Kama una dushe ndogo njoo tubonge hapa

Kama una dushe ndogo njoo tubonge hapa

Screenshot_20221030-161829.png
 
Kwa dunia ya leo iliyojaa ubinafsi wala usiumize kichwa kuhusiana na size ya maumbile yako.

Kama kibamia chako kinatoa haja ndogo, kinadisa na unafika mshindo, yaliyobaki wala yasikupe fikra.

Hawa viumbe wa kike wao wenyewe hawajui wakitakacho maishani mwao. Wewe na kibamia chako ni ithibati wa hilo.

Kuna waliokusifu na waliokukandia. kikubwa mwenyewe unaridhika.
 
Ebana kati ya wanaume waliojaaliwa mashine ndogo, mm mmoja wapo. Kipindi nipo mdogo sikuwa na mawazo kuhusu size ya uume wangu lkn nlivofika sekondari kipindi tunaoga kwny mabafu ya wazi shuleni na wenzangu ndo nikaanza kujiuliza mbna wenzangu wana maumbile makubwa kunizidi?


Kama na ww una dushe ndogo km mm, shusha experience yako apo chini, km unaogopa kuchekwa basi we kausha zako tu.
Mbona kama umekata tamaa
 
Niliambiwa machine yote hio jamn khaa.. sijui nilichelewa wapi[emoji1787][emoji1787]
 
Average size ni kuanzia inchi 5-8...sasa unapozungumzia ndogo sijui unamaanisha size gani.?

Wapo wanaume wana uume mrefu ila pia wana matatizo ya kuwa flaccid (soft).

Unakuta akisimamisha unakuwa hauwi mgumu kama msumari.

All in all size sio kitu muhimu ujue mbinu za kumkojoza mwenza wako
 
Bunduki inaweza kuua ilimradi iwe na risasi cha muhimu ni nguvu tuu lakin ukubwa ni mengineyo mwenye pistol anaweza akaua kuliko hata na aliye na AK 47.ila kumbuka ni heri mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa. Ila mkuu si kuna matangazo kibao ya kuongeza ukubwa
Sijawai kujaribu dawa yyte mkuu kwasab hamna iliyothibitishwa nsije nikaharibu zaidi hata kidogo nlichonacho
 
Supu ya samaki na maziwa ni dawa ya kibamia sema inabidi utumie kwa wingi angalau unywe supu mara tatu au nne kwa wiki maziwa fresh au mtindi kwa wingi ndani ya mwezi utaona matokeo
Endelea kutumia usiache
Usimtie mwenzako umasikini
 
Ebana kati ya wanaume waliojaaliwa mashine ndogo, mimi mmoja wapo. Kipindi nipo mdogo sikuwa na mawazo kuhusu ukubwa ya uume wangu, lakini nlivyofika sekondari kipindi tunaoga kwenye mabafu ya wazi shuleni na wenzangu ndiyo nikaanza kujiuliza mbona wenzangu wana maumbile makubwa kunizidi?

Tangia siku hiyo nikawa na umakini sana kwenye uume wangu, nikiwa na imani kuwa labda utaongezeka nimechelewa tu kidogo, lakini wapi. Mpaka leo hii nina miaka 26 lakini ukubwa ni kama ya dogo wa miaka 12.

Nashukuru maisha yangu ya mahusiano siyo mabaya mpaka sasa na hichi ndiyo kimenisaidia sana kupunguza kufikiria sana juu ya ukubwa wa uume wangu. Mara ya kwanza nafanya mapenzi nilikuwa 'very tense', nikiwaza itakuaje kama mwenza wangu akigundua kuwa nina mashine ndogo, si atanicheka kisha kwenda kunitangaza kwa marafiki zake?

But it was not the case, in fact I was very surprised kuwa baada ya kumaliza hiyo siku, yeye ndiyo alinitafuta mwenyewe two days later kutaka turudie. Tulisex mara nyingi mpaka tulipokuja kutengana kutokana na umbali wa muda mrefu. Kiukweli yeye ndiyo alikuwa mwanamke aliyenipa confidence kuwa kumbe hata mimi ninaweza kuenjoy sex japokuwa nina iki kidude.

But the grass is not always greener, kuna mwanamke mmoja ambaye niliingia naye kwenye mahusiano kwa muda wa takribani mwaka hivi na ushee, yeye baada ya kulala naye siku ya kwanza tu alinichana kuwa hajafeel chochote kabisa, and kiukweli japo niliumia but I liked her honesty.

Since then nilisex naye tena several times nikijaribu kutumia mbinu mbalimbali mbadala [emoji1] na kuna nyingine ambazo alienjoy and actually alinipenda mpaka akataka nimuoe japo mimi mwenyewe ndiyo sikuwa nampenda, so tuliachana pia.

Since then, nimekuwa kwenye mahusiano na mtu mmoja for more than 3 years sasa and amesema anaenjoy kusex na mimi na haoni kama mapungufu yangu yanaathiri kitu. Nimekuwa na michepuko pia, mingine ilienjoy mingine ilinibidi nitumie mbinu mbadala kwasababu daah, nilikua nikiingiza naona kabisa hawafeel kitu.

Sasahivi nimeshaikubali hali yangu, nimegundua pia kuna wanawake wengi tu ambao naweza kuwaridhisha lakini wapo pia wengi ambao hawatofurahia kusex na mimi so inabidi niwe selective sana mpaka kumpata yule ambaye anaenjoy kuwa nami pasipo na kuathiriwa na hali yangu.

Nimekuja pia kugundua kuwa, hata watu wenye mashine za inchi 8 wapo wengi tu ambao wanawake wao wala hawaenjoy kusex nao. Na kuna wengine wana size nzuri lakini wanakojoa ndani ya sekunde 4, so nishasema yote heri kwanza sitoishi milele duniani[emoji1].

Kama na wewe una dushe ndogo kama mimi, shusha experience yako hapo chini, kama unaogopa kuchekwa basi we kausha zako tu.
Ukitaka dawa njoo inbox
 
Back
Top Bottom