Kama una Degree na kama umeajiriwa, sahau kuwa Tajiri

Kama una Degree na kama umeajiriwa, sahau kuwa Tajiri

Ww ni jina na unamawazo ya kijanga sana kuna watu wameajiriwa na kwa mwezi wanaingiza zaidi ya 15+ milioni
Sida sio kua tajiri shida ni umesomea nn na umeajiriwa wap?

Mm nko chuga kuna watu nawajua wameajiriwa na kwa mwezi wanaingiza zaidi ya 20+ milion na apo bado posho na marupurupu ya kila sku na kila wiki

Lakin pia kutajirika ni kufanyaje na tajiri anaingiza kiasi gan cha pesa ad kumuita tajiri

Pale kijijini kwenu kuna mtu ananyumba 2 za bati ana gar moja au mbili na ng’ombe 50/100 na pale kijijini wanamuita tajiri
Etu tusaide ni kigezo gan utumika kumuita mtu tajiri
 
Usidanganye watu, matajiri wako serikalini. 10%, rushwa, na wizi, kutokulipa kodi vinatajirisha watu.

Unadhani kwanini kila mwenye akili anataka kuwa mwanasiasa, na watu wanahonga kuteuliwa na rais?

Matajiri wako Hazina, TPA, TRA, BOT, TAZAMA, NIC, NHC, Takukuru, . Siwezi kuwamaliza. Kamba zingine ni ndefu sana.

Fanya biashara, sisi tuna malizia kazi za umma.
 
Nadhani uzi wake Unalenga watu ambao hela yao inatumika katika matumizi mfano nalipwa laki 5 kodi laki 2,Matumizi laki 2,vocha elfu 40...Nasave labdah elfu 2...

Hivo kwa mtu kama huyu ajitahidi kutafuta namna aongeze kipato nje ya Ajira la sivyo atakufa maskini na atambue fainali ni uzeeeni /kipindi anapostaafu....Kampuni gani hizo zina mpunga mnene Chuga huko mkuu
 
Kawaulize kwanza waliokosa ajira uone wsnavyotutamani.

Tunakula maisha hakuna mfano.

Hizo nadharia endeleeni kuhubirian na ndoto za mchana

Umeona Mali za Lau Mafuru? Umeona Familia ya Dr Faustine?

Umeona Utajiri wa Igp wa zamani Balozi Simon Sirro?

Twende sasa 70% ya Watz ni wakulima na wafanya umachinga( maana sio hata biashara) kaangalie hali zao ni balaa.

Ukija Mjini waliotoboa bila Elimu au kupitia ajira hawazidi 1000.
Jidanganyee
 
Tuweke rate ya wenye maduka Sinza na kariakoo tuwahoji
 
Usidanganye watu, matajiri wako serikalini. 10%, rushwa, na wizi, kutokulipa kodi vinatajirisha watu.

Unadhani kwanini kila mwenye akili anataka kuwa mwanasiasa, na watu wanahonga kuteuliwa na rais?

Matajiri wako Hazina, TPA, TRA, BOT, TAZAMA, NIC, NHC, Takukuru, . Siwezi kuwamaliza. Kamba zingine ni ndefu sana.

Fanya biashara, sisi tuna malizia kazi za umma.
Unavosema asilimia 10% bado hujaeleweka mkuu
 
Katika jamii yetu, imezoeleka kwamba kupata shahada (degree) na ajira rasmi ni hatua kubwa ya mafanikio. Hata hivyo, ukweli wa maisha unaonesha kwamba mafanikio ya kifedha hayategemei moja kwa moja kiwango cha elimu wala ajira pekee.

