Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu point ni kuanza kuzaa na si kumaliza kuzaa.Sio kweli mkuu. Mbona Mengi alizaa akiwa mzee. Hakuna formula yoyote ya maisha. Ishi uwezavyo.
Hata usipomfariji kuwa ni joke mkuu ndivyo ilivyo siku zetu za kuishi duniani ni chache π‘ π‘Mkuuu miaka 40 ahaaa ukizaa dogo akiitafuta miaka yako 40 uwezekano kuwepo dunian mdogo joke
Mnatuzingua bwana, nikizaliwa Mzee wangu alikuwa 44yo, nimeshakuwa kidume na my dad is still kicking. Hakika kufa utakufa, lakini haijulikani lini...Hata usipomfariji kuwa ni joke mkuu ndivyo ilivyo siku zetu za kuishi duniani ni chache π‘ π‘
Hamna kitu, hapo labda 20's na wala sio 30's. Funguka basi vijana wajibebee kitu hicho...aah!!Hahaaa, sasa mbona unanichanganya Eli nilitaja umri wangu sahihi(39yrs) ukanigomea, nimebadilisha bado tuu, sasa nambie nastahili kuwa na umri gani? 40's..
Hakuna mahali nimesema nina tabia mbaya eti. In fact, sina tabia mbaya....labda nina mapungufu ya kawaida ya kibinadamuSiyo kwamba kwa sababu ya hiyo tabia hauna mume,tunaoana tukiwa na mapungufu mengi ndani yetu.
Namuonea wivu nani? Wewe?Wivu unakusumbua
Khantwe napenda mwanya wako umenikumbusha umefanana na mwalimu wangu mpendwa mmoja high school alikuwa anaitwa Miss Thandi.Halina mahali nimesema nina tabia mbaya eti. In fact, sina tabia mbaya....labda nina mapungufu ya kawaida ya kibinadamu
Khantwe napenda mwanya wako umenikumbusha umefanana na mwalimu wangu mpendwa mmoja high school alikuwa anaitwa Miss Thandi.
Njoo uliwe kichwaBila ujinga hata akili isingekuwepo sawasawa na bila giza, nuru isingekuwepo.
Mko powa kabisa huko palestina?....[emoji28]
Shusha sauti kidogo basi ili usiwapeperushie wenzio ndege wao nakati wameshajiandaa kuingia kwenye mikataba ya kulala tupu ya kudumu daima(ndoa) [emoji23]Njoo uliwe kichwa
Maana huna mbele wala nyuma
Mbona unawapigia promo sana vijana, vipi wewe ushaoa mkuu[emoji2]Hamna kitu, hapo labda 20's na wala sio 30's. Funguka basi vijana wajibebee kitu hicho...aah!!
Mapungufu yako ya kawaida tu mate.Hakuna mahali nimesema nina tabia mbaya eti. In fact, sina tabia mbaya....labda nina mapungufu ya kawaida ya kibinadamu
Aaah, nipo karne nyingine kabisa tofauti na wewe. In fact, you could be my niece[emoji39]Mbona unawapigia promo sana vijana, vipi wewe ushaoa mkuu[emoji2]
...shida yako ni moja tu...[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23] Hutaki......Hakuna mahali nimesema nina tabia mbaya eti. In fact, sina tabia mbaya....labda nina mapungufu ya kawaida ya kibinadamu
Shida wanaume tuko very selective Sana .hebu jaribu kukomaa na vuta bangi lako limoja lirekebishe mpaka tabia ziendaneKama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia jaribu kujichunguza.
Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Sorry, wewe ni mate yupi?Mapungufu yako ya kawaida tu mate.
[emoji12][emoji12][emoji12] hilo haliwezi kuwa tatizo...shida yako ni moja tu...[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23] Hutaki......
Mi pia nimekumisi zaidi, yani nilishangaa 4 days sijaona hata trace yako mama...Njoo chemba basi tuzoze
πππππ we umeamua tu tusionane maana tuko mtaa mmoja nyumba tofauti.Hahahaha yaani naona siku hizi mambo yamekuwa 'mfurughano' tu tumegawanyika kila mtu yupo kwenye uzi wake hadi hatuonani