Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba sana.Chief uliona mbali saana
Sisi tuna kisasi na mamelody tu tunazitaka point 6 zetu kutoka kwakeBelouizdad naye ilikuwa chupu chupu, ni sahihi kutolewa kwa Petro de Luanda kunaifanya Tp Mazembe kusogea hadi Pot 1 na Yanga kusalia pot 2 hivyo kuna uwezekano wa Yanga kuwa katika kundi moja kati ya Al Ahly, Es Tunis, Mamelod au Tp Mazembe