Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 22, 2024 #61 Makolo watabisha.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 22, 2024 #62 Phdum said: Chief uliona mbali saana Click to expand... Mwamba sana.
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,385 Reaction score 6,443 Sep 22, 2024 #63 changaule said: Belouizdad naye ilikuwa chupu chupu, ni sahihi kutolewa kwa Petro de Luanda kunaifanya Tp Mazembe kusogea hadi Pot 1 na Yanga kusalia pot 2 hivyo kuna uwezekano wa Yanga kuwa katika kundi moja kati ya Al Ahly, Es Tunis, Mamelod au Tp Mazembe Click to expand... Sisi tuna kisasi na mamelody tu tunazitaka point 6 zetu kutoka kwake
changaule said: Belouizdad naye ilikuwa chupu chupu, ni sahihi kutolewa kwa Petro de Luanda kunaifanya Tp Mazembe kusogea hadi Pot 1 na Yanga kusalia pot 2 hivyo kuna uwezekano wa Yanga kuwa katika kundi moja kati ya Al Ahly, Es Tunis, Mamelod au Tp Mazembe Click to expand... Sisi tuna kisasi na mamelody tu tunazitaka point 6 zetu kutoka kwake
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Sep 22, 2024 #64 Makolo wanapita kimya kimya