The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Nimesema tu mzee,vya Mungu havichangamani na vya kuleWacha kupangia watu maisha. Simu za kwao. Bando la kwao. Shida yako nini?
Bwana wee tuache,.
Au kama vipi tupe ushahidi, aya inayosema ni laana kuwa na App ya bible na picha za utupu kwenye simu?
Dah😂😂😂😂Ngoja nitoe bible.
Sema na wewe unapata dhambi maana moja kwa moja umetoa hukumu,. Haujatoa maoniIt’s just my thought ndugu,sio lazima ukubaliane na mimi.
Ameni ChiefTutatubu dhambi zetu mungu atatusamehe
Wacha tuone watakujaje mkuuUtafiti wa mchongo unaonesha 90% wenye app za vitabu vya kidini hawavisomi vipo kama pambo
The Legacy umerusha jiwe gizani subiri mapovu
Umenichekesha Mad MaxNgoja nitoe bible.
alooh ni hatare church mbususu hunter [emoji1787]Kiujumla kama kweli mungu yupo na hayo mnayoita dhambi sijui moto upo basi hakuna binadamu alie salama.
Kuna mtu kila jumapili yupo kanisani, lakini lengo kubwa la kwenda ni kutafuta wanawake, ile ibada ni geresha tu. Muda wa kutoa sadaka anakodolea macho foleni ana sort vitu.