Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kutoboa biashara.
1. Kuwa mbunifu kuja na idea ya biashara unayoipenda na yenye uhitaji, acha ujinga wa kufuata mkumbo kufanya biashara fulani kisa umesikia inalipa.

2. Usiwe na akili mgando kusubiri wateja waje uwauzie tu kisa wewe mwamba una mtaji na bidhaa zipo dukani, jifunze sales and marketing.

3. Usiwe na akili mgando kupata faida bila kufanya saving yoyote. Jifunze elimu ya fedha na siyo ujuzi wa kuuza tu bidhaa na kurudisha chenchi.

4. Usiwe na akili mgando kufanya biashara moja na kutegemeana kwa asilimia mia moja kiasi kwamba huna back-up yoyote in case biashara hiyo ikiyumba, hapa ndo dhana ya ndumba inapoanzia na kuwa na akili kama za mtoa mada.

5. Acha kuwa na akili mgando kufuata kila ushauri wa kibiashara au kimaisha unaotolewa Jf, wengine humu wana matatizo kuanzia ukoo wa babu zao hivyo matatizo hayo yanaama ukoo hadi ukoo.

Wenye akili za mkumbo wote huwa fursa kwa wanaojielewa. Chunguza utagundua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nikishapata experience kwa kushuhudia hata uje na makontena ya ngonjera sikusikilizi kamwe. Nimeshuhudia watu wanapigwa kipapai alafu mtu atoke uko aniambie hakuna uchawi, atahangaika sana.

Mimi nitajikinga tu na wabaya, hayo mambo ya kuongeza mvuto siyaamini lakini kwenye kudondoshana siwezi kubali unipoteze. Nitatafuta ngome ya kulipia na isiyo na complications. Na nitasali sana na kutoa sadaka. Ukinambia ni ushetani hayo unayajua wewe, kwani wapi Mungu alisema tupulize ubani. Mbona raia wanapuliza, wanavaa sare, wanafanya rituals za kidini.

Sidhani kama kuna mganga atanambia mkane Mungu nikupe dawa.
 
Kajumanne amaizing hivi hakuna karaha wala nini. Kama kawaida yangu hupenda kufukua mambo yasiyopendwa kuongelewa sana humu ila ndo yanayofanyika sana kwenye jamii zetu.
  • Je, umejizindika? Una kinga ya kutosha maana yule jamaa sio mchezo.
  • Hii gari ukiiba utarudisha mwenyewe
  • Mimi atakayejaribu kuniroga aandae kaburi tu, mimi sijaribiwi kabisa. Kwetu nimeaga ukijaribu unakwenda na maji.
  • Ninalindwa na mizimu atakayejaribu atashindwa hapa vinadunda tu.
  • Hii biashara yangu watu waliichezea sana nilipozindika tu sahv biashara inaenda vizuri mwanzo hela zilikua zinapotea tu dukani.
  • Nimezindika biashara yangu dhidi ya chumaulete. Sasa na wewe utafanyaje biashara kienyeji enyeji tu hapa mjini bila kuizindika na wewe? Unawajua waswahili wewe au unawasikia? Siri ya mafanikio biashara lazima uzizindike bila hivyo hakuna utakachokifanya.
Hayo ni maneno ya watu wengi I mean maneno ya mtaani na watu kuhusu suala la kujizindika au kuzindika biashara.

Swali kwa wewe mwanaJF mwenzangu:

Je na wewe umejizindika? Au unaishi kienyeji kama mimi tu? Tuseme ukweli!
Je, nyie wenye biashara humu tusaidianeje? Umezindika biashara yako hapa mjini?
Je, dhana ya kuzindika biashara ipo?
Usipozindika biashara je?
Je, ni kweli biashara hapa mjini bila hata kamzizi au jani haziendi?
Ushawahi kuexprince nini kuhusu haya mambo?

Nitakuja kuwapa kisa kimoja hivi soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hivi, tumia dawa hizo uite wateja utajirike na ala usije hapa kutangaza biashara
 
Mimi nikishapata experience kwa kushuhudia hata uje na makontena ya ngonjera sikusikilizi kamwe. Nimeshuhudia watu wanapigwa kipapai alafu mtu atoke uko aniambie hakuna uchawi, atahangaika sana.

Mimi nitajikinga tu na wabaya, hayo mambo ya kuongeza mvuto siyaamini lakini kwenye kudondoshana siwezi kubali unipoteze. Nitatafuta ngome ya kulipia na isiyo na complications. Na nitasali sana na kutoa sadaka. Ukinambia ni ushetani hayo unayajua wewe, kwani wapi Mungu alisema tupulize ubani. Mbona raia wanapuliza, wanavaa sare, wanafanya rituals za kidini.

Sidhani kama kuna mganga atanambia mkane Mungu nikupe dawa.
Upo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoboa biashara.
1. Kuwa mbunifu kuja na idea ya biashara unayoipenda na yenye uhitaji, acha ujinga wa kufuata mkumbo kufanya biashara fulani kisa umesikia inalipa.

2. Usiwe na akili mgando kusubiri wateja waje uwauzie tu kisa wewe mwamba una mtaji na bidhaa zipo dukani, jifunze sales and marketing.

