Aiba
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 2,047
- 3,912
Equation x, Acha kukariri maisha kijana local mentality kuowa wengine c kipaumbele alafu usiisi kuowa au kuolewa ni jambo LA umuhimu kwenye hii dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] we umeamua tu tusionane maana tuko mtaa mmoja nyumba tofauti.
You are my fellow member of this JF, Go easy baby...Sorry, wewe ni mate yupi?
ha ha ha fainali ni uzeeniEquation x, Acha kukariri maisha kijana local mentality kuowa wengine c kipaumbele alafu usiisi kuowa au kuolewa ni jambo LA umuhimu kwenye hii dunia
Tatizo watu ni wabishi mkuu....acha wajizeekee wakiwa singo tuIlitakiwa nyuzi kama hizi kila zinapoanzishwa zizae ndoa moja.
Mfano huu uzi utoe ndoa moja. Na ukiletwa tena mwingine kama huu ndoa moja tena.
Siyo majanga piga hesabu mfano, kwenye familia yenu mmezaliwa 6 unadhani baba yako wakati hana wazaa wote, halikuwa chini ya miaka 35?35 sawa lakin kuanzia 40kuendelea huko ni majanga.
Nikweli wengine tumezaliwa wazaz wakiwa na umri wa zaidi ya miaka 40 na sasaivi tumeshakuwa wakubwa na tunajitegemea na yeye AnatutegemeaMnatuzingua bwana, nikizaliwa Mzee wangu alikuwa 44yo, nimeshakuwa kidume na my dad is still kicking. Hakika kufa utakufa, lakini haijulikani lini...
Mkuu kuzaliwa na mzazi hata akiwa na umri wa miaka 50 hakuna tatizo.Siyo majanga piga hesabu mfano, kwenye familia yenu mmezaliwa 6 unadhani baba yako wakati hana wazaa wote, halikuwa chini ya miaka 35?
Huna akiliKama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia jaribu kujichunguza.
Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
NaamKuna jamaa ana miaka 40 na hana mpenzi wa kutarajia kufunga naye ndoa,ukimuona utadhani ana miaka 23
Kupanga ni kuchagua