Kama una Degree na kama umeajiriwa, sahau kuwa Tajiri

Ww ni jina na unamawazo ya kijanga sana kuna watu wameajiriwa na kwa mwezi wanaingiza zaidi ya 15+ milioni
Sida sio kua tajiri shida ni umesomea nn na umeajiriwa wap?

Mm nko chuga kuna watu nawajua wameajiriwa na kwa mwezi wanaingiza zaidi ya 20+ milion na apo bado posho na marupurupu ya kila sku na kila wiki

Lakin pia kutajirika ni kufanyaje na tajiri anaingiza kiasi gan cha pesa ad kumuita tajiri

Pale kijijini kwenu kuna mtu ananyumba 2 za bati ana gar moja au mbili na ng’ombe 50/100 na pale kijijini wanamuita tajiri
Etu tusaide ni kigezo gan utumika kumuita mtu tajiri
 
Usidanganye watu, matajiri wako serikalini. 10%, rushwa, na wizi, kutokulipa kodi vinatajirisha watu.

Unadhani kwanini kila mwenye akili anataka kuwa mwanasiasa, na watu wanahonga kuteuliwa na rais?

Matajiri wako Hazina, TPA, TRA, BOT, TAZAMA, NIC, NHC, Takukuru, . Siwezi kuwamaliza. Kamba zingine ni ndefu sana.

Fanya biashara, sisi tuna malizia kazi za umma.
 
Nadhani uzi wake Unalenga watu ambao hela yao inatumika katika matumizi mfano nalipwa laki 5 kodi laki 2,Matumizi laki 2,vocha elfu 40...Nasave labdah elfu 2...


Hivo kwa mtu kama huyu ajitahidi kutafuta namna aongeze kipato nje ya Ajira la sivyo atakufa maskini na atambue fainali ni uzeeeni /kipindi anapostaafu....Kampuni gani hizo zina mpunga mnene Chuga huko mkuu
 
Jidanganyee
 
Tuweke rate ya wenye maduka Sinza na kariakoo tuwahoji
 
Unavosema asilimia 10% bado hujaeleweka mkuu
 
Hakuna Boss muajiriwa.
 
Hakuna Boss muajiriwa.
Umemaliza. Hayupoo, kuna mwanabodi hapo juu kakaza mishipa ooh sijui wanaofanyia bandari sijui wapi , hajui venyee utajiri unapatikana.

Yaani uajiriwe unasubiri paycheck ndo uwe tajiri?!
 
Maisha sio kutafuta utajiri tu mleta mada

Satisfaction kwenye maisha sio tu pesa au mali au vyeo kuna watu wako beyond that

Kuna bilionnaires hawaamini kwenye utajiri wanaamini tu kwenye kuhakikisha binafamu mwingine walio wengi wanapata maisha bora

Kuna mapadre na masista katoliki wasomi mno waajiriwa shule za katoliki kama walimu ,wakuu wa shule nk lakini hufundisha vizuri mno watoto hufaulu hatari hawawindi utajiri

Billy gates bilionea namba moja duniani alihojiwa akasema yeye kununua nguo mpya na viatu ni baada ya miaka 10 au zimbane na kwa siku hulala masaa manne tunakauluzwa why akasema yeye hawindi utajiri anafurahi tu akiona watu wengi duniani wanatumia bidhaa zake za Microsoft Products akasema kama ingekuwa kazi yake kulenga tu utajiri pesa aliyonayo yamtosha kuishi hata miaka elfu 10 bila kufanya kazi yeyote


Kuna watu wanafanya kazi hawatafuti utajiri mfano hata Nyerere alikufa maskini mshahara mdogo lakinii alifurahi kuona watanzania wengi wako vizuri
 
Watu mkikariri vitu huwa mnakaza sana mafuvu, endelea kuamini unacho amini
 
Jobless ng'ombe nyie sasa mbona mnalilia ajira kama kuajiriwa ni umasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…