3. Usiwe na akili mgando kupata faida bila kufanya saving yoyote. Jifunze elimu ya fedha na siyo ujuzi wa kuuza tu bidhaa na kurudisha chenchi.

4. Usiwe na akili mgando kufanya biashara moja na kutegemeana kwa asilimia mia moja kiasi kwamba huna back-up yoyote in case biashara hiyo ikiyumba, hapa ndo dhana ya ndumba inapoanzia na kuwa na akili kama za mtoa mada.

5. Acha kuwa na akili mgando kufuata kila ushauri wa kibiashara au kimaisha unaotolewa Jf, wengine humu wana matatizo kuanzia ukoo wa babu zao hivyo matatizo hayo yanaama ukoo hadi ukoo.

Wenye akili za mkumbo wote huwa fursa kwa wanaojielewa. Chunguza utagundua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu mkuu kuna baadhi wanafuata hizo njia na wanatumia kimzizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu mkuu kuna baadhi wanafuata hizo njia na wanatumia kimzizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai mkuu ila suala la kutumia mzizi ni la kiimani zaidi kutegemeana na mtu. Kama wewe ni mkristo/muislamu uliyekomaa vizuri basi fuata hizo mbinu na umuombe Mungu sana, ila kama huamini katika Mungu mmoja basi automatically utaangaukia kwenye hilo kundi la wazee wa mizizi kama hutokuwa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hawaamini uchawi mpaka yawakute. Kwa upande wa ukoo wetu mtu hawezi kutuambia lolote eti tusiamini uchawi maana tuna shuhuda za kutosha: Ya kwanza nimeishaisimulia ya bibi yetu kuchukuliwa meno yote usiku mmoja na kubaki kibogoyo maisha yake yote. Tukio ka pili ni babu yetu kupachikwa mfupa mkubwa wa samaki ndani ya mguu kuanzia kwenye ankle mpaka gotini na ulitolewa kwa operation hospitalini na wazungu walioshangazwa na sayansi hii ya sisi waswahili. Mfupa huo tumeutunza mpaka leo kama kumbukumbu.

Tukio hilo la mfupa lilianza kwa mzee mmoja kumwomba babu samaki aliyetoka kumvua. Babu alikataa kumtoa huyo samaki kwa kuwa alikuwa ni huyo huyo mmoja na ndiye alitegemewa kwa kitoweo cha siku hiyo nyumbani.

Babu alianza kuumwa mguu siku hiyo hiyo usiku hadi akaanza kushindwa kutembea. Maumivu yaliongezeka kadiri siku zilivyokwenda na matibabu yote aliyopewa hayakufua dafu. Babu alikuwa akilia kama mtoto mdogo kwa maumivu na ilimchukua mwaka mzima akiwa ni mtu wa kitandani tu.

Siku ya ukombozi kwa babu ilitokea pale hospitali yetu ya mission ya KKKT ilipopata wataalamu wa kizungu. Walipomfanyia operation waliutoa mfupa mkubwa wa katikati wa samaki ulionyoka toka kisiginoni hadi gotini. Tukabaki tunashangaa tulipoitwa kuushuhudia mfupa ule

Tukio la tatu ni mama yetu mdogo kutolewa vipande vya ngozi mbichi ya ng'ombe na makongoro tumboni hospitalini hapo hapo na wazungu hao hao waliomtibu babu. Hivyo vitu viliingiaje tumboni na kumsababishia maumivu makali mama yetu? Kazi ya mama yetu ilikuwa ni kuuza supu ya makongoro iliyovuta wateja wengi kwa jinsi alivyoitengeza vizuri. Wivu wa kibiashara ulimgharimu na kidogo apoteze maisha maana alidhoofika sana. Wa kubisha hayajamfika, na aendelee kubisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh hatare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchawi upo... Mimi Nina biashara yangu hapa dar mwaka wa 4 napata faida fresh nikajenga kigamboni na duka likakuwa nikawa nahitaji nafasi zaidi... Nikapata chumba nikaongeza store sasa kile chumba kuna mpangaji mwenzangu mtu wa musoma na yeye anakitaka ila mwenye nyumba akanipa Mimi Yule mpangaji alilalamika Sana kwamba nimependelewa Mimi eti nimempa rushwa mwenye nyumba.

Baada ya hapo basi nilipata hasara kutoka ml 40+ mpaka ml 7 msingi woote. Nikafanya dua kwa mashekh ule msingi ukarudi mpaka ml 19 ndani ya mwezi tuu ila baada ya hapo ikawa mwezi huu napata faida mwezi huu hasara mwezi mwengine sipati faida hata 100 mpaka leo hii sina maendeleo yoyote zaidi ya kupata pesa ya Kula tuu na msingi upo vilevile... Nilimuhadithia mwenye nyumba yaliyonikuta na akasema na yeye yamemkuta kama hyo yangu na anataka kumtimua Yule mpangaji maana ni mchawi.

Kimbembe akina kufukuzwa huyu mpangaji anaweza kuuwa mtu asieee.... Uchawa upo jamani Mimi mpaka leo nahangaika ila fiada inayeyukaa nabaki na pesa ya Kula tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tembea mzee daaah hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom