Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

Mada inajieleza.
Usije kusema sijakutonya.
View attachment 2352489
Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
Ngumu kumeza
Siku hizi nasikia wanawake walioko kwenye ndoa wanapitisha gari mtaroni huko wanapouza mechi.

Dunia haiko fair kabisaaa🤣🤣🤣
 
Usiingie Kavu hapo hilo ni dustbin la kijiji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakazia HICHO ni chombo Cha stalehe kama vyombo vingine
 
Ukiingia kichwa kichwa JF, unaeza jikuta umeamua kuwa na manzi mbovu wa kila kitu ukitegemea ndo hatakua na changamoto. Maana humu almost kila type ya manz mzuri anakandiwa.
Anyway, kila mtu ashinde mechi zake.
NB: wezere ni muhim kwa mwanamke, awe digidigi au awe chombo. Nmemaliza
 
Back
Top Bottom