Ajira nyingi za ofisi zinakupa mshahara wa kutosha kukidhi mahitaji ya msingi kama malipo ya kodi, chakula, na usafiri, lakini mara chache zinaacha nafasi ya kuwekeza kwa kiwango kikubwa au kujenga utajiri wa kudumu. Hii ni kwa sababu:
  1. Mishahara Ina Kikomo
    Hata kama una shahada yako, mishahara kwa kawaida hujikita kwenye viwango vya soko, na mara nyingi haitoshi kukabiliana na gharama za maisha zinazoongezeka kila mwaka.
  2. Kukosa Vyanzo Vingine vya Kipato
    Watu wengi walioajiriwa huchagua kutegemea mshahara pekee. Bila vyanzo vya ziada vya mapato, ni vigumu kuvuka mipaka ya kipato cha kawaida. Hata ukiwekeza usimamizi wa mradi wa biashara huwa na ukomo.
  3. Gharama Zinazoongezeka
    Kama ulivyoelimika, mara nyingi matarajio ya maisha yako huongezeka, na hivyo pia gharama zako, kama vile kununua gari, nyumba, au hata kulipa mikopo ya elimu. Watu wenye kiwango kidogo cha elimu hutajirika kwa haraka kwa sababu mara nyingi hawafungwi na mtego huu anaweza kuwa na Bilioni 10 kama mtaji na anasafiri kwa usafiri wa umma.
  4. Kukosa Ujasiriamali
    Utajiri wa kweli mara nyingi hupatikana kupitia uwekezaji au ujasiriamali. Ajira nyingi zinakutumia kama mtendaji wa ndoto za wengine, huku ukisahau kujenga ndoto zako mwenyewe.
Unachoweza Kufanya:

  • Tafuta njia za kuwekeza, hata kwa kiasi kidogo.
  • Anza mradi wa ujasiriamali sambamba na ajira yako.
  • Jifunze kuhusu usimamizi wa fedha na uwekezaji.
  • Badilisha mtazamo wako kuhusu fedha na utajiri; fikiria muda mrefu badala ya faida ya haraka.
Kumbuka, shahada na ajira ni mwanzo tu wa safari. Kuwa tajiri kunahitaji maamuzi makini, nidhamu ya kifedha, na uthubutu wa kuvuka mipaka ya kawaida. Mada imeandaliwa na Nyadikwa na kuhaririwa na Chat GPT.
Hakuna Boss muajiriwa.
 
Hakuna Boss muajiriwa.
Umemaliza. Hayupoo, kuna mwanabodi hapo juu kakaza mishipa ooh sijui wanaofanyia bandari sijui wapi , hajui venyee utajiri unapatikana.

Yaani uajiriwe unasubiri paycheck ndo uwe tajiri?!
 
Maisha sio kutafuta utajiri tu mleta mada

Satisfaction kwenye maisha sio tu pesa au mali au vyeo kuna watu wako beyond that

Kuna bilionnaires hawaamini kwenye utajiri wanaamini tu kwenye kuhakikisha binafamu mwingine walio wengi wanapata maisha bora

Kuna mapadre na masista katoliki wasomi mno waajiriwa shule za katoliki kama walimu ,wakuu wa shule nk lakini hufundisha vizuri mno watoto hufaulu hatari hawawindi utajiri

Billy gates bilionea namba moja duniani alihojiwa akasema yeye kununua nguo mpya na viatu ni baada ya miaka 10 au zimbane na kwa siku hulala masaa manne tunakauluzwa why akasema yeye hawindi utajiri anafurahi tu akiona watu wengi duniani wanatumia bidhaa zake za Microsoft Products akasema kama ingekuwa kazi yake kulenga tu utajiri pesa aliyonayo yamtosha kuishi hata miaka elfu 10 bila kufanya kazi yeyote

Kuna watu wanafanya kazi hawatafuti utajiri mfano hata Nyerere alikufa maskini mshahara mdogo lakinii alifurahi kuona watanzania wengi wako vizuri
 
Watu mkikariri vitu huwa mnakaza sana mafuvu, endelea kuamini unacho amini
 
Jobless ng'ombe nyie sasa mbona mnalilia ajira kama kuajiriwa ni umasikini
 
Back
Top Bottom