SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League.
Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa mpaka mwaka upinduke.
Na endapo Yanga akiishia Nusu Fainali basi itampasa Simba kuwa Bingwa wa CAF CONFEDERARTION CUP ili kuendelea kuwa juu ya Yanga kwenye 5 year Ranking.