ya ubinaadamu.Kesho yake nikahama home na ndoa ikafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
KubababakeKisa hiki kilitokea mbuga ya katavi ambayo sasa ni mkoa, kuna mzungu alinunua kitaru kwa ajiri ya kuwinda wanyama. sasa siku moja akaenda kuangalia kitaru chake akiongozana na askari pamoja na wazungu wenzie Ile kufika akamkuta Mzee mmoja anatoka kwenye kitaru chake huku kabeba mnyama begani. Mule kwenye gari walibaki baadhi ya askari, inabidi askari wamwamulu Mzee kunyosha mikono juu na kuelekea kwenye gari ile kugeuka tu gari haipo pamoja na watu waluomo Ndani ya gari. mzungu akuamini kilichotokea inabidi amruhusu Mzee aende na myama ile mzee anaondoka gari ikaonekana ipo pale pale.
Lete maneno mkuuUsinikumbushe Mazengo complex enzi hizo kuna jitu likikua na mguu mmoja tunaliita one leg.
Username yako imetokana na hiki kisa??Siku moja zamani sana tuliharibikiwa na bus maeneo fluni panaitwa makuyuni Arusha tukiwa tunatoka Dodoma tunaelekea Moshi kwa Bus enzi hizo ni mabus yalikuwa ni ya kampuni ya Rali hakuna mabasi mengine.
Kipindi hicho barabara ni mbovu sana gari inachukuwa siku mbili kufika Moshi.
Ikabidi konda na abiria mmoja wafuate spear Dodoma nayo ilichuwa siku mbili.
Ilibidi wazazi waniojiongeze tutafute nyumba za jirani ili angalau tupate huduma kama chakula, kuoga na kadhalika wazee na familia zingine walifanya hivyo pia.
Kutoka hapo kwenye bus mpaka kwenye nyumba ni umbali wa kama kilometa tano hivi tukakuta nyumba mbili tu lakini tunashukuru nyumba tuliofika tukawaeleza shida zetu walituelewa ambapo walikuwa wanaishi watu wawili tu kijana mmoja na mke wake ambaye alikuwa mrembo kweli wengi tulishangaa kwanini waliamua kuishi porini ili hali kwa muonekano walikuwa ni watu wastaarabu sana.
Basi baada ya wazazi wetu kupokelewa wakaanza mandalizi ya kupika na mambo mengine sisi watoto mimi na mdogo wangu na watoto wawili wa familia moja tulienda kucheza eneo fulani kama shamba hivi lakini kulikuwa na mteremko unaelekea kwenye mto hivi pembeni ya ya huo mto kulikuwa na ndizi mbivu basi tukazikimbilia tukazichuma tukaanza kula.
Kwakuwa ule mto haukuwa na maji tukavuka upande wapili hapo tuliona matunda ambayo siyakumbuki ni matunda gani lakini yalikuwa matamu sana.
Baadaye tukaona kijumba kidogo cha udongo kimeezekwa kwa nyasi tukaenda mpaka kwenye hicho kijumba tukamkuta bibi mzee sana anachuma mboga karibu na nyumba yake tukasalimia tukamweleza sikumbuki nini lakini akatuletea mziwa tukanywa.
Mara kukawa na wingu zito sana na radi baada ya dakika kumi mvua ilinyesha kunyesha tukaanza kukimbia nilibidi nimemshika mdogo wangu mkono alikuwa analia sana na mdogo wake na yule mwenzetu naye alikuwa analia sana, basi yule bibi alituzuia tusiondoke mpaka mvua itakatike ila mimi na na mdogo wangu tuliondoka na kuwaacha wenzetu tukaelekea mtoni ili tuvuke ngambo ya pili tuondoke ajabu ngambo ya pili tulimuona yule Bibi na fimbo yake amekunja uso anaonyesha ishara ya tukivuka tutaipata daa tulitetemeka sana huku dogo analia vibaya sana bibi anatunyooshea ile fimbo turudi.
Nyuma ya yule bibi tukaona kwa mbali mwanga wa tochi na sauti za watu kama wanaongea ndiyo kumbe mzee wanatutafuta.
Yule bibi kuona watu wanakuja akaja upande wetu huku akivuka mto huku anatembea kwa kuinama na fimbo yake tukampisha tukanza kumuita mzee huku tunatetemeka na dogo analia tumeloa chakari mzee alivyotuona walipatatwa na hofu sana wakatuuliza yaliotokea tukawaambia wenzetu wapo kwa bibi mmoja kule juu mwenyeji wetu na wazee waliwafuata kwa yule bibi huku mwenyeji akisema huyu bibi ni mchawi sana asije wazuru watoto wakakimbia kufika pale wakawakuta wapo ndani kwa yule bibi wanaota moto lakini wamejikunyata wamelegea sana hawajiwezi huku huyo bibi akiwa amejilaza kwenye kitanda chake anatamka sijui maneno gani.
Yule mwenyeji nasikia akamkoromea sana huyo bibi akamwambia lolote litakalo walata hawa watoto tunakumaliza ndiyo ikiwa salama yao.
Kufika pale kwa mwenyeji wetu hapo ni usiku kama saa 2:30 kunagiza tunawahadithia kilichotokea mh..wazazi waliogopa sana tukagombezwa sana lakini tunashukuru mpaka leo tupo salama ingawa mwenzetu mmoja alishatangulia kufa .
Hayo ndiyo nakumbula lakini ilikuwa siku mbaya sana na sitaisahau maishani.
Mimi nitaandika vitu vichache tu
_Nimewahi kuwaona usiku wachawi wakicheza ngoma nje ya nyumba niliyopanga
_Nimeona misukule sana,Sana mingine ilikua inaiba mboga usiku,yenyewe inaiba Nyama &Unga wa ugali ama ulaxe kiporo asubuhi hukuti
_Nimewahi kumshuhudia mzee maarufu mtaani kila siku hua anabeba ndoo moja ya Unga pamoja na madumu mawili ya baiskerli anapeleka ktk nyumba moja hivi kila siku saa 12 jioni kumbe anafuga misukule mingi mno,Sasa niliwahi kumfumania ametoka kuwanga saa 11 jioni kachelewa kurudi kwake tukapishana naenda kuoga ametoka nyuma ya mwembe
_Nimewahi kua karibu na mchawi mkongwe kiasi Cha kutaka kununua Misukule
Bei hutofautiana maximum 3,00,0000per kichwa Bei huzid kutokana na nguvu matumizi na nyota ya msukule
_Nimeshakutana na waganga&wachawi wengi njiapanda wakiwa katika shughuli zao usiku mnene
_Nimefanikiwa kujua lugha za kichawi
Mshirika_Mchawi
Kijakazi_Maukule
_Nimefanikiwa kufahamu viongozi kadhaa was kichawi na kupiga nao stori
_Nimefanikiwa pia kurogwa na kutumiwa jini
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah we acha tu ukiskia hvo ukumbini kwenye Dom unajifunika gubigubi wale wanaolala vitanda vya chini balaa sana wanajikunja [emoji3]
Olevel tulikuwa tunamuogopa advance tukiskia hvo tunaamka kwenda angalau tumfume wapi ila siku tuliona anakatiza anamalizia corridor tunaona mgongo na nywele ndefu nyuma tulikoma
Sent using Jamii Forums mobile app