SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Kila la kheri Yangaaa 💚💚💛🖤🖤🖤!
Makundi tunamtaka Mamelodi ili tuheshimiane.Kama timu zote zitafuzu hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye pot mbili za juu
Pot 1
Al Ahly
Es Tunis
Mamelod
Petro Luanda
Pot 2
Tp Mazembe
Belouizdad
Raja Casablanca
Young Africans
Hivyo Yanga itakutana na timu moja kutoka pot 1, timu moja kutoka pot 3 na timu moja toka pot 4.
Kama wachezaji watakaza, na Gamondi akachanga vizuri karata zake basi tunaweza kushuhudia Yanga ikicheza nusu fainali ya klabu bingwa msimu huu. Hatua ya makundi kama itafuzu ina advantage ya kukutana na vigogo wachache sana.Kama timu zote zitafuzu hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye pot mbili za juu
Pot 1
Al Ahly
Es Tunis
Mamelod
Petro Luanda
Pot 2
Tp Mazembe
Belouizdad
Raja Casablanca
Young Africans
Hivyo Yanga itakutana na timu moja kutoka pot 1, timu moja kutoka pot 3 na timu moja toka pot 4.
DreamKama wachezaji watakaza, na Gamondi akachanga vizuri karata zake basi tunaweza kushuhudia Yanga ikicheza nusu fainali ya klabu bingwa msimu huu. Hatua ya makundi kama itafuzu ina advantage ya kukutana na vigogo wachache sana.
Wydady hayupo ma poti ya uongo hayo..Kama timu zote zitafuzu hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye pot mbili za juu
Pot 1
Al Ahly
Es Tunis
Mamelod
Petro Luanda
Pot 2
Tp Mazembe
Belouizdad
Raja Casablanca
Young Africans
Hivyo Yanga itakutana na timu moja kutoka pot 1, timu moja kutoka pot 3 na timu moja toka pot 4.
Usikurupuke wapi umeona kaandikwa Wydad?Wydady hayupo ma poti ya uongo hayo..
Mbona Simba haipo ?. Ahaa kumbe wapo kwa losers!Kama timu zote zitafuzu hivi ndivyo itakavyokuwa kwenye pot mbili za juu
Pot 1
Al Ahly
Es Tunis
Mamelod
Petro Luanda
Pot 2
Tp Mazembe
Belouizdad
Raja Casablanca
Young Africans
Hivyo Yanga itakutana na timu moja kutoka pot 1, timu moja kutoka pot 3 na timu moja toka pot 4.
Wydady ni Timu inayopatikana Pot 1 au la pili kama hayupo Pot la uongo hilo maana Mamelodi,Petro hawajafikia Points za Wydady au Esperance..Usikurupuke wapi umeona kaandikwa Wydad?
wydad yupo shiirikisho au umelewaWydady ni Timu inayopatikana Pot 1 au la pili kama hayupo Pot la uongo hilo maana Mamelodi,Petro hawajafikia Points za Wydady au Esperance..
Wydad hashiriki klabu bingwa sasa atakuwa kwenye pot kwa misingi ipi?Wydady ni Timu inayopatikana Pot 1 au la pili kama hayupo Pot la uongo hilo maana Mamelodi,Petro hawajafikia Points za Wydady au Esperance..