Kama una Biblia au Quran kwenye simu afu umehifadhi picha za utupu unakosea sana

Mark 12:17

Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana.

Mathew 13:30

Acheni ngano na magugu vikue vyote pamoja hadi wakati wa mavuno.
 
Mlishaambiwa ya kaisari mpeni kaisari na ya Mungu tu mpe,. Sio kila wakati mtu utakuwa unasoma bibble jamani mda mwingine tunasafisha macho,.

Ila kama ni kimoja nitafuta Bibble kwasabu ni rahisi kutumia hard copy
Mbavu zangu jamani,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ,ila Nawaza pia kwangu nifanyaje,Au ninunue Simu ingine.
 
Biblia na Quran ndizo zina makosa, zilipaswa kufanya kazi kama ANTIVIRUS kwenye computer, vizuie virusi wasiingie kwenye simu yako. Lakini kama zimekubali kuishi na uchafu basi nazo hazina nguvu tena.
 
Biblia na Quran ndizo zina makosa, zilipaswa kufanya kazi kama ANTIVIRUS kwenye computer, vizuie virusi wasiingie kwenye simu yako. Lakini kama zimekubali kuishi na uchafu basi nazo hazina nguvu tena.
Duh
 
Kama kichwani kwa mtoa mada kuna mawazo ya hivyo vyote , simu yangu unaionea tu
 
Sasa Tusemeje, unakuta wewe hunywi pombe wala huchukui malaya, lakini unaenda Bar kupumzika, na unajichanganya na walevi na malaya kwamba una pass time. Tukikukuta au kukuona mazingira hayo tutakutafsiri vipi?
 
Kingine cha nyongeza ukimuomba Mungu akusamehe dhambi zako na wewe pia usizikumbuke tena dhambi zako kwa maana Mungu husame dhambi zetu kabisaa tukimuomba
 
Zaidi soma hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Thread 'Smart phones nyumba za ibada, no please!' Smart phones nyumba za ibada, no please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