Kama una Biblia au Quran kwenye simu afu umehifadhi picha za utupu unakosea sana

The Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
5,879
Reaction score
11,318
Hii nimeona niizungumze kwa kiasi.

Utakuta mtu anahifadhi application ya Biblia au kitabu takatifu chochote kulingana na imani yake lakini amehifadhi pia picha za utupu au mambo yasiyofaaa.

Hii ni sehemu ya laana kwako, jaribu kuepuka haya.

Ni nayo tu wandugu.
 
Kiujumla kama kweli mungu yupo na hayo mnayoita dhambi sijui moto upo basi hakuna binadamu alie salama.

Kuna mtu kila jumapili yupo kanisani, lakini lengo kubwa la kwenda ni kutafuta wanawake, ile ibada ni geresha tu. Muda wa kutoa sadaka anakodolea macho foleni ana sort vitu.
 
alooh ni hatare church mbususu hunter [emoji1787]
 
Back
Top Bottom