Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Equation x, Acha kukariri maisha kijana local mentality kuowa wengine c kipaumbele alafu usiisi kuowa au kuolewa ni jambo LA umuhimu kwenye hii dunia
 
Ilitakiwa nyuzi kama hizi kila zinapoanzishwa zizae ndoa moja.
Mfano huu uzi utoe ndoa moja. Na ukiletwa tena mwingine kama huu ndoa moja tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo tushinde kule nyumbani kwa Mshana Jr ndiyo kuna vyakula vizuri au wenzetu mnakula nini huku kwa hii nyumba??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] we umeamua tu tusionane maana tuko mtaa mmoja nyumba tofauti.
 
We selfi yako hutumi una kazi ya kuangalia za wenzio. Ukitaka nije ntumie mzigo chemba...af ahad ni deni ujue😂😂😂 Karma
 
Ilitakiwa nyuzi kama hizi kila zinapoanzishwa zizae ndoa moja.
Mfano huu uzi utoe ndoa moja. Na ukiletwa tena mwingine kama huu ndoa moja tena.
Tatizo watu ni wabishi mkuu....acha wajizeekee wakiwa singo tu
 
35 sawa lakin kuanzia 40kuendelea huko ni majanga.
Siyo majanga piga hesabu mfano, kwenye familia yenu mmezaliwa 6 unadhani baba yako wakati hana wazaa wote, halikuwa chini ya miaka 35?
 
Mnatuzingua bwana, nikizaliwa Mzee wangu alikuwa 44yo, nimeshakuwa kidume na my dad is still kicking. Hakika kufa utakufa, lakini haijulikani lini...
Nikweli wengine tumezaliwa wazaz wakiwa na umri wa zaidi ya miaka 40 na sasaivi tumeshakuwa wakubwa na tunajitegemea na yeye Anatutegemea
 
Siyo majanga piga hesabu mfano, kwenye familia yenu mmezaliwa 6 unadhani baba yako wakati hana wazaa wote, halikuwa chini ya miaka 35?
Mkuu kuzaliwa na mzazi hata akiwa na umri wa miaka 50 hakuna tatizo.

Tangia mwanzo tumeondoka na mada hii tukijadili kuchelewa kuoa na kuchelewa kupata watoto.

Mantiki ya mtoto anayeongelewa hapa ni first born.

Je kuanzisha familia baada ya 40' kuna tija?
 
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia jaribu kujichunguza.

Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Huna akili
 
Back
Top Bottom